mimi nashindwa kujoin dj kwa sababu laini yangu ya kenya ilifungwa natumia ya huku saudia so atueki pesa wala kufanya chochote mimi naziiitegea.tu hapa TH-cam jamani dj plz nakuomba ni Sofia Oscar kutokea kenya kilifi natazama nikiwa saudia tuekee tu dj wetu
Mimi ni Silvester Kutoka Kenya. Napenda jinsi unavyotuandalia movies safi kwa lugha iliyojawa na heshima. Kongole! Kweli wewe ni kinara katika ulingo wa kuzitafsiri movies Kali kabisa.
@@iammichaellukindo Karibu dj. napenda sana kuzifuatilia movies zako kwa sababu unazifanya kwa lugha yenye heshima na haziwezi kuzingua ninapoziangalia pamoja na watu tunaheshimiana. naomba unielekeze nipata sivasci kama umeiandaa tafadhali mkuu.
GROUP LA MASHABIKI WHATSAPP : chat.whatsapp.com/EBQ8Z8NsZdaIMCr4HNbTT1
How are you DJ my name is hafsah Hussein from Saudi
Me ni sejal Elizabeth kutoka Kenya Mombasa DJ wangu KAZI zuri DJ 🎉🎉🎉🎉mauwa yako
Me naitwa Sauda niko saudia, shukrn mpnz kwa kutupa burdan, mungu akufanyie wps na kazi zko🎉🎉
mimi nashindwa kujoin dj kwa sababu laini yangu ya kenya ilifungwa natumia ya huku saudia so atueki pesa wala kufanya chochote mimi naziiitegea.tu hapa TH-cam jamani dj plz nakuomba ni Sofia Oscar kutokea kenya kilifi natazama nikiwa saudia tuekee tu dj wetu
Asante dj naitwa hildah kutoka Kenya nairobi
Dj tunae na tunatamba nae🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉 DJ wangu nimekuwa nimesha kumiss unajuwa hilo
DJ SAMAHANI UUNGALIE HUU MZIGO (_SAD LOVE STORY_) UKIUWELEWA TUEKEE TAFAZALI 🙏🙏
Napend san movie zak niwek kweny group lak ili niwe nazipat
Dj tupe vitu na ndomana nakukubali sana dj wetu🎉
Nakukubali sana dj wangu
Mapeziyanuma..asiwabiemuti.❤❤❤
nakupenda Sana di
nakupenda Sana dj sana
Twende dj weekend ongeza mdundiko angusha moja moja usifanye kama mafuriķo nilimiss sana naitwa finah kigambon dar❤❤❤❤❤❤ pamoja san
Jirani yangu
Asante dj kwa movie nzuri sana by Mercy from Iringa Tanzania
Sisi ni family ya Michael lukindo tunapatikana moçambique nji wa Palma🇲🇿👍♥️♥️
Naitwa khadidja nipo saudia yani dj nakupenda sana daaah❤❤❤❤
Frola kutoka makunduchi zanzibar nakukubal Sana DJ mauwayako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi ni Silvester Kutoka Kenya. Napenda jinsi unavyotuandalia movies safi kwa lugha iliyojawa na heshima. Kongole! Kweli wewe ni kinara katika ulingo wa kuzitafsiri movies Kali kabisa.
Asante sana mkuu. Nawapenda sana Kenya
@@iammichaellukindo Karibu dj. napenda sana kuzifuatilia movies zako kwa sababu unazifanya kwa lugha yenye heshima na haziwezi kuzingua ninapoziangalia pamoja na watu tunaheshimiana. naomba unielekeze nipata sivasci kama umeiandaa tafadhali mkuu.
Kazi nzuri dj napenda move zako saiuti imeturia yaan
Daah dj una nikosha san baba mrisho apa reno🎉🎉🎉
DJ uko vizuri sana
Yani DJ nakupenda sn umetuletea movie hingine waaah nakupenda sn LILiAN from Kenya Nairobi wangige
Asante my dj wangu nimechelewa shakila kutoka Saudia Madina
Namdenda sana kazi zako
Nachokupendea move zako unamaliza ep zote ilove yuuu😂😂
Movie nzuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tuleteen na nyigne nzur rehem kutoka tanzania
Atimaye tena DJ umerudi kazini asant sanaa nakupenda sanaa
❤❤
Asante sana dj wetu
Asante sana DJ wangu kwa kutuletea movie hingine mpya nakupenda sana DJ mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤ dj jina ni sejal Elizabeth kutoka Kenya Mombasa
Naona dj umetuletea hingine vilamu tunakupenda sana ♥️ dj mauwa yako🎉🎉🎉 naitwa syombua kutoka 🇰🇪
Tupo na ww dj
Asante dj ujawai tuboesha ukitoa moto waleta kiboko❤❤❤❤
Nainjoy sana na mov zako
❤❤❤❤I love it so much
Dj unajua kunifurahisha snaaa mungu akutunze karbuu mlandiz kibahaa💕❤️❤️
Nakubareee Dj
Naitwa shani kibavu natokea dar
Niko Oman napambana
❤❤❤❤❤dj mauwa yako
Twende dj huna baya kaka lukindo ❤❤❤fetty kutka oman
Dj tunaomba move nzur man napenda move zako sana
Naitwa hamida nipo oman na enjoy Sana ubarikiwe DJ wetu❤
Asante sana dj wetu Lucy kutoka Kenya malindi
Safi Sana dj wangu Nakupenda Jmn huna mby kabixa
Nikupe maua yako🎉🎉🎉🎉
Much love from Saudi Arabia riath city dj thanks ❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana dj wetu maua yakooooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
DJ nakupenda sana nakupenda sana uzindi kutumbuludisha
Mungu akubaliki ❤
Shukrani sana
❤❤❤ ahsant sana dj
Unatumbuludisha thank you
Nishabiki wako nakufatilia sana naitizama hii nikiwa Oman muscat naitwa SANAA 🌹🌹🌹🌹
Waooo mm wakwaza Leo jaman
We dj wetu hauboy wala hukeri tusambazie upendo mwansity nkiwa oman muscat
Aibu kweli kukataliwa mbele ya mwezako mwanaume yooooh😊😊😊😊😊😊😊
No stress ukiwa na Mr informer😍😍
Dj nakukubali vibaya mno
Asante dj wetu
Karibuni jamani mm nawakaribisha
Asante sana dj 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwakweli Dj nakukubali wewe ni mfalme wa mapenzi 🎉🎉🎉🎉
Mapeziyanuma..asiwabiemuti
❤❤❤❤
naitwa Aisha asnt sn dj wetu❤❤
Bila shaka dj tuko pamaja kabisa
DJ nakupenda bure
leo unatufurahisha sana tena sana dj wetu 😮
Wakwanza zari
Kali Dj wangu🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana dj wetu nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤nelly kutoka oman 🎉🎉🎉🎉🎉
Asañt sana dj kwakutuletea movie mpya❤❤❤
mim napenda kazi zako dj mungu akubariki
Penda san dj wetu Mungu atutuzie tuzidi pata vitu vizuri kutok kwako❤❤
Asante mpenzi
Asante San DJ kwa mzigo mpya
Tunakuwelewa dj pandeizi🇲🇿
Asante sana nawapenda sana
Nilikua nime lala nakupata vizur❤❤❤
Jaman DJ wetu penda sanaaa wewe ❤️😘❤️❤️😘❤️
Asant san dj wangu love you love you love you love you dj❤❤❤❤❤asnt kwakazi yako nzur san dj
Kama kawa kaka angu pamoja sana from oman❤❤❤❤
Naitwa Jackline nipo tanga naenjoy sana zaid yasana na movie zako
mchizi kapenda pasipo.pendaka ila nime ikubalisana❤❤
DJ nakufata sana nikiwa USA 🇺🇸 nahitwa hussina❤napenda sinemazako
Dj kazi nzuri🎉❤
Kwani mnakesha jaman, mm wamwisho nimefka🎉nimedka
Asanté DJ tunakupenda ❤❤❤
Asante fj wetu nakupend apoo tu
Nakubl kaka respect kwako kilq hatuq duwq kaka
asante sana dj wangu muendelezo basi ni sofia kutoka kenya kilifi natazama nikiwa saudia
Apo ni miguhu nisaidiye 😊😊😊😊😊😊😊
🎉🎉🎉❤❤❤
Nakukubali dj kazi nzuri
Dj uko pw kazi njema❤❤❤❤
💚💚💚
Dj leta vitu vipya kabisa
Upo vizur dj wetu 🎉🎉🎉🎉 ❤ ❤❤❤❤
Martin kutoka iringa. Pamoja Sana dj.
Namikubalii Sanaa dj l ma from Burundi
Nakubali dj wangu
wow mzigo mpya
Ahsante dj
For sure unajua hadi unakera😅napenda sn unvyotafrisir movie zako
😊😅Asante ,kazi nzuri
Dj wewe ni handsome nakupenda 🥰♥️♥️♥️♥️♥️🥰🤔♥️♥️🤔🤔💏💋💋💋💋💋💋💋
I gat u DJ thank u a lot