ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Anae soma comment hii Mungu ambariki katika utaftaji wake❤
Aamin kwa sote
Amen 🎉🎉
Kwetu sote In Shaa Allah ❤
Amina
Wellu hata wasiwe wanamuweka kwenye series anaboaga
Jmn mnaomsema welu mkumbuke Kuwa kila mmoja kwaumbwa kivyakeHivyo ndivo alivyoumbwa tunaompenda welu like hata moja tu😘
Riyama ally, mimi nimezowea kumuita mama mateso, katika iyi series unanikosha sana, yani kama ukweli vile
Mm mwenzenu mtt akilia hivi naumia jmn🥺
Kutoka gulf nipen like zang leo nmewahi 🎉🎉🎉❤❤
Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
Hatimae Leo nimekuwa wa kwanza from Msumbiji 🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nimemkubari Sada.
Kazi nzuri sana ❤❤
Hahahaha Aroooo yaitwa mahabaa
Kwani sonia hanaga nguo nyingine 😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅😅
Next ni nzur sana nawapenda
Pole sana mama tunu
Utasema jini
Mikope milenzi shedo hata halijapendeza
Nawapenda sana
HUYU SONIA MBONA HABADILISHAGI NGUO
Ila Sada n mrembo sanaa ila dada ake n eddy mmh Hana uzuri wowote bora Saloo abaki n Sada❤ Bi mauwa ana roho y nyeusi kweli anamfanyiaa mumewe mambo y ovyo kweli kaaa ambaye nyumba n yake nyoooo😒
Badili nguo Sonia aaaah😂😂😂😂😂😂
Tuko na nyie mpaka kiwarambe😂
Next plzz ya 9
Salu umeachwa vibaya mbwa ww hospital ukome tabia mbaya
Kope jamani
Ivi hili litina hayo macho yake kama mdudu yaan nimekuwa baya
Wivuuuu mama wivuuu😂😂😂
Move tamu lkn huyo Tina hamna haise simpendi
❤
❤❤❤❤
Maskin Eddie 😢
Ten salu kime kulamba
Wee salo kwani wakati unalala na tunu hadi unameka mimba hukujua kua kuna sada mwenye mlikua mmepanga kuoana acha zako salo lea mimba yako
❤❤❤
Anae soma comment hii
Mungu ambariki katika utaftaji wake❤
Aamin kwa sote
Amen 🎉🎉
Kwetu sote In Shaa Allah ❤
Amina
Wellu hata wasiwe wanamuweka kwenye series anaboaga
Jmn mnaomsema welu mkumbuke
Kuwa kila mmoja kwaumbwa kivyake
Hivyo ndivo alivyoumbwa tunaompenda welu like hata moja tu😘