HUYU SELE HUYU😂: MBOSSO APANDA NA KANGA MOJA JUKWAANI - WASAFI FESTIVAL KAHAMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2023
- HUYU SELE HUYU😂: MBOSSO APANDA NA KANGA MOJA JUKWAANI - WASAFI FESTIVAL KAHAMA
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Wengi watachukia kisa kanga mim naona just creativity tu kama shida kanga mbona mam zetu walitufunga kipindi hicho one love sele❤❤❤
Kusaport usho... Dah😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Huyu jamaa ni mkali sana,siyo wale wakutusumbuwa vicwa nakuimba mapenzi,nakukubali man🎉
Sijapenda kwakwelii😢😢
Kuvaa kangaa😢😢
Thanks sw much❤❤😮😮
Mbosso umetisha sana😂😂😂😂
Mbona sioni like za sele
Ushoga unaingia taratibu Mungu tuepushie mbali
Umetisha mboso Khan🔥🔥🔥🔥🔥
Energy 💯🔥🔥🔥🔥🔥love from 🇧🇮🇧🇮
We mbosso saws ❤️❤️🥰❤️❤️🖐️🖐️🖐️😂😂😂😂👏👏👏🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hawa mashoga mungu anawaona
😂😂😂😂😂😂mishisha yanakuaribu..anyway love u my G..mbosso..selemani wee
Vipi mzee baba 😂😂😂😂 selemani we sele🎉🎉
Wasaf festival mwaka uhu ipo mkononi mwako sele😊
😂😂
Man wew nom endelea iv🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Songa mbele kinjana muziri❤❤🥰😎😎
me naamin mond akikaaa vibayaa mboso atakuja kuchukua no yake kaza bro one day yes
❤❤❤😅😅😅ila kali sanaaaa
Seleman kwa upanaaaaa wake❤❤❤
Wimbo mzuri matendo ya kishoga
Nakubali we mbosso saws sele ❤️❤️❤️❤️🥱🖐️🖐️🖐️🖐️❤️❤️❤️❤️❤️😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sele Ana mafunga mavi😂😂😂
Mbosso ❤❤❤❤
Seleeeeeee😂😂😂😂 mbk ila ujue mbk Yule sheikh anakuangalia 😂
Mboso khani❤️❤️❤️❤️❤️
😂😂😂 Sele you made my day my Highlight from Wasafifestivals 😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mbosso
Sele❤❤
Umetisha
Seleeee🙌🏾
S0 nice
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤😅😅😅😅😅sseleee
Sele kama sele❤❤
We love you from DRC 🇨🇩
Ila sele😂😂😂😂
Nyimbo mbaya kwani inamaana Gani hii😅
nakupenda mboso
Ckupng broo 🙏🙏💯 hujawai kosea broo
Huyu jamaa anataka a left group
Wow wow wwww mbosso poa saua kaka ❤️❤️❤️😛🖐️🖐️🖐️🤦👏👏👏😂😂😂😂❤️❤️❤️🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂
🔥🔥🔥🔥
😆😆👏❤❤❤
Sele kapotea 😂😂😂😂
❤❤❤❤😂😊
Amelaniwa mwanaume mwenye kuvaa nguo za kike na mwanamke mwenye kuvaa nguo za kiume khadithi hiyo ipo dini haitaki haya mambo kisha sio leo thu ile nnyengine alivaa deraa
Umesema kwel ila hawa wasanii hawajasoma dini nadhani
Mziki wetu hauwezi kuendelea kwa style hii .. lol
Npen like zangu
Sele una mguu mzuri kuliko demu wangu
Mpe trako utajua😂😂😂
❤
Jamani anaeelewa ataelewq asieelewa hataki elewa au anachuki binafsi selemani ana mambo tofauti ya ajabu ndo mana leo yuko hivo sasa mkitaka avae mtakqvo nyiye msg haitafika wadau
Sasa apo kavaa kihuni au oishoga!!!?
Mbosso naon unako elekea tunaanza kukukosa dah!😢😢😢
Wako biashara sharing yako😂😂
ety wasanii nikio chajamii wanatufundisha nin sasa
Mmmh mbosso kashindikana
Wearing kanga !!!😢 a man? O God
😂😂😂
Seleman🍺
We zombie tunakutegeaa 😔😂
Lokole ameshepata mwenzake 😂
Mbosoo ❤❤❤❤❤❤
Jamani, ufalme wa Giza umekupatia mtihani mgumu wa kupromote ushonga na ushirikina
Sele kaharibika😅
Huyu selehiyuu😢😢😢
Sele kuna siku anakuwa makini kuna siku anakuwa chizi kuna siku anakuwa mwerevu sasa lazima mumuelewe
Mr selemani Khan
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
dj Hd ndio misic band
Nkupupenda lakini hiyo nn umee valia bwana Wacha kutuwangusha sele
Mboso Sasa atakuwa anapandwa🤣🤣
Mimi nakuwlewa mboso wala hujakoseya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mm nikiona hii kanga nakumbuka siku nilipo katwa na nikawa mwanaume kamili walaih 🤔😀😀😀🙏respect jamaa🙏🙏🙏
Ukiona kavaa hivyoo jua amri imetoka makao makuu wanapo pajua wao
Ushoga huu sasa
Endeleeni kueneza ushoga mbwa nyie
Sele ana miguu mizuri 😂😂
Nimeipenda
😊🎉🎉🎉
😢😢😢😢😢😢😢😢Aya sele
nami ngikhona translate for zulu namanisha namimi nipo🤣🤣🤣🤣🤣
Ushaanza ujifanya upo KwaZulu-Natal mmm
🇸🇦🔥🔥🔥🔥🇰🇪💯💯
wasaf wote mashoga subirin cku zfke mtasaga meno mbwa nyiny
Aloo wimudes
Muangalieni ana shanga uyo kiunoni
Uvaaji wake binafsi sinalenda maana msanii Ni kioo Cha jamii
Hapo ameonyesha nini😂
Haya tena wengine wanakataa ushoga wengine wapo busy kuutangaza sasa sele na kanga wapi na wapi
sasa izi ni gani jamani
wachafu ya mashoga
Mbosso tena kichwachako
To bad ,,,,,kizazi kinaharibika
Tz yaìsha jàmani niñi sasa
Sele kangamoko😂😂😂😂🤔
Uo senge ss kanga tena
Jaman wasafi sasa wanapo elekea sijui😂😂😂
Ukion mwanaume anavaa nguo za kike na mwanamke anavaa nguo za kiume hio ni dalili ya kiama
Kwani ww mumeo akienda kuoga avai kanga ...? Au watoto wko wajaenda jando ww Wana migovi...kama wameenda jando lazima utajua utamaduni wa kanga....
Duhhh😂😂 huyu mbosso sijui ndio kusema katokea jandoni au ??
Kwani kunamtu hajawahi vaa ivi ukiwa mdogo Hadi miaka 7 watu tumevalishwa
Kila mtoto aliogeshwa na mama kisha akafungwa kanga na kuvishwa nguo amekumbuka utoto ika siyo ushoga😃 Jamani ndiyo maana ndani ana katra yake
Naona na ww unazidi kutetea ushoga na kuutangaza endelea kuwa wakala tu siku utajua utauma meno sana
Khaa Kwa hiyo hata wewe ulipokuwa mdogo ulivalushwa nepi ya kanga ,kuoga ulivalushwa khanga ni utamaduni wa mwafrija msij8rie Leo kugundua jeans mkaj8fanya Eti khanga ushoga loh!
Sele ameuwa kahama jaman muje tena kahama wengine wanaiga by alphonce lucas ilamlila pande za kahama
Mbona anaimba vibaya kama sio mziki wake 😂😂
Hiyo sio kuimba inaitwa kuhiype wee nyamaza Tu if hujui achana nayo
Huy seleman