ZENA NA BETINA Episode 6.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • ZENA NA BETINA ni story inayo wahusu mabinti wawili waliokuwa wanaishi na baba wakambo katika maisha yao hawakuona umuhimu fuatilia kisa hiki

ความคิดเห็น • 15

  • @mbwelamedia3469
    @mbwelamedia3469 8 หลายเดือนก่อน +6

    Wa Kwanza mm Leo Kazi nzr kaka Tanu

    • @Zeldaommy
      @Zeldaommy 8 หลายเดือนก่อน

      Mbona umewahi kwani umelala humu jamani 😂😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tanu umefunga mabao na madada wawili 😯

  • @NillyNilly-fm5pw
    @NillyNilly-fm5pw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Namshuku huyo babayao...😢..from 🇰🇪 kenya ❤❤

  • @mabuga_og
    @mabuga_og 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi kazi hakuna kupoa🔥🔥💪

  • @tanuplus
    @tanuplus  8 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakomaa

  • @aminahussain3058
    @aminahussain3058 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @Zeldaommy
    @Zeldaommy 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri kaka zangu❤

  • @Zeldaommy
    @Zeldaommy 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka tanu kuna kitu hapa kinasema tiiiiiiii inaumiza masikio sana walah😂😂😂

  • @SuleymanMagili
    @SuleymanMagili 8 หลายเดือนก่อน

    Kz nzul sana KK hongreren sana kk kwaz nzul kama hii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @A7films255
    @A7films255 8 หลายเดือนก่อน

    Tanu plus we love you here from ENGLAND

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuu huyu jamaa kawachanganyaa wote dada mtuuu loo kazi kweli

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuu baba naye akili kisoda jamani yani msetooo mix kazi ipoo