DKT BITEKO -CHAGUENI VIONGOZI WA MAENDELEO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA - MSICHAGUE KWA UKABILA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuchagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwenye uchaguzi mwaka huu ambao watakuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo na kutatua changamoto zao kwa haraka.
    Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati akihutubia mkutano wa hadhara kijiji cha Lyambamgongo wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
    “Muda utakapofika tuwe tayari kwa ajili ya kujiandikisha katika daftari la kupiga kura ili tuweze kuchagua viongozi wazuri wenye sifa za kuchaguliwa ambao watasaidia kuleta maendeleo, tunataka jimbo la Bukombe libadilike kwa kuwa na watu wenye maono au mawazo mazuri yatakayosaidia utatuzi wa changamoto zinazotukabili”, amefafanua na kuongeza kuwa Serikali itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.
    *********************************
    Changia Redio na Tv Imaan ili ilete nuru nyumbani kwako.
    DONATIONS THROUGH MOBILE PHONE;
    M-Pesa (Vodacom): +255 767 627284
    Tigo-Pesa (Tigo) : +255 713 627284
    AIRTEL MONEY: +255 785 627 284
    _____________________________________
    KUCHAGIA TV IMAAN
    Beneficiary: TIF TV IMAAN
    Currency: TANZANIAN SHILLINGS
    Banker: KCB BANK (T) LTD
    Bank account No.: 3300038022
    Swift Code : KCBLTZTZ
    Branch: MOROGORO BRANCH
    City: MOROGORO
    Country: TANZANIA
    KUCHANGIA REDIO IMAAN
    Beneficiary: TIF RADIO IMAAN
    Currency: TANZANIAN SHILLINGS
    Banker: KCB BANK (T) LTD
    Bank account No.: 3300038014
    Swift Code : KCBLTZTZ
    Branch: MOROGORO BRANCH
    City: MOROGORO
    Country: TANZANIA
    _____________________________________
    T-SHILLING ACCOUNT
    Beneficiary: TELEVISION IMAAN
    Currency: TANZANIAN SHILLINGS
    Banker: AMANA BANK (T) LTD
    Bank account No.: 0011100016601
    Branch: TANDAMTI BRANCH
    City: DAR ES SALAAM
    Country: TANZANIA
    USD ACCOUNT
    Beneficiary: TELEVISION IMAAN
    Currency: US DOLLARS
    Bank account No: 0011100016602
    Banker: AMANA BANK (T) LTD
    Branch: TANDAMTI BRANCH
    City: DAR ES SALAAM
    Country: TANZANIA
    Correspondence Bank: STANDARD CHARTED BANK
    Swift Code: SCBL4533
    Account no: 3582026777001
    Country: USA/NEW YORK

ความคิดเห็น •