Mimina X Safari Ni Moja || Live Perfomance During Mass || Kwaya Mt. Romano Mtunzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 11

  • @jessemadullu2226
    @jessemadullu2226 ปีที่แล้ว +1

    Wow..lovely. Naviona vipaji vingi hapa. Mtafika mbali kwenye levels za KMK Makuburi ❤❤

  • @musichealsTz
    @musichealsTz ปีที่แล้ว +4

    Vizur kwaya mastaa! Naona ulichukua lesson vizur mno kutoka kwa mwalimu Zacharia Gerald kutoka Mt Kizito Makuburi. Keep it up. We'll done

  • @boazimaganga
    @boazimaganga ปีที่แล้ว +4

    Mbarikiwe waimbaji wote pamoja na mpiga kinanda mimia bwana neema zako tuzipokee pamoja na rehema nyingi kwa wakuabuduo kwa haki

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema ปีที่แล้ว +5

    Vigelegele za Agnetta ni tamu❤
    Hongereni sana wana-KMRM.👏👏👏

  • @Nyabodi
    @Nyabodi 4 หลายเดือนก่อน

    Woooooow❤❤❤@Joan
    When I grow up I want to be like you.powerful performance gal

  • @kizzykaka1792
    @kizzykaka1792 ปีที่แล้ว +4

    Aaaaaah,tamu hii wanaromano 👌🏾👏

  • @michael16achacha
    @michael16achacha ปีที่แล้ว

    Kalii, I love this...
    I wish I knew about this channel earlier

  • @clairemaina7975
    @clairemaina7975 ปีที่แล้ว +2

    Tutazame mbele na tusigeuke nyuma🔥🔥🔥simply wow

  • @collinsshake7131
    @collinsshake7131 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @brianlangat7961
    @brianlangat7961 ปีที่แล้ว +2

    👌💥💫💯😍

  • @isackokoth8292
    @isackokoth8292 ปีที่แล้ว +1

    Awesome😊❤❤