ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asanteni sana Almasi, mmenifanya kuwa mwana muziki asanteni sana.... The late Kalala Mbwembwe na Ruaha International. Big love from Ilala Iringa. 😊 Bless😊
Ohhhh! Samahani ya uongo! Tuncut almas nawaita Mara 3! Asanteni kwa burudani murua na ujumbe mzuri!
Kawele mutimanwa Kyanga songa na pacha wake Kibambe ramadhaniKing Maluu saxphoneKalala mbwembwe
Wazee wetu walijua kuimba aisee..... wimbo unagusa sana uhalisia wa tabia zilizopo katika jamii.....
Yaani Hawa jamaa miaka 1988-9 acha tu!
Acha ndugu zangu walikuwa nooma namkumbuka shaweji yupo hai kweli
Kawelee alikuwa shiiidaa
Tancut Almas dah! hawa hawakuwahi kuwa na wimbo ambao siupendi
Upo sahihi kabisa
Daa nashindwa hata kusimlia' kwa kweli inafurahisha, inakumbusha na inaburudishaa
Kalala Mbwembwe pumzika kwa amani
Nyimbo zao zote poa.
Kinye kinye kisonzo fimbo lugoda nye wanyalukolo
Hii ndio miziki sasa
Vyombo vimepangika kisawasawa
Kinye kinye Kisonzo
Maneno yamepangwa vizuri sana.
Solo ya kawelee ni balaha tupu
Solo ni shabani yohana wanted baada ya hapo ndio alikwenda vijana jazz
Kinanda abdul salvador mkali sana
Kinye kinye kisonzo Tisa kumi mangala
Asanteni sana Almasi, mmenifanya kuwa mwana muziki asanteni sana.... The late Kalala Mbwembwe na Ruaha International. Big love from Ilala Iringa. 😊 Bless😊
Ohhhh! Samahani ya uongo! Tuncut almas nawaita Mara 3! Asanteni kwa burudani murua na ujumbe mzuri!
Kawele mutimanwa
Kyanga songa na pacha wake
Kibambe ramadhani
King Maluu saxphone
Kalala mbwembwe