Ust. Rajai Ayoub - Quran Tajweed- # Yaumul Ally Badawy ( Masange Day 2019 ) 14

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2019
  • Usomaji Wa Quran Tukufu Kwa Njia Ya Tajweed Katika Maafali Ya Ally Badawy Day ( Masange Day 2019 ) Chini Ya Uongozi Wa Dr. Ramadhani Sungu. Hii ni Maafali Ya 14 Ikifanyika Katika Kata Ya Masange Wilaya ya Kondoa Mkoa Wa Dodoma. Ni Mkusanyiko Wa Wanafunzi Waliosoma kwa DR. SUNGU Na Baadhi Kidogo Ambao Sio Wanafunzi Kutoka Tanzania Na Nje Ya Tanzania Wakijumuika Kuadhimisha Maafali Hayo.
    Pia Huhudhuriwa Na Viongozi Mbalimbali Wakiserikali Na Wakidini Lengo Ni Kujifunza Kile Kinachofanyima Kwa DR. SUNGU MUNGU Mbariki Sheikh Letu DR RAMADHANI M. SUNGU Umpe Umri Mrefu Wenye Afya Tele Tuweze Kupata Matunda Zaidi Kupitia Yeye. ( ALLAHUMMA AAMIYN)

ความคิดเห็น • 18

  • @SeiffShaban
    @SeiffShaban 4 วันที่ผ่านมา

    Mashalhhhj

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @neemarashed3391
    @neemarashed3391 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @omadybinumady5427
    @omadybinumady5427 4 ปีที่แล้ว +2

    MAshaa allah tabarakallah masange kondoa

  • @saniaayuob8165
    @saniaayuob8165 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie kaka ake😍😍😍😍😍😍😍😍🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Qirrat1
    @Qirrat1 4 ปีที่แล้ว

    Jazak Allah khair

  • @tabiasalim1497
    @tabiasalim1497 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @saniaayuob8165
    @saniaayuob8165 4 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah

  • @Qirrat1
    @Qirrat1 4 ปีที่แล้ว

    Subhan Allah

  • @saniaayuob8165
    @saniaayuob8165 4 ปีที่แล้ว

    Amini thuma amini 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Qirrat1
    @Qirrat1 4 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️

  • @Qirrat1
    @Qirrat1 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 4 ปีที่แล้ว

    Wa tanzania wa dar msikit wa mtoro toeni pesa hizo na makaratasi tu hayo mkifa hamto zikwa nayo acheni ubahili.

  • @maarufuselemani9233
    @maarufuselemani9233 4 ปีที่แล้ว

    Twaybu twaybu @Rajai Ayoub

    • @yahayahuseni3557
      @yahayahuseni3557 4 ปีที่แล้ว

      Hongera sana mwenyezi mungu akujaze her

    • @biashabasai2760
      @biashabasai2760 3 ปีที่แล้ว

      Mashaa Allah jazaka Allah khayra

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 ปีที่แล้ว

    Mashala

  • @ruqyaabdallah781
    @ruqyaabdallah781 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah