UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE (DRIP IRRIGATION)-0752022108

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Mradi wa ufungaji wa mfumo wa umwagiliaji kwa njia ya matone ukiwa umekamilika katika wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.Kwa ufungaji wa mfumo huu wa umwagiliaji usisite kuwasiliana na wahandisi wetu wa kilimo kutoka AGRILA FARMING CO LTD kwa simu namba 0752022108|0784603098.

ความคิดเห็น • 9

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว

    Mimi nilidhani unatufundisha kumbe unatangaza biashara

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 2 ปีที่แล้ว

    Vifaa huwa ni vizuri sana yaan ukilima utavuna shida bei zenu huwa zipo juu mkulima wakawaida vifaa alipe 2M cjui kama huwa mnaliona hili ? Wanaonunua ni wenye kauwezo ivi.

  • @ibrahimally2264
    @ibrahimally2264 3 ปีที่แล้ว

    It is so good

  • @jastinmlange6453
    @jastinmlange6453 2 ปีที่แล้ว

    Gharama ya mfumo WA solar ikoje?

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 2 ปีที่แล้ว

    Uko wapi namba yako plz

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 2 ปีที่แล้ว

    Vifaa huwa ni vizuri sana yaan ukilima utavuna shida bei zenu huwa zipo juu mkulima wakawaida vifaa alipe 2M cjui kama huwa mnaliona hili ? Wanaonunua ni wenye kauwezo ivi.