ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Atakayesoma iy kometi mung awabariki
Pls nakuomba like zenu nimechelewa ,kutoka kenya 🇰🇪 job Iraq 🇮🇶
Leo watano kutoka Saudi wap like zenu jamani❤❤
Wa kwanza leo
Ila kwasasa movie hazinogi hawo waigozaji wapya siyelewi nao
😂😂😂Sarungy bana hio game umecheza Kwa Cham ni Kali sana😂😂Cham xx kitamramba
Leo mumenibamba sana wa2 ❤❤❤Askari kijiti 😂😂😂
Wakwanza leo naomba like nzangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mama sarungi Yuko wapi jamani?
Wa kwanza leo kwenye comment 🤣🤣mimba reeea ni ya kwako
😂😂😂😂😂😂 I really love this film
Leo nimewahi jamani
Wa kumi na moja npeni like ata mbili basi
Ino move nakumbali wapenzi munaweza jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hapo kwenye roboti ndio palinifanya nicheke😂😂😂
Fet nikupe pole kma ni adhabu ya uliyoyafanya hapo umekoma
Kwani nyinyi wanaume , mkiambiwa maswala ya mimba nikukumbali TU. Nenda mpime na pia mfanye dna
Cham your game is over na challa hasira zitakuponza mwanangu
Wew kiweza hiv unafikir kusalitiwa mchezo
Congratulations for good work 👏
Huyu jamani Aisha yupi?
Nawapenda kijiti media
Mohogo mia kabisa 😂😂
Huyu Aisha mwenye anadai Ana mimba y Sarungi ni yupi mbna sikumbuki kama alikuwa na mahusiano na Sarungi
Ule alimngoa sarungi nywele wakalala nae
Yule alimsaidia pesa ili amlipie mamake pink hospital
Alie msaidia pesa akalipie mamake pink hosi
Episode gani
@@AlphonceNgui-w2e season 1 nimesahau kma ilikua episode ya ngp
Kali sanaaaa
Mama p ❤
Kazi tamu
Wa 7
wapiri mie
Lakini jamani misijapenda kwel mbona ppink wakwanza Yuko wapi??
Kapata dharuraa kaenda zanzibar ilaa walisema atarud
😂😂😂😅 Fetty kaz unayo 🤣
Duh Fetty achana na hyo kazi my dear
😂😂😂😂😂
Hongera sana sarungi kwa game uliyo icheza kwa cham 😂😂😂😂😂😂
Saa hizi namchukia kijungu😢😢
Usimchukie huu mchezo hauitaji hasira😂😂😂🔥
Uyu Aisha naye ywanikera limwili tu uzuri aaahhh😂😂😂😂😂😂
Salong umetumia akili sana kuiba cm ya cham😂😂😂😂
Uyu Aisha mbn anaanz kuvurig mchezo mimba io imeanz lina kuw na mahusian na sarungi
😂😂😂 cham uko vizur mm niko na macho ya kiroho naona mbele moo amedai atamaliza game ila apo utamubwaga mwambie pink na mamke uko na........😅😅
Jamani Mr sarungi mbona mitego mini inamandama tena
Hata huyo moo pia kampa mtu mimba kwahio hepy chaguo nilake kubaki na sarungi au kwenda kwa moo😂😂
Nimecheka Sarungi umemweza cham
Alienda akamwambia amkopeshe hela
Huyu aisha mlimbadilisha pia jmn huyu wa sahii siyeye 😢😢
Huyu Aisha mimba yake ililetwa na maji kisha akaona walikua wanafanya mapenzi na sharungi? Mbona sijai ona sharungi akiwa na hizo tabia kuliko yule dem alitumika na bibi yake kupata nywele😮
Sasa huy pink ataponea wap ikiwa Kwa mo Kuna mim Kwa sarungi Kun mimba wap ni wapi sasa
Kijungu mtaa ni kontawa na umekuja jus duh
Wa 10 nipeni like zngu from omani 😂
Ma pinki anasema et una mbele Wala nyuma yeye je yukoje?
Mm nakumbuka kuna kipindi sarungi alikuwa na shida ya pesa ili ampe pink amtibishe mama yake
Akamuomba aisha amsaidie kiasi cha pesa sara akasema kama anataka msahada wafanye kwanza mapenz ndo atampa ela wakakubaliana ivo
Dada Ake mo kama Hana akili hivi
Ni nzuri sana❤❤❤
Wa nane leo
Sasa pink ajatok zanzibar uyu pink mupy n munene😂
Sas unene unashida gan . Si anacheza vizuri tu labda ni vyenye hakuja mzoea.
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉
Mbona huyu cham amepahuka hivyo jaman 😂😂😂😂
😂😂😂
🎉🎉🎉
Mbona sura ya cham na mama pink ni sawia kabsaaa 😂😂😂
Ila comment za watu Zina nivunja mbavu wallah😂😂
Huyo mamake pick sura yake haiko sirias hanasura lakuchekacheka tu kama fala vile
😅😅😅
Kueni seriously na commitment zenu baana 😢😮😮😮
Kuomba like Tu na wengine kutukana ila kutoa ushauri ,"AAA," mbwa mimi 😂😂😂
Wa nane Leo from saudi madina
Jaman pink huyu cjampenda na ananitoa mud ya kutizama naona film inaenda kua mbaya