Ndugu Jamali, hongera sana, natamani sasa uje utueleze umuhimu wa label za nguo, maana sisi hapa kwetu hapa tumekuwa tukiona n kawaida na wakati fulan tunanunua nguo na hazina hizi lable! Itakuwa vzr sana.
Nilipoona hii post nikakumbuka maneno ya babu yangu mwaka 2008 tulipokuwa kwenye harusi ya mjomba wangu! Tukiwa ukumbini mimi nilikuwa nimekaa pamoja na babu yangu jirani kabisa na jukwaa la mziki na ngoma za kipindi hicho zilikuwa zinatamba sana asikwambie mtu! Babu yangu aliniambia vitu vya msingi sana siku hiyo lakini kutokana na sauti ya mziki kuwa juu sana na isitoshe tuliketi jirani na jukwaa la mziki sikuweza kusikia neno hta moja! Ahsanteni
Nmejfunza kt kuhus Code. Maana kuw na code n vzur san cose utaweka mamb yko kw sir zaid pia nautawachngany wat wanaokufatlia system yko. So tuish kwa CODE. Wat wazma wamenielew 🙏🙏
GOOD STORY , ... Nimesikilizaa Story Nyingi Kuhusu MTU anaitwa Mwanamalundi , ilaaa ukisimuliaaa wewe najuaa Uta Go DEEP tafadhali with due to respect naomba iyo Story ..... Au kisukuma wanamuita 'Ngwa'ana Malundi
Hiii Jamal kaz hii nimeikubali Kinoma Na sisi mashabiki wako tunapenda uci stuff kutoa The Story au usigailishe kutoa The Story Book!!!!! Sisi Washabiki wako tupo Bega kwa Bega na wewe Professor Jamali Apri, Jamali Mustafa
Huyu mwanamke aliuliwa baada kumaliza kazi maana alikua jasusi ndio mtindo wanaotumia majasusi,na kua na passport nyingi ni lazima itafute movie #JASON_BOURNE utanielewa.
HUWA NA LIKE BEFORE HATA STORY KUANZA BAJUA HUKOSEAGI AT THE SAME TIME THIS IS KIND OF STORIES I WOULD LIKE TO HEAR, MAFIA, INVESTIGATION, CRIME, AND mysterious,
Huyo itakuwa alikuwa secret service agent na aliuwawa na wauaji walifanya set up ya tukio Zima la eneo la mauaji ( alichomwa na Moto wa kupuliza) na alimezeshwa dawa... Kuacha mabegi itakuwa ni yeye aligundua anafatiliwa akawa anakimbia akaacha mabegi ili kuwapoteza wanaomfatilia
Kama una elimu kidogo kuhusu majini utagundua kama huyu mwanamke sio binadamu. Kwa uwezo Allah aliowapa majini ndo huweza kufanya mambo kama hayo, jini anaweza kukuchoma moto upande autakae yeye, jini ana uwezo wa kukumezesha dawa na zisiyeyuke tumboni, jini anaweza kubadilisha matokeo ya DNA kupitia daktari aliepima hio DNA, na mambo mengi sana ambayo majini yanaweza kufanya, hata hilo la passport ni simple sana kwa majini. Kuna jama aliwahi kutuwa Japan na passport ya nchi yenye yaipo kwenye ramani ya Dunia 😲😲 akafungwa na siku ijayo hawakumkuta jela,... Wacha tusubiri muendelezo wa story huwenda tutajua huko mbeleni
We jamaa ukijiita prof unahaki tunaomba hii stor iwe kama season mpaka sehem ya100 tutaifutailia🙌
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wenye tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯
Jamal The Storyteller
Wapi likes kutoka Kenya 🇰🇪
We love you Jamal from Jays wife ♥️♥️
Nice
❤
Nomaaa🎉🎉🎉🎉🎉upewe maua yako bro saut yako ni nzuri sana ktk simulizii ni kwere man
Duuh aise brother Jamal umetisha hakika wewe ndiye mkali wa simulizi kama izi wengine wanaiga tu.... much love from Moz 🇲🇿
The story book ndio kipindi kinachoangaliwa zaidi kwenye chaneli ya wasafi , numbers don't lie keep it up professor jamal 🥰💯
Kinaoneshwa saa ngapi kwenye wasafi tv mbona mimi siioni
Ndo maana nipo hapa
Kinarushwa kila ijumaa
Ndugu Jamali, hongera sana, natamani sasa uje utueleze umuhimu wa label za nguo, maana sisi hapa kwetu hapa tumekuwa tukiona n kawaida na wakati fulan tunanunua nguo na hazina hizi lable!
Itakuwa vzr sana.
Nguo Zina track location ulipo nunulia hiyo nguo
@@KYUSA_BOY uongo
@@aishaaisha6127😂😂😂😂 Wajuaji camp
Nilipoona hii post nikakumbuka maneno ya babu yangu mwaka 2008 tulipokuwa kwenye harusi ya mjomba wangu! Tukiwa ukumbini mimi nilikuwa nimekaa pamoja na babu yangu jirani kabisa na jukwaa la mziki na ngoma za kipindi hicho zilikuwa zinatamba sana asikwambie mtu! Babu yangu aliniambia vitu vya msingi sana siku hiyo lakini kutokana na sauti ya mziki kuwa juu sana na isitoshe tuliketi jirani na jukwaa la mziki sikuweza kusikia neno hta moja! Ahsanteni
Msenge wew na wote walio ku like
@@kamarhelo😂😂
Jamal una kipaji napenda sana the story book na professor jamal you really really make my day
Jamaal never fails,respect to you our hero more life to keep us learned
The African king of story telling
Safi sana, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
🥰unajua baba 🙌 ALLAH HAKUJALIE SANA BABA
Wewe kaka unajua vitu vingi Sana mungu akulinde." God Bless You" from Mozambique.
Maning nice🇲🇿👌
Hiii inshu ingekuwa kibongo bongo ingeishia sikuile Ile na angekuwa kishazikwa zamani! Ndugu zetu hawatakagi mambo za kumiza kichwa
Guys i love this man❤️❤️❤️❤️❤️ much appreciate professor
Mhhh hii ni nzuri nasubiri namba mbili kwa hamu sema km awaja ielewa iyo maiti kuna watu wanajua ila wanaogopa kusema
Story book nzuri sana kutoka kwa jamal🙌🙌🔥🔥
Nmejfunza kt kuhus Code. Maana kuw na code n vzur san cose utaweka mamb yko kw sir zaid pia nautawachngany wat wanaokufatlia system yko. So tuish kwa CODE. Wat wazma wamenielew 🙏🙏
Ujue watu wanajua mipango Asante kwa kazi nzuri kuchambua story
Ginga like apa kma unamkubali Professor Jamal April
Story ni 🔥🔥🔥 tuko pamoja from 🇰🇪
Nimejaribu Kufikiri na kuwaza juu ya hii story nawaza kwenye passport hizo hakukuwa na majina yake wala picha zake najaribu kuwaza tu
Eagerly awaiting part 2 of this unique mystery. As always Jamal April never disappoints
Basi fanya season maana ni nzuri sana
GOOD STORY , ... Nimesikilizaa Story Nyingi Kuhusu MTU anaitwa Mwanamalundi , ilaaa ukisimuliaaa wewe najuaa Uta Go DEEP tafadhali with due to respect naomba iyo Story ..... Au kisukuma wanamuita 'Ngwa'ana Malundi
Napenda sana simulizi zako mungu akutunze uendele kutusimulia
kaka nakukubali kweli we ni profesa unasikilizika na unaeleweka
Much love from Pemba
Jamal 💥 more success
Hiii Jamal kaz hii nimeikubali Kinoma Na sisi mashabiki wako tunapenda uci stuff kutoa The Story au usigailishe kutoa The Story Book!!!!! Sisi Washabiki wako tupo Bega kwa Bega na wewe Professor Jamali Apri, Jamali Mustafa
Napenda sana stor zako
coment za youtube za ajabu ajabu sana kila mtu anaomba like.....toa maoni kuhusu story
😂😂😂yani
MOST warming story 🙂✍️
✨🇹🇿❤️🇺🇦✨
God bless you unatujuza mengi
knowledge is power
The story book ibaki milele...!!!
Naomba leta story ya familia ya Kimafia ya Gambino ya Marekani hasa Boss wake aliyeuwawa mtaani anayefahamika kwa jina la Don Castellano.
Fresh kabisa waiting for continuation. Good job bro🔥🔥🔥
I like u most Prof
Wee... mambo ni mengi.
Mad love from 254
Amazing story... wonderful.......unajua Sanaa mzeee
Perfect bro ur talented 🔥🔥
Ahsante Prof Jamal,unatuelimisha
Uko vizuri broo
Absolutely..eish those days in bergen..mo pain for real
Hongera sanaa professor
Hongera sana Mr jamal
Good job professor ☺️☺️
The best story teller in history
Huyu mwanamke aliuliwa baada kumaliza kazi maana alikua jasusi ndio mtindo wanaotumia majasusi,na kua na passport nyingi ni lazima itafute movie #JASON_BOURNE utanielewa.
Kweli broo
Hatar sana
MWANA
@@mariamgadaffe7986 Mwana kwema
asante sana my brother from another mother
Respect sana Br Jamali
Kaka nakukubali Sana unatufanya tujuwe mengi zaidi profesor ni Joseph kutoka kalemie Dr congo
Mwamba uyuapa mustafa ajawai kuniangusha anakuangushajee aise nime ipenda sana story yaleo
Kazi nzuri sana
Duuuh hii story imenigusa sanaaa
Long life broo utujuze mengi tusio ya jua
Ahsante sana mzee story book
Nakukubli xana jamaal kazi nzur
kaka umetisha sana tunaisubl story ijayo kwa yam
Sema brooo naomba unijibu Ila unajua nn nakupenda Sana wallah siwez lala Bila ww asee
gai 😂😂
😂😂😂
Am getting and being followed the story book being teachable to me
HUWA NA LIKE BEFORE HATA STORY KUANZA BAJUA HUKOSEAGI AT THE SAME TIME THIS IS KIND OF STORIES I WOULD LIKE TO HEAR, MAFIA, INVESTIGATION, CRIME, AND mysterious,
Ya ma❤
Love this content from Kenya 🇰🇪
Nzuri sana
prf...hii fani ulisomea chuo gani...maana umetisha sana...ungekuwa mchezaji wa soka tungesema HALAND
Good story
Safi sana Kaka big up una ni inspire
The story book 📖 kila ijumaa 💪
@Mussa Humphrey saa 7 kamili
Kaka Jamal unafanya kazi nzuri sana
King of story keep up the good work
𝐔𝐤𝐨 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐏𝐫𝐨𝐟 𝐉𝐚𝐦𝐚𝐥
soooo amazing 🔥🔥🔥 story
Anajua sana uyu profesa
Kama unankubali jaml professor gonga like 👇
Bro ujengewe sanamu yako mikoa yote na miji yote ya Tanzania 🙌🙌🙌
sio kwel na justin shedy ajengewe wap sasa🤣🤣🤣🤣🤣
@@jacquilinenoah949 Ghetto kwako 😎
Kazi nzuri kaka hongera sana
It's a very interesting story 👍👍Impressive
Hongera Jamal kazi nzuri ongeza maarifa tutatue mambo magumu yaliyofichika
The story book ni fire mda wote
🤝👏👏 dah kaka lichongwe Sanam lako kariakoo pale 💪
Woow nimeipenda Sana thank you
Ni hatari sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyo itakuwa alikuwa secret service agent na aliuwawa na wauaji walifanya set up ya tukio Zima la eneo la mauaji ( alichomwa na Moto wa kupuliza) na alimezeshwa dawa... Kuacha mabegi itakuwa ni yeye aligundua anafatiliwa akawa anakimbia akaacha mabegi ili kuwapoteza wanaomfatilia
Kazi safi sana professor ❤🙏
Karibu songeaa profer
Kazi safi kama kawaida kama dawa
Asante prof nakukubali sana prof
Waiting for part 2🔥🔥🔥🔥🔥🙌
JAMAL 🔥 twangoja muendelezo 😃 😊
Kazi nzuri jamal 👍
So talented
Jamali mungu akuweke asee natamani uwe na channel yako binafsi mtu akiingia tu akutane na kazi zako . for sure una mashabiki wako pekeako
Naunga mkono hoja👌
Nami naunga mkojo oja
Haki zote zimehifadhiwa
Kwa iyo atoke wasafi ama
Mkurugenzi aanzishe channel itayorusha maudhui yaliyomuajiri?
Kama una elimu kidogo kuhusu majini utagundua kama huyu mwanamke sio binadamu. Kwa uwezo Allah aliowapa majini ndo huweza kufanya mambo kama hayo, jini anaweza kukuchoma moto upande autakae yeye, jini ana uwezo wa kukumezesha dawa na zisiyeyuke tumboni, jini anaweza kubadilisha matokeo ya DNA kupitia daktari aliepima hio DNA, na mambo mengi sana ambayo majini yanaweza kufanya, hata hilo la passport ni simple sana kwa majini.
Kuna jama aliwahi kutuwa Japan na passport ya nchi yenye yaipo kwenye ramani ya Dunia 😲😲 akafungwa na siku ijayo hawakumkuta jela,...
Wacha tusubiri muendelezo wa story huwenda tutajua huko mbeleni
Naeza taka Sana kuskia hiyo story ya Jamaa wa Japan,,,naeza ipata wapi
@@albertmambo8832 nenda kwenye channel ya Davistar mata media andika: "mtu aleitokokea sayari nyingine na kutuwa nchini Japan"
@@albertmambo8832 jamal alishawai isimulia pia angaliabstory book za nyuma
keep it up man🤗
Nice
Nakubal kak unajua san
Jamal unajua 💯👍👍big up
Good story ❤❤❤❤
Unajuwa sana bro
tumengoja sana baba mzee😁🤗