MWAMBA WENYE IMARA | NYIMBO ZA KRISTO | By Irene Michael |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Mpendwa barikiwa na wimbo huu
    Singer: Irene Michael
    Song: Mwamba Wenye Imara
    Producer: Mr. RJ | RJ STUDIO
    Contacts
    j4tonnym@gmail.com
    +255 679 672 995
    Mwamba wenye imara Kwako nitajificha!
    Maji haya na damu Yaliyotoka humu,
    Hunisafi na dhambi, Hunifanya mshindi.
    Kwa kazi zote pia Sitimizi sheria.
    Nijapofanya bidii, Nikilia na kudhii,
    Hayaishi makosa; Ndiwe wa kuokoa.
    Sina cha mkononi, Naja msalabani;
    Nili tupu, nivike; Ni mnyonge, nishike;
    Nili mchafu naja, Nioshe nisijafa.
    Nikungojapo chini, Na kwenda kaburini;
    Nipaapo mbinguni, Na kukwona enzini,
    Roho yangu na iwe Rahani mwako wewe.

ความคิดเห็น • 17