Familia ya mwanamke aliyefariki baada ya upasuaji mbaya imemzika miezi minne baada ya kifo chake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @williamomondi5800
    @williamomondi5800 4 หลายเดือนก่อน +15

    Wangwana lipeni mahari...kuzaa na mtu sio ndoa jameni

    • @FransiscahMuindi
      @FransiscahMuindi 4 หลายเดือนก่อน +1

      That's true I always tell people kuzaa na mtu sio kuolewa kukaa na mtu sio kuolewa till mtu atoe mahari

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 4 หลายเดือนก่อน +2

    Fibroids mtu unaweza kubumilia kuishi na ukiisha nazo. Lakini Poleni sana. Nilikuwa na same problem, Dr akasema nitoe my mfuko wa uzazi, Nilifikili sana sana maana niliisha kuona pia mama mmoja ambaye hakurudi nyumbani, na mama mwingine akaniambia kama nikiweza kuvumilia maumivu, indicate operation. Nikapima nikaona sitafanya operation. Na siku hizi kuna njia ya kuzipasua tu bila operation. Inspires very strong painkillers before operation, halafu Nadina Sudan ya ganzi sehemu ya operation, hivyo unakuwa tu macho unaona, wanayapasua ukiona, kiisha wakimaliza unapewa pain killers Unarudi nyumbani. Nafikili issue kubwa hapa ni kuvumilia kukaa nayo hayo mafibroids Ulifika umri fulani yananyauka yenyewe. Pole sana sana.

  • @elizabethmwalo8424
    @elizabethmwalo8424 4 หลายเดือนก่อน +5

    Pole dada na familia yake.

  • @mburulucky9580
    @mburulucky9580 4 หลายเดือนก่อน +9

    Most Kenyan doctors are google doctors

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 หลายเดือนก่อน +4

    My condolences to the family and friends

  • @Xhazzycentrin
    @Xhazzycentrin 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole San

  • @jamkay9786
    @jamkay9786 3 หลายเดือนก่อน

    Ngai

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hii tuhosipitali sa mutaani hatari sana

  • @stellawangari4037
    @stellawangari4037 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana. To the family. May Felister find rest.

  • @JoyzMichelles-eh8vs
    @JoyzMichelles-eh8vs 4 หลายเดือนก่อน

    Igawa zinauma sana especially if you consume too much caffeine, sugar though caffeine is worst but i advice you not to go through cs if not trying to conceive i went cs at 1:00 o'clock at night i had no one even the signature i had to sogn but who is GOD for his favor Michelle was born

  • @annewanjiru818
    @annewanjiru818 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waa, sad, she developed peritonitis as a complication. May God give her family strength

    • @kadzo6614
      @kadzo6614 4 หลายเดือนก่อน

      Who asked you? 😮

    • @karyc7083
      @karyc7083 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@kadzo6614always good to be informed. Mchew

  • @jamkay9786
    @jamkay9786 3 หลายเดือนก่อน

    Which branids?

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani mbona wampasue vibaya ,poleni sana

  • @JoanJe
    @JoanJe 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nilitolewa fibroids i know the best best hospital after two days nilikuwa sawa kabisaa hadi wa leo

    • @abasdubiz
      @abasdubiz 4 หลายเดือนก่อน

      stay cool....u r vry lcky........

    • @Albert-un8eg
      @Albert-un8eg 4 หลายเดือนก่อน

      Which one

    • @kellasomusugu5083
      @kellasomusugu5083 4 หลายเดือนก่อน

      Which one plice

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 4 หลายเดือนก่อน

    Sad

  • @nathanieldennis5461
    @nathanieldennis5461 4 หลายเดือนก่อน +4

    The location of radiant hospital is questionable

    • @Thgn-yt3ep
      @Thgn-yt3ep 4 หลายเดือนก่อน +1

      hio building inakaa chafu kama zizi la ng'ombe alafu staff wanakuwanga rude espescially kwa reception

    • @gww-px8vc
      @gww-px8vc 4 หลายเดือนก่อน +1

      May she rip.
      Well pple should just be careful as to where they seek matibabu coz some tu hosi are just weird even by just looking it will raise doubts

  • @marykinuthia6067
    @marykinuthia6067 4 หลายเดือนก่อน

    Kifo?

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 4 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana walitoa na vingine kama kidneys bila kuwa makini.

  • @karyc7083
    @karyc7083 4 หลายเดือนก่อน +1

    Petronitis? Really ? Peritonitis redness and swelling (inflammation) of the lining of your belly or abdomen which rapidly spread infection to the blood. Becomes septic if not treated with ABX and fluids then death is imminent

    • @salomenewsome4188
      @salomenewsome4188 4 หลายเดือนก่อน

      Kenyan doctors ni useless kabisa and they get away with it

    • @shirungati6098
      @shirungati6098 3 หลายเดือนก่อน

      I was looking for this comment. Most media personnel in Kenya blabs anyhowly without investigating! ati petronitis.
      Condolences to the family. May she R.I.P

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ni bwanake Na mlijua waliishi pamoja. Haya mmemzika sasa furahieni

    •  4 หลายเดือนก่อน

      Families huwa very unfair mtu aki fariki. Saa hizi huyo si mume wake na wako na watoto wawili, kwanini family hawaku waambia mapema ya kwamba hao si mume na mke? Come we stay pia ni marriage

    • @abasdubiz
      @abasdubiz 4 หลายเดือนก่อน +1

      labda waliona ataamka maybe.......binadamu bana

    • @wambui4590
      @wambui4590 4 หลายเดือนก่อน

      Maybe ni issues na mahari

  • @rebeccawangeci2900
    @rebeccawangeci2900 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani madaktari😢

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kenya hakuna madaktari, serikali inaangalia wale wasio na utaalamu wa kazi hiyo ili wanaona wakiajiri waliona ujuzi watalipa pesa nyingi

    • @willyx2907
      @willyx2907 4 หลายเดือนก่อน +1

      Radiant is a private hospital

    • @esthermuchene5436
      @esthermuchene5436 4 หลายเดือนก่อน +2

      It's a very old private hospital which has killed many patients through their negligence. I wonder why the government still allows it to operate and looks like the owner is an influential person 😫😫

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 หลายเดือนก่อน

      @@esthermuchene5436 uenda ikawa mwenye iyo hospital ni mtu wa serikalini

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 หลายเดือนก่อน

      @@esthermuchene5436 uenda ikawa hiyo hospital niya mtu wa serikalini ndio maana wanafumbia macho matokeo machafu

  • @puritymuthoni5389
    @puritymuthoni5389 4 หลายเดือนก่อน +1

    You know very well dennis have lived with her for over 10yrs ....

    • @susanwambui9266
      @susanwambui9266 4 หลายเดือนก่อน +1

      What do you mean he lived with her for 10 yrs so what? Huyo ako supposed hata apigwe fine

  • @AsminKhaoya
    @AsminKhaoya 4 หลายเดือนก่อน

    Neno lamungu kwetu linanena mutekitari watakesi nawafu kwa hutekitari husiyo natiba duniani neno lamungu linanena jitibu wewe mwenyewe kwahatsa kwakutokufa die hutibuwekineho naneno lamungu linanena hubasuwaji watiba yamatekitari nikuhokesa makoochuwa kimahumifu mwilini neno hubasuwa duniani natekitari hawajuwi huvile mungu hanavo huba mutu hasitahili kutukuwa sitano wala hubasuwaji neno lamungu liko nahusuni kwa kasi yetu hisiyo kasi yahubonaji wakutokufa tunatibiwa natunakufa kwahuhaminifu wamatekitari tunahamini kuliko mungu huhaminifu wakuhamini matekitari duniani die mafaa hatahawo wanakufa kwakuhaminiana

    • @esthermuchene5436
      @esthermuchene5436 4 หลายเดือนก่อน +2

      What are you talking 😮😮

    • @AsminKhaoya
      @AsminKhaoya 4 หลายเดือนก่อน

      @@esthermuchene5436 neno lamungu linahitaji kiswihili kwa mutu wote kwa kuhulisa kile neno linalo nena kwetu linanena hubasuwaji kwa mutu haisitahili wala shitano nahuhaminifu wakuhamini tekitari duniani nakunakufa natekitari hanakufa bila kuhamini mungu die mafa duniani nahubasuwaji nimazitisiwa lamakoochuwa kimahumifu nanikubeya mutu kiwete haisitahili hubasuwaji kwa mutu hakuna halie juwa huvile mungu hanavo huba mutu hubasuwaji niwanini nahamujuwi huvlie mungu hanavo huba

    •  4 หลายเดือนก่อน +2

      Hii ni lugha gani ya hutekitari na hubasuaji sasa 😮😮😮

    • @AsminKhaoya
      @AsminKhaoya 4 หลายเดือนก่อน

      Nineno lamungu kuhusu matekitari neno liko kwetu kwa lunga yakiswahil kwa kila mutu tujitafute kujifutsa kiswahili siyo kisuku naneno liko nahusuni kiliyo kwa kasi yahubasuwaji wamatekitari nawaliyo basiliwa wanakufa neno lamungu linanena jitibu kwatsa makoochuwa yako kwatsa hubate kubona kwa kutokufa die hutibu wekinewo kwa kutokufa neno lamungu linanena kilamutu nimukoochuwa nahujifutse kwatsa mwili wakomahumifu hulie nayo nahujitubu kwa hubonaji kwakutokufa kwa neno lamungu kwako die huwe takitari humejijuwa kati makoochuwa kwako die hujuwe yawekinewo tuko kwamakosa nahatujijuwi kwa kasi yahubasuwaji nahatujuwi huvile mungu halivo tuhaba kimihujisa laneno kwa mufano wake tunasitahili tuhamini mungu siyo kuhaminiana huvile tumehamini tekitari wanatutibu tukifa nahawo bia wanakufaa mungu siyo watiba lakifo kwetu tumutafute kwa tiba kwetu

    • @Blessedone349
      @Blessedone349 4 หลายเดือนก่อน

      Man hii ni kiswaehili

  • @alicekamau321
    @alicekamau321 4 หลายเดือนก่อน +1

    Women please stop braiding your hair na hizo braids znaletea wanawake fibroid and other complications

  • @moseskowino1519
    @moseskowino1519 4 หลายเดือนก่อน +3

    those are the medical brokers,playing hide and seek game with people's life.

  • @MusyokaMutua-gk5su
    @MusyokaMutua-gk5su 4 หลายเดือนก่อน

    Iound and clear Niki
    Wa kibwezi .

  • @janendegwa5462
    @janendegwa5462 4 หลายเดือนก่อน

    fibroids woi