LIFE WISDOM : JINSI YA KUWA BORA UNACHOFANYA - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 25

  • @ezekielpanga7599
    @ezekielpanga7599 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana mentor nanauka mbinguni taji yako itangaa kama theluji umegeuza maisha ya wengine kwa kuijua thamani yao halisi, hivyo miongoni mwa ulio walea nakuwajenga ni mimi mungu akupe hekima zaidi ya suleman nifuraha yangu kama mungu atakupa wito wa kuliongoza taifa letu watu watakuwa vile mungu amesema kwa maisha yao amen

  • @user-jt3yw1gz2j
    @user-jt3yw1gz2j หลายเดือนก่อน +2

    Brother Joel unanigusa Sana sehemu nyeti kwenye Maisha yangu, unanifanya niendelee kuwa positive Mungu akubariki Sana uwezo wako ulionao unatusaidia Sana, wenda Mungu amekuoa hicho kipaji ili utusaidie na wengine...

  • @user-kr9xi9lo3z
    @user-kr9xi9lo3z 17 วันที่ผ่านมา

    SoMo zuri brother

  • @PrinceMugasha
    @PrinceMugasha หลายเดือนก่อน +2

    Aisee bro nakufatilia sana kuna vitu vinaenda afadhar baada ya kukufatilia wew naweza nikawasiliana na wew

  • @chegemazuku2623
    @chegemazuku2623 หลายเดือนก่อน

    Hii speech ni mzuri sana na unanifanya kua active Kwa kila jambo...so nahitaji kujifunza kitu kipya.#Hongera sana Joel Nanauka.

  • @FurahaIddySeleman-xl2id
    @FurahaIddySeleman-xl2id หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kaka

  • @paschalmasanilo2617
    @paschalmasanilo2617 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🎉

  • @michaelsafari
    @michaelsafari หลายเดือนก่อน

    Huu ujumbee ni mkubwaa sana juu unamaana kubwa Muhimu

  • @NdalahwaJohn-lx9rq
    @NdalahwaJohn-lx9rq หลายเดือนก่อน

    Something great i got,,, be blessed 🎉

  • @navioma4882
    @navioma4882 หลายเดือนก่อน

    Ahsate kaka❤❤❤

  • @devothabigawa1473
    @devothabigawa1473 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka

  • @user-qv3eo5pb3g
    @user-qv3eo5pb3g หลายเดือนก่อน

    Shukran joel❤❤❤

  • @MichaelErnest-do5yc
    @MichaelErnest-do5yc หลายเดือนก่อน

    Ahsante Sana brother mungu akubariki nikuombe kitu naweza kuwasiliana na wewe

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน

      Karibu 0756-094875

  • @user-xt5vs7cm2k
    @user-xt5vs7cm2k หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @user-kw6bv9qp4e
    @user-kw6bv9qp4e หลายเดือนก่อน

    It is cool voice of education so nice brother 🎉

  • @GraceSteven-qq5hn
    @GraceSteven-qq5hn หลายเดือนก่อน

    Asant

  • @MrSamejy
    @MrSamejy หลายเดือนก่อน

    Nimeona kuna kitu nakosa kabisa hapo

  • @NasibuJohn-dc1ze
    @NasibuJohn-dc1ze หลายเดือนก่อน

    kaka nawez kupata namba ya sm yako mkuu

  • @jimmymeshack9338
    @jimmymeshack9338 หลายเดือนก่อน

    Hicho kitabu naweza kukipataje..?

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน

      0762 312 171 karibu

  • @RehemaFaki-or7eu
    @RehemaFaki-or7eu หลายเดือนก่อน

    Mimi nipo pemba je naweza kuipata hichokitabu?

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน

      0762 312 171 karibu

  • @NdalahwaJohn-lx9rq
    @NdalahwaJohn-lx9rq หลายเดือนก่อน

    Something great i got,,, be blessed 🎉