Kufufua is the best and first translator plus our natural language in his translation .Alikuwa bora na mwanzilishi wa kutafsiri ikijumlisha na vionjo vya kuweka lugha zetu za asili alikuwa kuliko hao waliokopi kwake
kipindi huyo jamaa atatafasiri mimi mwenye miaka ya 2001 nilikuwa sifiki shule kabisa nilikuwa nazunguka kwenye mabanda ya video huku nimetoa shart ya shule navaa ya nyumbani
Nlikua natoka wailesi naaga kwenda mtoni mtongani kumsalimia mama yangu mdogo Allah amrehemu kumbe naenda kuangalia mapicha kibanda umiza mixa nje kuna makava ya picha husika hatari sana
Yaan mpaka leo the best translator kweny movies za kikomando bado sijampata kama mkandala derick tisha sanaaa
Alikuwa anaijua kazi yke na alikuwa anapenda anachokifanya na nahis alipitia mafunzo kwenye jeshi
Yani sijui kama atakuja kutokea mtangazaj movies mkali kama mzee lufufu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hatotokea yani huchoki kumsikliza
Mkandala Alisha afariki tuombee zaidi mungu aendelee kumpa pumziko la milele
Daaah nmekumbuka mbaaaaaliii saanaaaaa ila sisi tumefaid sana hz muv zilkuw zinatujengea ukakamavu na kujiamin sna acha tu
Mkandala ndo mkali wa muda wote kwenye sanaa yakuingiza sauti
hi move ainishi amu ni bonge la move tz uige ubunifu
Hakik kizuri akidumu rest in peace Derick Gasper Mkandala cjawah unabaya kamanda 🙌🙌🙌
Mkandala Lufufu alikuwa anajua kutafsri movie huyu mwamba watoto wa mwaka 2000 hawAtaweza kuelewa hii
mkadalala ametangulia mbele za haki toka mwa 2017 ndugu yangu
Daah Yani we nmeamua nijikumbushie
Huyuuuu jamaaa ni Atari sana
Kipindi hicho movie isiyo tafasiliwa na lufufu siangalii
Lufufu..
The GOAT 🇹🇿🇹🇿🏆🏆
Jamaa alikuwa anajua sana
Mwanangu fanya iv iv weka movie kali za zaman tunazimisi
Mkandala ndyo sababu ya mimi kupenda picha za kivita.
Nakubarisana imivies inanifanya nikumbuke mbali
Tisha sana mkandala
Kaka Hakika Mungu Akubaliki ....Naomba pia uwe unatuwekea na Nigeria za lufufu
Haya wazee wengu tukutane hapa.✌️
Captain derrick Gaspar mkandala luufuufuuuu🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa alikuwa anajua sana na aliekuwa anafanya mimi siendi shule nakimbilia ukumbini kuangalia move😅😅😅
Mkandala ulikuwa unanifanya nyumbani sikamatiki kwenye move zako
Dahh long time hii picha
Lufufu ndio mtaramu wakutafsiri move sio watoto wa 2000
kwamba hutambui ufundi dj mark na murphy dj tuache kidg but alifanya vizur
Kufufua is the best and first translator plus our natural language in his translation .Alikuwa bora na mwanzilishi wa kutafsiri ikijumlisha na vionjo vya kuweka lugha zetu za asili alikuwa kuliko hao waliokopi kwake
@@christonchristian7448 Ni muasisi aliye anza kaanza tu respect kaptain
Nimekumic Sana swahiba wangu lufufu😢
😂😂😂😂😂
Dah namkubali sana
😂,Jilani yangu stasahu
Hata na mm nimemmis kweli kabisa
kipindi huyo jamaa atatafasiri mimi mwenye miaka ya 2001 nilikuwa sifiki shule kabisa nilikuwa nazunguka kwenye mabanda ya video huku nimetoa shart ya shule navaa ya nyumbani
Picha mzuli sana tutakukumbuka lufufu mkandala
Naikumbuka sana hii movie , kwakipindi hicho turikua tunaangalia vibandani Kwa sh 100 dah zilikuwa poa sana.
kweli ww wajuzi ss tulikuwa tunaangalia kwashilingi kumi
@@BakariShabani-u9cuyo alikua dogo janja mnoo
Iv mkandala kaenda wapi atumon kwenye mv
Amefariki
😂
Amekufa mwaka 2015
alifariki dunia
Ameshafariki muda mrefu
Wanao tafasili move bado hawajamfikia mkandala huyu mzee
Kitambo sana picha 2 kibanda umiza tsh 50 dah muda umekwenda mnoo miaka ya 97
Dah Yani hii movie kitambo xana lkn mpka saiv 2020 nailudia sichoki mkandala alikua noma
Aisee nlikua napga chimbo shule naenda kbandan
Notriti no sarenda no moja yarufufu naipataje ,?mtandaoni haipo
Mkandala Lufufu 🔥💥
@juma tungu mkandala kashafariki zamani
Kashafariki mbona.
Move ya predator ya Anord iliyotafsiriwa na lufufu naipataje
2024 weka like apa😂
tupo hapa 14/8/2024/noma sana
@@Francmtwevetupo haha
Best translater🎉🎉🎉
Nlikua natoka wailesi naaga kwenda mtoni mtongani kumsalimia mama yangu mdogo Allah amrehemu kumbe naenda kuangalia mapicha kibanda umiza mixa nje kuna makava ya picha husika hatari sana
Aloooh weeeee😂
Wailes uliishi mtaa gan likwati,kitomondo,himo,mji mwema,boko,mombo,njinjo,liganga,ngarambe,taveta,kahe, lushoto,changani,mkumba?
@@rashidsaid6015 niliishi mtaa wa mombo nyumba namba 9 almaarufu Posta na Simu
Oya kumbe ww mtoto wa wailes daah mtongani madafu makaburini pale sa hv kuna fremu ndo palikua kuna bonge banda pale sio mchezo
@@ChoroTesla Yeah kuna frem kuna Mwarabu anauza hard wear
REST IN PEACE Captain Derick Mkandala LUFUFUUU
Like za kutosh kma unamkubar lufufu
Umetisha kaka
Weka inayo itwa robo war n nyengine american cyborg
Mkandala picha ya shwazniga
rufufu mka ndal ame sha kufa bahn
Tisha sanaaaa
Kaliii hii
hatimaye nimekupata
Lufufuuuuuuu
We Acha tu
Amesha fariki mbona
nakubali
banda la movie manzese CCM 1997
Ok
12:57 12:59 ❤❤❤❤❤
Achaa222
dah mkandala
I remember mkandara lufufu
Alifariki 2011
SH 20 movie 2
Good
Waoooooooooooooooo
aaaa poa saana
Amefali
2024❤
1992
Alishafariki mkqndala
You Tebes
𝔨𝔦𝔱𝔞𝔪𝔟𝔬 𝔡𝔞𝔫𝔞 𝔫𝔦𝔪𝔢𝔨𝔲𝔪𝔟𝔲𝔨𝔞 𝔪𝔳𝔞𝔩𝔦 𝔵𝔞𝔫𝔞
Mwanangu fanya iv iv weka movie kali za zaman tunazimisi
Tisha sanaaaa