MPINA AINGIA KWENYE 18 | TAZAMA WABUNGE WALIVYOMSULUBISHA HADI AKATOKA BUNGENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 304

  • @Dominaevance
    @Dominaevance 3 หลายเดือนก่อน +5

    Yaan Bunge Zima linashindwa kujadili wizi na ubadilifu uliozungumzwa then wanajadili namna taarifa ilivyowasilisha, Bunge linashangaza sana hili

  • @AllyRamadhani-wl3um
    @AllyRamadhani-wl3um 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mpina uko vizuri mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

  • @jafarieliyakim6
    @jafarieliyakim6 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mimi naona alichosema mpina nikingine kinacho zengumziwa nikingine mbina hawasemi kampuni zilizopeŵa vibari

  • @abrahamsamweli-wg8ck
    @abrahamsamweli-wg8ck 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nilikuwa nakupenda Bunge ila kwasasa hapana,

  • @VcentPaul
    @VcentPaul 3 หลายเดือนก่อน +18

    Mpina oyee.Tukopamoja na wananchi !!!

  • @abdallahkiliaki3744
    @abdallahkiliaki3744 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hili Bunge halijielewi. Kila Mbunge anajipendekeza. Ni kw maslahi ya matumbo yao, siyo kw ajili ya wananchi.

  • @mikwendemakala3933
    @mikwendemakala3933 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mpina ni shujaa wa wanyonge

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 3 หลายเดือนก่อน +10

    sisi wananchi tupo na mpina 🇹🇿

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina kawatupa mbari sana 🎉🎉🎉 Mwamba

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mpina nimmoja wa wabunge imara na mwenye maono kwani ata alipokuwa waziri alikuwa smart sana nadhani hapo bungini waliopo ni makasha ya wabunge baadhi yao hawapo kwa ajili ya wana nchi tz bado sana tupo usingizini na hakuna mbu anaerusumbua ndio mana tulala fafefifooofooooo

  • @ramadhanyassin4396
    @ramadhanyassin4396 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wabunge munaomtukana mpina mungu awape adhabu

  • @DeusLukonje
    @DeusLukonje 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie wabunge mungu anawaona tunawasubiri kwa hamu 2025 big up mpina .

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hutuwezi kukataa uzuri wa Bashe. Lakini wengi mnatumia hisia zaidi kuliko kutafuta facts. Wabunge wetu jukumu lenu liwe kumtetea mwananchi zaidi kuliko serikali. Kuweni na uhakika kama kweli Mpina alifanya hilo jambo kwa mslahi binafsi na sio maslahi ya umma.

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchi Tuko pmj na Mh Mpina...
    Wote hakuna atakayerudi hapo

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lissu alikimbia lema jonh heche, wengi tu walishindwa, mpina Njoo nje

  • @ephraimmakaranga1795
    @ephraimmakaranga1795 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi Nataka kujuwa Alichokisema Mpima juu sukari ni kweli au sio kweli

    • @Ellyosborn-fo2zk
      @Ellyosborn-fo2zk 3 หลายเดือนก่อน +1

      si kweli maana walimpa mda alete vidhibitisho/ushaidi ukawa ni wa uongo

    • @magangajumanne8053
      @magangajumanne8053 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Ellyosborn-fo2zkwewe unaona Mpina ana toa ujinga au ukweli na Kwa niaba ya watu,,,,,,shinda niiii.......

  • @six12tv77
    @six12tv77 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wabunge unaweza kuwatukana kwa hasira ukapata matatizo tu!...
    Yaani ni wa hovyo mno!

  • @josephngassa7073
    @josephngassa7073 3 หลายเดือนก่อน +4

    Inatakiwa katiba mpya ili bunge liwe na tija

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina uliwahi kuwa waziria awamu ya tano ukaboronga Leo acha wakuvuruge we siyo mtu kama uliwahi kupeleka rula kantini ya bunge wakakuacha ukalindwa,naunga mkono usulubiwe ww hufai

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatishana au mnajenga nchi mnatuchanganya sanaa

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 2 หลายเดือนก่อน

    Sidhani if my lovely Mp mpina atarudi bungeni

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mavi au wabunge, these are narcissists, who don’t know their jobs, ni kutombana tu, kuhongwa na kula hela zetu. Mutaadhibiwa mkifa washenzi nyinyi wenye akili za nzi!

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bunge la Tanzania ni la mafisadi watupu. Haliko hapo kwa kuwawakilisha wananchi. Liko hapo kwa kuwanufaisha wabunge na mawaziri wezi

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 2 หลายเดือนก่อน

      Waache waamue wanavyotaka,ila wanatakiwa kukumbuka Kenya kitaendelea nini?maana wabunge WA Kenya kwa sasa vikao ni vya moto.Haki itendeke nyakati zote

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bunge ili jamani Mungu Awasaidie.

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbunge unapewa nafasi ya kuchangia, badala yake unaishia kusuta. Kumsema, na kumsimanga, sio sawa

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 หลายเดือนก่อน +1

    furahieni majanga ya wenzenu, tusubiri nyie msiokosea, yaani malaika wasaka tonge, waoga, wanafki muendelee kula nchi. Kuku kwa mrija. Hongereni.

  • @agreykayombo6119
    @agreykayombo6119 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuna wabunge wa hovyo sana, hoja ya MSINGI ya mpina inahitaji majibu Siyo huu mjadala mnaotuletea. Mnaacha MAJUKUMU yenu ya MSINGI kuisimamia Serikali na kuwawakilisha wananchi mnabaki kukiwakilisha chama na familia zenu. Upumbavu kabisaaaaa.

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e 2 หลายเดือนก่อน

    Mnalidhallilisha bunge na kutoliheshimisha bunge tutaonana uchaguzi ujao,Mlio msulubisha mpina tumewaona

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan,sitamani hata kusikiliza hili bunge,yaani mnaita mwenzenu mnafiki nafiki kwa kusema ukweli ,duuu kweli,

  • @emanueljames6798
    @emanueljames6798 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan mmh sisemi lkn Mh Mpina piga kazi

  • @AllyKija
    @AllyKija 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mnalalamika spika katukanwa mtu anatetea wanyonge kwaio wananchi tuteseke sukari tuliuziwa erfu kumi nyie wabunge mkaona sawa tu ila spika mnamtetea nyie watu wa hovyo kbs

  • @babukije268
    @babukije268 3 หลายเดือนก่อน +8

    Waziri bashe mzushi hatumtaki cc wananchi mpina ni mbuge wetu na mtetezi wa wanyonge wabunge wengi wazushi wanatetea uwozo

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 3 หลายเดือนก่อน

      Mpina hata kwenye jimbo lake hakuna anaye mtaka

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hili ni bunge?

  • @LuganoMwakalo
    @LuganoMwakalo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bunge la ovyo sana hili msema ukweli huunguzwa

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndiye mtu wa hovyo sana usiyefikiria unayepelekwapelekwa tu kama bwege

  • @mh9251
    @mh9251 3 หลายเดือนก่อน

    Ise kweli bunge letu inaheshima, inaongea lugha yenye kutoa heshima. Tukiangalia bunge la jirani ni hovyo. Lugha mchanganyiko. Maneno yanarushwa hovyo. Hi ni bunge mfano katika bara nzima la Africa na pengine duniani kote.

  • @methodrweyendera6814
    @methodrweyendera6814 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbumbu ndiyo wanasubirigi kwenye vijembe

  • @MrHouse-d8b
    @MrHouse-d8b 3 หลายเดือนก่อน

    Nchi ya kiafrica zinaendeshwa na viongozi ambao ni greedy people kuna siku kama leo mnaweza kumdhalilisha na kumtolea manenoa machafu mwenzenu ambaye ni mtetea wanyongea pia kuna siku mtamgeuka pia raisi kipindi wananchi watapo pinga uongozi usiojali wananchi wake na tabaka la wangonye

  • @CarolineLyimo
    @CarolineLyimo 3 หลายเดือนก่อน

    wabunge 0 Mpina 3

  • @josephkalwani
    @josephkalwani 3 หลายเดือนก่อน

    Ila watz bwana huwa ni wanafiki sana😅😅😅😅

  • @MichaelMnkande-zc9it
    @MichaelMnkande-zc9it 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa cjaona ripot ya mh mpina ninachoshangaa nikoment za wananch zinamtetea mpina wabunge wanamponda swal langu hawa wabunge wanawawakilisha watugani?

  • @NilaMdongo
    @NilaMdongo 2 หลายเดือนก่อน

    Mh mpina tetea wa Tanzania mana ni wa naichi wako

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 หลายเดือนก่อน

    Musukuma oyeeee, DP World oyeeee, mjinga sana huyo, atuambie alihongwa ngapi kupiga dene hao DP

  • @OmarButotela
    @OmarButotela 3 หลายเดือนก่อน

    Wizi oyee

  • @mahamudabiibmohamed6494
    @mahamudabiibmohamed6494 3 หลายเดือนก่อน +1

    Well done

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina atarudi akiwa anga za juu kuliko wabunge wote

  • @GeofrayKijana
    @GeofrayKijana หลายเดือนก่อน

    DUUUU!!! UNAFIKI MBAYA SANA, KOSA LA MPINA NI NINI? KUSEMA UKWELI? AU?

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840
    @zakariapaulowiliamuwiliamu1840 3 หลายเดือนก่อน

    Tabasamu naye vp tena kwenye sakata la mafuta alisema alimpa taarifa spika tulia Spika akamwambia tulia sijuh akumbuki DAH

  • @yonamwakyusa
    @yonamwakyusa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Niwashauri tu viongozi na wanasiasa kwamba acheni kutumia sana akili Zenu na nafasi Zenu zaidi sana simamieni kweli na haki"

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 หลายเดือนก่อน

    Mpina anaongea kwa ajiri ya wananchi ila sawa wengne hamrundi mwakani mbona bashe hajareta udhibitisho kuna kinga kwake wapinzani pashapasha pambalu njooo nyamagana

  • @modestamagulu9850
    @modestamagulu9850 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina umekuwa mkweri wananza kukutafuna krb ubinzani

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina kadhalilisha Bunge acha anyooke..

  • @JohnMsaga
    @JohnMsaga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Well done mpina wangeizima hiyo

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 3 หลายเดือนก่อน

    MPINA wewe ni mtetezi wa kweli wa sisi Wananchi.Mtu akisema ukweli ndo amedharau bunge??

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani Tanzania wote siyo watii

  • @petermkumbo5094
    @petermkumbo5094 3 หลายเดือนก่อน

    An Empty Stomach is not a good political advisor.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 หลายเดือนก่อน

    siobungelinawezakuzalauliwampakasasawanngihawanaliaminibungehulo

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 3 หลายเดือนก่อน

    Hiki ni chombo cha taifa jitahidini kuondoa uchawa mnaidhalilisha taaluma ya habari someni comments mtajua watanzania wàmewachoka.

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona tozo hamuluhurumia wanyonge leo sukar kuna wanyonge tanesko wanajiamlia mpo tu bungeni hamtetei mbona naomba rais mengine awe anaingilia tu maana yeye ndie mwenye haki pekee hapa nchini wengne tupo tunaongea sana

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 3 หลายเดือนก่อน

    Tatzo lako mpina unasema ukweli ukitaka kuishi vzr ukiwa ccm chawanza uwe uongo pili uwe mnafiki tatu upende usifia sifia na kuficha mafisadi hapo utadumu milele ss naona mpina 2025 umekalia kuti kavu autorud tena kweny kura za maoni pole mpina

  • @ZionEmanuel-ne8ob
    @ZionEmanuel-ne8ob 3 หลายเดือนก่อน

    Sifuatilii bunge tenaaa na nitakua mtu wa masumbwi movie na miziki tu sitaki tena mimi kama ndio wabunge wako hivi aseee.

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina ni shujaà pendamsipende.Bunge ni la kenya .

  • @Sostere98
    @Sostere98 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kwanini wasomi hawataki mambo ya siasa wapo tu pembeni, kwanini wasije kuliokoa hili taifa.

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 3 หลายเดือนก่อน

      Msomi na siasa wap na wap kupiga porojo tu awawez

  • @FestoKalenga
    @FestoKalenga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa mbona hatupati majibu sahihi alichosema mpina ni kweli au si kweli

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 หลายเดือนก่อน

    Mbwa nyie mmejidharirisha wenyewe

  • @RashidKirimba
    @RashidKirimba 3 หลายเดือนก่อน

    17:38

  • @nunguhassani1743
    @nunguhassani1743 3 หลายเดือนก่อน +1

    BASHE U VIZURI MIMI BINFSI NIPO PAMOJA NAWE

  • @edgarelikana7204
    @edgarelikana7204 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 HUKU NAOGOPA

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 3 หลายเดือนก่อน

    Muuui

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani paka sindio alitawala kwenye huu msitu

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 3 หลายเดือนก่อน

    Palipo na maono pana vita mti wenye matunda hupigwa mawe mh mpina hizo zisikutoa kwenye haki

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 3 หลายเดือนก่อน +1

    Weeee mama huna lolote kama mungu yupo mpina tunakupongeza Sana kamati ya kilimo umesaidia nini wewe mama ata atukujui tetea posho zako

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina AMEWAPIGA KWENYE MSHONO. MPINA MTETEZI WA WANANCHI WA TANZANIA (TANGANYIKA) MPINA HOYEEE! HOYEEEE!

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera bhana kwa kusurubisha mpina lakini ipo mda unakuja mtaondoka kwa mtutu wa bunduki kama ivo nchi zingine pumbafuuuu sana nyie

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 หลายเดือนก่อน

    Ete bashe analindwa mpina anahukumiwa haa sasa ukwel ni upi, na uongo ni upi

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina wateme hao njoo chadema ... mwaka huu wabunge wa chadema tutawachagua wengi usihofu..

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 3 หลายเดือนก่อน

      Chama cha okotaokota

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 หลายเดือนก่อน

      Tulimuamini Magufuri tukachagua CCM wote kufa Magufuri CCM wameturidisha kule kule lakini Magufuri alisema nikiondoka mtarudi kule kule alisema ukweli. 2025 hatufanyi makosa hata kama Samia atakuwa Rais lakini hawezi kuwa na bunge lakupitisha na kulinda wezi. Africa ya kusini imetuonyesha njia na Magufuri alituamsha. Mpina hata akifukuzwa CCM anarudi bungeni tena kwa kishindo. Sijawahi kupigia kura upinzani lakini kwa hili lazima tulete ushindani bungeni bila ya nchi itapotea.

  • @AllyKija
    @AllyKija 3 หลายเดือนก่อน +13

    Wabunge mungu anawaona mnasema mnalidhalilisha bunge mbn huko Dubai walipokea mlungula

  • @AllyKija
    @AllyKija 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hili bunge linaubaguzi sana mtu anatetea wanyonge halafu wabunge wanamdhihaki mtetea wanyonge bunge hili la hovyo sana

  • @NuruMbilinyi-oe1nr
    @NuruMbilinyi-oe1nr 3 หลายเดือนก่อน +8

    Pole sana mpina,nchi hii ukitaka upendwe na chama cha ccm furahia mambo ya ufisadi pia uwe mnafki,hapo udumu miaka mingi.mana kuna watu wali kuwa waza lendo na watetezi lakini wame potea

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mpina Mungu yuko nawe mtetea wanyonge mnatete a matumbo yenu

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 3 หลายเดือนก่อน +4

    Haya mabunge ya ccm bwana yaani utasema kama vile hawakwenda shule yaani wana muuona mpina kama nijambazi na mchonganishi, ukionana kuna kunakelele nyingi kutoka ccm ujue kunajambo lina nuka hapo

  • @petrosukums2510
    @petrosukums2510 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ukijielewa watakusumbua sanah

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 3 หลายเดือนก่อน +3

    Siku zote msemaukweli hapendagwi hata yesu alinyongwa msalabani kwa ukweli wake.

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mpina Oyeee. Watanzania wote tunakuunga mkono. Hao mafisadi wabunge wenzio na Spika wa bunge wasikuumize kichwa. Umejijengea sifa ya pekee. Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia 💯

    • @rugemalilalucas4533
      @rugemalilalucas4533 3 หลายเดือนก่อน

      Mpina oyee watanganyika wako na wewe.

  • @AnjelicaBayyone
    @AnjelicaBayyone 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wako bungeni kwa ajili ya masilahi yao bahati mbya hatukuwachagua ndiyo maana wako kwa upigaji makofi isiyo na mshiko kabisa mnapoteza tu muda na kupokea kitita

  • @AmaniSulle
    @AmaniSulle 3 หลายเดือนก่อน +3

    BUNGE GANI HILI ? PAMBANENI NA MAFISADI KINA BASHE' HAKUNA LOLOTE HAPO KWANZA HAMPATI KURA ACHENI KELELE

  • @OmarButotela
    @OmarButotela 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata wewe upimwe

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 3 หลายเดือนก่อน +2

    Msukuma kwa elimu gani wewe ndio sehemu inayokustahili kuchangia huna unachokijua tunampenda mpina

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 3 หลายเดือนก่อน +1

    sikubaliani na wabunge.. ila wacha yaendelee hayo ili Mungu ajitukuze

  • @mkdechampion2097
    @mkdechampion2097 3 หลายเดือนก่อน +2

    kuna chakujifunza nanii

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina mmeshaanza kumpa jina kubwa kwa wananchi wa jimbo lake!

  • @GivenMgani
    @GivenMgani 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mpina juu

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shida yenu ma fisi em huwa hamtaki kuelezwa ukweli

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchi Tuko pmj na Mh Mpina...

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina usijali, waache wamama wabunge wabweke tu, kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hongera sana Mh. Mpina, sisi wananchi tumekuelewa vizuri sana. Hata wakikutoa sisi wananchi tuko nawe.

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina juuuuuu ,

  • @EmmanuelKitulla
    @EmmanuelKitulla 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani wachangiaji hao ni watanzania au?

    • @tabithamoroni1639
      @tabithamoroni1639 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani kama wametoka nje ya nchi hwawana uchungu hata kidogo

  • @Sostere98
    @Sostere98 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hii nchi ya ajabu sana, TBC hyo caption yenu imeiwekaje

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mtatoka wote hapo bungeni wengine wataingia ... kama ndugai alitoka itakuwa nyie

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huku bungeni wote ni wanafki, mnamnafkia Rais samia, na hapo mnajaribu kufunga wabunge wengine midomo ili wasiseme ukweli uliopo.