ความคิดเห็น •

  • @mtororashidi8146
    @mtororashidi8146 ปีที่แล้ว

    Frusa nzuri sana kwa watanzania

  • @AllyPoa-v9t
    @AllyPoa-v9t ปีที่แล้ว

    Nashukuru Sana kwasomo lako ulolitoa jekama nataka kuekeza niwa na shingapi yakuweza kuanzia???

    • @passportchannel7389
      @passportchannel7389 11 หลายเดือนก่อน

      Kama upo Dar es salaam karibu kwenye ofisi zetu posta katika jengo la haidary plaza au tupigie kwanamba za hapo juu kwa Mawasiliano zaidi

    • @ZuberiMayanga
      @ZuberiMayanga 4 หลายเดือนก่อน

      Jidanganyani Hawa ni matapeli

  • @aaliyahloubna8919
    @aaliyahloubna8919 ปีที่แล้ว

    Mimi ninanzo n'a sijalimia kwenye mashamba yenu jeee naweza Pata Soko kwenu niwauzie!?