ila pamoja na yote Mkono wa Mungu uko juu ya nchi yetu Tanzania viongozi wetu walipambana sana licha ya kuwa tunaona madhaifu yao ila mazuri mengi sana wamefanya big up the chanzo
Hizi ndo habari sasa..tanzania tumewavumilia mengi kutoka majirani zetu.lakini bado hawaoni thamani yetu..but there is a day they will know our presence😢
Kuna mataifa yanatuwinda sana kuondoa amani yetu ili wanufaike huku wakitumia baadhi ya mataifa ya Africa na baadhi ya hayo mataifa ya Africa tulishawaonesh kuwa wasidhubutu kamwe
Imagine 85% ya mizigo yako inapita kwangu alafu unanishambulia ,hivi hii ni akili au matope😆😆😆. Ani silaha zako zote zinapita kwangu. chakula chako ,mafuta alafu unataka tupigane ani watu wengne bwana, kichwani pumba kabisa😂😂😂😂
@@nellyjr396 Kama Uganda Backed with Libya walinyooshwa vile hiyo burundi nchi kama mikoa miwili ani ni week tu ingewatosha.. wangejuta dadeq mziki wetu ni hatari
Tamu san mmetukumbusha mbali...Kumbe hawa nao walituchokoz dah! Nyerere angewap dozi kidogo
Tena hawa ndo tungepiga kama nyoka dadeq
Mwandaaji wa makala hii anajua kazi yake, na msimliaji pia yuko vizuri kazi nzuri saana
ila pamoja na yote Mkono wa Mungu uko juu ya nchi yetu Tanzania
viongozi wetu walipambana sana licha ya kuwa tunaona madhaifu yao ila mazuri mengi sana wamefanya big up the chanzo
Ahsante sana kwa kuteelimisha watoto wa 2000 ndo tumejua leo Nchi yetu imepitia mambo mengi
News we ought to know and so does the Nation be protected at all costs
Hizi ndo habari sasa..tanzania tumewavumilia mengi kutoka majirani zetu.lakini bado hawaoni thamani yetu..but there is a day they will know our presence😢
Athari za vibaraka dhidi ya 🇹🇿 na wapo mpaka leo tena jiraàaaani
Kuna mataifa yanatuwinda sana kuondoa amani yetu ili wanufaike huku wakitumia baadhi ya mataifa ya Africa na baadhi ya hayo mataifa ya Africa tulishawaonesh kuwa wasidhubutu kamwe
Sijawahi waamini Majirani hususani wakenya kwa miaka hii
Documentary nzur sana
Wazee wetu walikuwa wazembe sana
walifunika kombe mwanaharamu akapita. vita ni gharama mzee
Madini
Angela Davis, a genius lady
Tumepitia Mengi aisee🥲🥲. mpaka hapa tulipo ni Mungu tu mh
😊
TANZANIA NI NCHI YA AMANI YA MUNGU HATUPENDI MACHAFUKO
Imagine 85% ya mizigo yako inapita kwangu alafu unanishambulia ,hivi hii ni akili au matope😆😆😆. Ani silaha zako zote zinapita kwangu. chakula chako ,mafuta alafu unataka tupigane ani watu wengne bwana, kichwani pumba kabisa😂😂😂😂
Kwa wazee wetu walikua na hekima Sasa siuna Ona mpaka Leo walirudi kuwa pamoja wakasahau yaliyopita.
Pigo la Tanzania huwa ni kubwa- malecela
Ubaya ulianza zaman
Kuchimba mitaro😂😂😂😂😂
By nature warundi wana roho mbaya i don't know why!??
Ila tatizo vipi walio poteza Maisha yao!
🤝🏿🤝🏿🤝🏿
ipo siku tutayivamia tanzania ili turudishe kigoma yetu ipo siku kigoma itarudia Burundi historia hayifi
Hicho kinchi 😅chenu Kama kijij ktajua hakjui
@@nellyjr396 ukikuwa utakuja kujua kama hakuna nchi ndogo hapo tukivami tz ndio utajua nguvu zawarundi zikoje
Mthubutu muone
@@nellyjr396 Kama Uganda Backed with Libya walinyooshwa vile hiyo burundi nchi kama mikoa miwili ani ni week tu ingewatosha.. wangejuta dadeq mziki wetu ni hatari
@@EdwardSamson-uf1ee unaleta enzi zazamani sio sasaivi munaweza mukapigwa mpaka mukatoa kinyesi Burundi ni kama israel bwanamdogo
Wemuongo
Umezaliwa mwaka gani we fara
Acha ujinga umezaliww mwaka unakaa unabisha bisha kipumbavu
@@ChoroTesla Hata hiyo picha tu huoni kuwa ni mtoto wa 2004 huyo kaka
Rwanda ndiyo kulikuwa na mauaji ya kimbari
Hata Burundi pia wahutu waliuliwa sana
Rwanda ndiyo kulikuwa na mauaji ya kimbari
Hata Burundi, soma historia ndg sio kubisha tu.
@@conesmo5266kabisa watu wengi hawajui wanajua Mauaji ya kimbali yalikua Rwanda tu, Rwanda mauaji ya kimbali yamepromotiwa sana kuliko ya Burundi