Hapo ndo naamini kuna watu wanafanya kazi za future, NGWAIR utazani sauti imewekwa juzi,huyu mtu ameishi maisha ya mziki wake mbele ya muda kabisa,so sad kuona ametangulia ila kazi zinaonekana za leo.TUNAKUBALI MAJANI UNAVYOENDELEA KUTOA MISTALI YAKE. #MANGWAIR kimya kimya,demu wangu,mikasi..............................................
nmeskiliza kwa umakin pia, Nmestuka thats not Cowbama, japo jamaa kajiitaidi kias kumclone buh truth be told hana spare, kuna vitu jamaa kapwaya, Only True fans ov late legend will recognize the different, Rest Easy Cowwizzy...
Iyo ngoma ilashatoka mdamlefu sanaa ziko ngoma mbili zilizoka iyo itaku ngoma ya tatu..ngoma ya kwanza ilitoka korasi ..aliimba ..shaaa..nyimbo ya pili ilitoka korasi aliimba ..daimond..vesinizile zile na biti iyoyo zilibadilika korasi..iiipa wameongezeka watu walili. Lapcha.na .j melody .ila vesi ya gwea ni iyo iyo nyimbo zote tatu....Kama unabisha nitumie namba yako ya WhatsApp nikutumie nyimbo zote tatu
Ngwair aliacha vocal za nyimbo nyingi kwa majani..sio ajabu akazimix na wengine na ikaonekana kama kafanya leo vocal..studio huwa zinabaki vocal za nyimbo zote
"... ah ah ahh uko juu mamii I wish hii club ingekuwa church tungeoana usiku huu kwani, kumeet nawe leo hii naona bahati yani huwezi amini mamaa am so happy.. "rip ngwair 🕊️
Hio verse imesha imbwa kama unafuatikia mziki ungekijua iko tafuta Ngoma inaitwa BBM KAIMBA NGWAIR NA MR BLUE ZIKO MBILI MOJA CHORUS KAIMBA DIAMOND NYINGNE KAIMBA DEMU WA MASTER J SHAAA
Ila wabongo ni wanafki sana chid benzi alisena nampango wakufanya ngoma na 2pc watu wakasema chid amedata atawezaje kufanya ngoma na mtu aliekufa Leo vipi na majani nae amedata maana amefanya ngoma na mangwer na watu ha Hao Wana sema wamemmis ngwer
Nimekaa K/nyama,Graveyard kila nikikuona kwa mwanao Tony akili mbaya We ngwair Aisee Rest in peace!Sie tunaoelewa muziki tunajua hakuna mtu mwenye kipaji kikubwa aliyewahi kuibless hip hop ya bongo kukuzidi Cowbama!Asa mtu akukute uko High,Ulikuwa unatema madini mpaka tunashangaa!We pumzika Tu albert,Wana wa K/nyama na kino tunakumic sana
Mtu kafariki Ana verse afu anafunika Wote😂😂
Kama umemmiss *NGWAIR* Semanenomoja kwake limuweke salama hukoalipo please
Mwamb anajua japo alivo kuaanaimb nilikua mdog
RIP my best rapper of all time Ngwair
Una uhakika nikisema neno moja litamueka Salama uko aliko ???
Ngwair still the best imagine hiyo verse ni miaka 13na zaidi nyumaa huko lakin kama kaandika leo na rapcha
Rapcha kajitaidi haaa japo kafichwa na marehemu 😂
Marehemu ivi karibuni utaskia kwenye amapiano maajabu
Hapo ndo naamini kuna watu wanafanya kazi za future, NGWAIR utazani sauti imewekwa juzi,huyu mtu ameishi maisha ya mziki wake mbele ya muda kabisa,so sad kuona ametangulia ila kazi zinaonekana za leo.TUNAKUBALI MAJANI UNAVYOENDELEA KUTOA MISTALI YAKE. #MANGWAIR kimya kimya,demu wangu,mikasi..............................................
MAJANI ww ni mtu ulikuwa unajuwaa NGWEA than anyone you prove to the world and you prove it BONGOFLEVA its belong to you!!!
Hii Ngoma daily naiskiliza, faya sana
Hizi ndio kazi zenye akili nyingi sasa, salute kwa majani aka mchonga njia kwenye game.
Ngwair aliimba mziki wa miaka ya 2050± huko...style yake haijawahi pitwa na muda
Ila Majani aiseeee
Ngoma kali p the legend,ngoma za zamani please usiwache kuzitoa video za kisaaa.
The most interesting thing about this song is that Ngwea set the entire mood of the song and the other artists had to rise upto his standard.
Ngwair was ahead of time 🎉
Huyo anachana co ngwair acheni na mchezo wakuingiza sauti za uongo za ngwair 😢😢😢
Ngwair kabla ya kufariki aliacha nyimbo hazijatoka ndio P funk anaanza kuzito kwa kuEdit kama unavyosikia hapo
nmeskiliza kwa umakin pia, Nmestuka thats not Cowbama, japo jamaa kajiitaidi kias kumclone buh truth be told hana spare, kuna vitu jamaa kapwaya, Only True fans ov late legend will recognize the different, Rest Easy Cowwizzy...
Iyo ngoma ilashatoka mdamlefu sanaa ziko ngoma mbili zilizoka iyo itaku ngoma ya tatu..ngoma ya kwanza ilitoka korasi ..aliimba ..shaaa..nyimbo ya pili ilitoka korasi aliimba ..daimond..vesinizile zile na biti iyoyo zilibadilika korasi..iiipa wameongezeka watu walili. Lapcha.na .j melody .ila vesi ya gwea ni iyo iyo nyimbo zote tatu....Kama unabisha nitumie namba yako ya WhatsApp nikutumie nyimbo zote tatu
Ngwair aliacha vocal za nyimbo nyingi kwa majani..sio ajabu akazimix na wengine na ikaonekana kama kafanya leo vocal..studio huwa zinabaki vocal za nyimbo zote
Ngwea umeuwa majani kazi nzuri sana huo ndio muziki tunaotaka mrudishe gwear kwenye ramani leo hii marehemu ana hit kweli legends never day
Ngwair still the best rapper In Tz 💥Rest In Paradise 🙏🏾
umetisha uyu mwamba kamfufua magwea #respect🤭🤫
"... ah ah ahh uko juu mamii I wish hii club ingekuwa church tungeoana usiku huu kwani, kumeet nawe leo hii naona bahati yani huwezi amini mamaa am so happy.. "rip ngwair 🕊️
Jaman P anataka kutuua huyu.. bonge la gukitu..
duhhhhhhhhhhhhhhhh jay melody kaua
Ngwar anavyo pita hadi 2030 style yake aitakuwa imepitwa na wakati
Rapcha na Ngwair Ni bonge la chemistry 💀
Dar ngwair atabaki kua ngwair tu...hii ngoma nikal balaa rapcha balaaa nae
Ngwair yupo mbele sana ya mda
dua kwa ngwair
This is our music not amapiano.
Ubunifu wa bit uko juu sana.
jamaaa anatumia jina na ngwair kupiga pesa ila kiuhalisia iyo siyo sauti yake ni muhuni furani tu ndy anatumia sauti yake
Only True Fans ov the late legend watarecognize, Rest Easy Albert.
Hio verse imesha imbwa kama unafuatikia mziki ungekijua iko tafuta Ngoma inaitwa BBM KAIMBA NGWAIR NA MR BLUE ZIKO MBILI MOJA CHORUS KAIMBA DIAMOND NYINGNE KAIMBA DEMU WA MASTER J SHAAA
Ngwair still killing it🔥🔥R.i.P legend
Ngweir ndiye ninanye mjuwa tz pekeyake rip og kaaobama
Albert Mangwair is still running in verses like the song written today.He was ahead of time.Hii haipingiki.
Legend appreciated ✊🏾✊🏾
Bongo Records for life,tulimiss sana this kind of music, creativity is true definition of P
mnyama,,, what a talent
All time Best producer in tz, tunajua mchango wako kwenye tasnia. Be blessed men
Ngwair killed it from the dead😭
Nice majani akili imetumika
Blessings to all here
Hii nymbo jeymelod hastahiki kushirikishwa... Ameharbuu
Best song kwenye album
Ila wabongo ni wanafki sana chid benzi alisena nampango wakufanya ngoma na 2pc watu wakasema chid amedata atawezaje kufanya ngoma na mtu aliekufa Leo vipi na majani nae amedata maana amefanya ngoma na mangwer na watu ha Hao Wana sema wamemmis ngwer
Nimewatch hii juu ya ngwair
Ngwair uwiiii anyway nilikuwa young ila nilikujua
Halafu yule Rapper mdogo wake na babuu wa kitaa kumbe anavyorap kamuiga Ngwair bhanaa
Nimejiskia kulia nimemskia ngwea na mistar ambayo sijawah kuiskia verse 3 mchizi yupo ataishi sana Cowbama
Iyo verse alishaipga ngwair ft Diamond & Byser ngoma inaitwa BBM black beauty model
@@jumaamohamed2815 sikiliza vizuri verse namba 3 halaf rud kasikilize hyo BBM YA KINA CHIBU NA BYSER VIZURI
@@jumaamohamed2815 I WISH CLUB INGEKUWA CHURCH .....
@@jumaamohamed2815hawajuwi watoto wa juzi kaka
@@jumaamohamed2815 anamaanisha verse 3
ngwair
Huyu sio Mangwair nae mjua.
Eeeh!! Ngwea🥺
Rapcha kaflow kama ngwair 🔥🔥🔥🔥 respect ngwair we miss u
Ngwea no1 stylist in Tz RIP
OG YAKE NDO YAMOTOOO
My Fav song of the Album
Ngomakali 2023 sikuwahi kutegemea bro❤
hii ngoma kali asee watu wamematch kabisa flow na beat jay kauwa sana asee
Ngoma kali sana🔥🔥
legacy ya Ngwair iishii milele
Black beauty model
Ile waliua sana gwair ft Mr blue & diamond
Ngwea mtu sana rest in peace brother 🤟🤟
Wowowo wooooooooooo noma sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
bingo
Ngwair verses 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 May he continue Rest well
Mmmh huyuuu fatheer mzikii anaujuaaa baaaanaaaa
Ngwair daaah 2050+ 🔥🔥 rest in easy
Nimekaa K/nyama,Graveyard kila nikikuona kwa mwanao Tony akili mbaya We ngwair Aisee Rest in peace!Sie tunaoelewa muziki tunajua hakuna mtu mwenye kipaji kikubwa aliyewahi kuibless hip hop ya bongo kukuzidi Cowbama!Asa mtu akukute uko High,Ulikuwa unatema madini mpaka tunashangaa!We pumzika Tu albert,Wana wa K/nyama na kino tunakumic sana
Who started here?
tumemis hii flaver ase rest in piece ngwea
ngwear alikua mbele ya muda sanaa
R.I.P Albert
Ngwea Wana man
Ngwair Alikuwa Mbele Ya Muda
😢sahihi man
If I was the one to decide Ngwear would live as long as Nuh wa safinap
Wamefunikwa na marehemu😊😊😊
😂😂😂😂😂🎉
WTF Broo Ngwair G come on bru jus a lil respect to the name G comee on
Mtu anisaidie hiyo mstari ya Ngweir imefikaje duniani?
Dah! Nimesikia Legend Kapita Rip 🙏🙏🙏
Sema ngwair kmmk 🙌🙌🙌
Saiv amapiano utumbo mtupu tena ulio oza
My all time Ligend Producer
Still Ngwair he's the best rapper in Tz in 2023❤
Hii uhalisia wake ni BBM YA NGWAIR BLUE NA PLATNUMZ
Iyo nayo ilikuwa limx mze ...bbm og alifanya na shaaa
Bongorecords big creativity
More than 10 yrs since he was gone but Man is so good “Hata nikifa leo pengo langu halina spare”
The original with diamond and blue is still on fire than this
🙌
no.1 on playlist🔥🔥🔥🔥🔥 call 911
Noma sn Ngoma ili
🎉🎉🎉
RIP mwamba still your the best
bila shaka hii nia myaka kumi nyuma coz hio sauti ya ngwair waliipata wap
Ni verse ya Ngoma inaitwa bbm yupo ngweir ,Mr blue na diamond
Ni verse ya Ngoma inaitwa bbm yupo ngweir ,Mr blue na diamond
Sh are to My Brother Ngwair ✌️
Mr. Blue na Diamond wako wapi?
Ninyingine mze wangu
Ngwair pengo lako halina spare Bob popote ulipo sikia
Ngwair the king
R.I.P Albert Mangwair
Mistari inayoishi… hapo naamin kwel ngwair alikua mbele ya wakati
Alberto
The goat ngwair
R.I.P Ngwair 😢😢
Ngwair umerekod leo ama?
NGWAIR K.NYAMA TUMEKUMISS❤❤❤
Ngweaa kauaa umoo
Hatujwa logwa ss last king