Nairobi (ft Bien) Marioo (lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Nairobi ( ft Bien) Marioo (lyrics)
    Nairobi
    Marioo
    Lyrics
    Nairobi Lyrics
    [Instrumental Intro]
    Ooh, ooh yeah
    Kutoka, alooh
    Mm, mm
    (It's Cannibal)
    [Verse 1: Marioo]
    Nilikutana nae 'Kilimani, Nairobi
    Elfu mbili na kumi na tano
    Kibaridi cha asubuhi,
    Kijua fulani sio kikali, saa tano
    Ooh, Nairobi
    Elfu mbili na kumi na tano
    Nikamchagua yeye,
    Katikati ya wenzake watano
    Aah nikamuomba, akaniomba 'namba
    Moyoni mwangu nikampa 'moja
    She's my namba, namba, 'moja
    Nikamuomba, akaniomba namba
    Moyoni mwangu nikampa moja
    Now, she's my namba, namba, 'moja
    Yaani namaanisha kwamba...
    [Chorus]
    Ndio tushaoana
    Tushaoana
    Ndio tushaoana
    Ndio tushaoana
    [Instrumental Break]
    [Bridge: Bien]
    Tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana
    [Verse 2: Bien]
    Tulipatana Bongo, 'Mikocheni
    Niko zangu beach nala upepo wa bahari
    Alinipita kama meli
    Anayumba, yumba akidondosa kishenzi
    Ohhh, Mikocheni
    Nikamfuata utadhani zombie
    Habari gani, mbona uko lonely?
    Jina ni gani? 'akasema, Zari
    Nikamwambia ajee (Ajee)
    Nikamwambia kwangu ni kwake
    Nimshike wapi, ndio aje
    Nataka moyo wangu uwe wake
    Watangoja sana
    Wakidhania tutaachana
    Mimi na yeye tumeshaivana
    Naichapa usiku na mchana
    Aiya, iyaah, iyaah
    Yaani namaanisha kwamba...
    [Post-Chorus: Bien & Marioo]
    Ndio tushaoana
    (Nishaoana na yeye, sa mi tu na yeye)
    Tushaoana
    (Nishaoana na yeye, sa mi tu na yeye)
    Ndio tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana
    Ndio tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana
    Tushaoana, ah
    Oh, yeah, yеah
    Tushaoana
    Oh, oh
    Alooh

ความคิดเห็น • 1