Kanisa zima mrudieni mungu kwa kuomba toba,..... Hamkutakiwa kumzomea.... Silaha ya migogoro ni kupiga maombi mwanzo mwisho na sio kubeba mapanga na kuanza kupambana... Kama wakristo hamkutakiwa kupambana kimwili bali kiroho ingefaa zaidi
Kwakweli inasikitisha Mimi ni Mlutheri Ila sijapenda zomea zomea na ubabe unaoendelea hapo. Hii haikuwa hulka yetu huwa thnamaliza Mambo kwa hoja sio kwa nguvu. Kubwa ni kumtukuza Mungu na kumpenda kuliko kitu chochote.
Hii ni hatari kubwa,hamkufanya jambo jema, huyu ni mtumishi na amewekwa wakfu na Mungu,hata kama mliona kiongozi ana mapungufu njia mliotumia ni udhalilishaji mkubwa.Kwani hayo makao ni lazima yawe huko kwenu Tukuyu,acheni ubinafsi watu wa Tukuyu muogopeni Mungu,acheni kuungana kwa mambo ya kipumbavu,jueni huu ni utawala wa Mungu kama kulivyo na utawala wa serikali. Muombeni Mungu rehema mmemdhalilisha Mungu,mmemsononesha
Hata YESU alizomewa ....Walewale walio mshangilia wakasema hosana ajaye kwa jina la Bwana...ndio Walewale baadaye wakasema na asulubiwe!!🤔🤔🤔🤔Baba Askofu jipe moyo...
Usimfananishe MUNGU na mwanadamu,mbingu zisipokupaka mafuta na kukutambulisha kuwa utakuwa kiongozi amini ya kuwa uongozi wako utakuwa wa shida maana hautaongozwa na roho.haya tunatakiwa kuyajua wakristo tamaa za vyeo bila kibali cha MUNGU ni mzigo
Kwani apo mnaabudu usharika au mnamwabudu Mungu katika Kristo, ningesema sijui kilichotokea ila kumbuka wana Waisraeli waliponungunika juu ya Musa na Haruni Mungu aliwapiga kwa tauni akina Kora aridhi ilifunua kinywa ikawameza kwachochote kilichotokea rudini magotini pa Mungu ombeni toba kwa ajili yenu na vizazi vyenu, kisha ombea hiyo madhabahu mkimaliza jisameni na kama askofu anamakosa msamehe na nendeni mkaombe msamaha kwake akiwasamehe kaeni nae chini mumweleze mnachotaka na msirudie tena kozomea mtu mzima
Ni kwanini mnamruhusu shetsni kutawala akili na ufahamu wenu? Mnamzomea mtumishi wa Mungu jambo ambalo ni baya sana na aibu mbele ya Mungu,kwani hakuna jema alilotenda kwenu? Kwahiyo ninyi ni watakatifu na kwamba ninyi hamna dhambi wala hamkosei?
Pamoja na hayo yote mngekaa naye chini kuliko kubishana hivyo mnatakiwa kuomba rehema mbele za Mungu hata kama ana mapungufu ni mtu aliyewekwa ba Mungu ogopeni ukoma usije ukawakuta
Hii imenisikitisha sana mimi watu wanao utafuta uso wa mungu wakiristor nyie ni nguvu ya uasi inayo tenda kazi kwenu kumuzomea askofu kwani shida nini makao makuu tu kuhama tu makao makuu kwani kuhamisha tuu ndio vuluguu iyo mungu awasaidie
Watu wa Tukuyu wana laana, inatakiwa waaze toba maramoja. Kinachowasumbua ni umwinyi na maslai yenu binafsi ya kukataa kuhamisha makao makuu ya dayosisi. Hopeless kabisa!!
Very wonderful and astonishing. Wameamua kuweka ukanda mbele kuliko hofu ya Mungu. Tazama, kiongozi anashambuliwa na matusi na kufukuzwa.
Mmmh mmeamua kuweka hofu ya Mungu pembeni nakusahau kuwa sisi sote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu mnahitaji rehema Sana
Mhuuu!!! Unapoona haya yanatokea ujue ni wakati wa kuchangamka. mtafute YESU.
Utumishi ni kazi Sana Mungu akutie nguvu baba askofu
Kanuni ya dini hawamuangalii Mungu wanaangalia viongoz
Dah kwel hofu ya Mungu imepotea.
Jamaniiiiiiiiiiiii🙆🙆🙆🙆🙆
Kanisa zima mrudieni mungu kwa kuomba toba,.....
Hamkutakiwa kumzomea....
Silaha ya migogoro ni kupiga maombi mwanzo mwisho na sio kubeba mapanga na kuanza kupambana... Kama wakristo hamkutakiwa kupambana kimwili bali kiroho ingefaa zaidi
Kwakweli inasikitisha Mimi ni Mlutheri Ila sijapenda zomea zomea na ubabe unaoendelea hapo. Hii haikuwa hulka yetu huwa thnamaliza Mambo kwa hoja sio kwa nguvu. Kubwa ni kumtukuza Mungu na kumpenda kuliko kitu chochote.
Kanisa tunaenda wapi jamanii Mungu tusaidiee jamani waimini Nini mnafanya😭😭😭
Mungu awasaidie sana.
Mungu. Kubuka kanisa. La takatifu na utusamehe. Kama wanatamu tunakosea
Mmemzomea masihi wa Mungu kweli?
Hii ni hatari kubwa,hamkufanya jambo jema, huyu ni mtumishi na amewekwa wakfu na Mungu,hata kama mliona kiongozi ana mapungufu njia mliotumia ni udhalilishaji mkubwa.Kwani hayo makao ni lazima yawe huko kwenu Tukuyu,acheni ubinafsi watu wa Tukuyu muogopeni Mungu,acheni kuungana kwa mambo ya kipumbavu,jueni huu ni utawala wa Mungu kama kulivyo na utawala wa serikali. Muombeni Mungu rehema mmemdhalilisha Mungu,mmemsononesha
Na waumini pia ni zao la Mungu. Hivyo tunapaswa kusikilizana
Hapana hapana hapana hii siyo sawa. Mungu turehemu.
Kwanini wakirito tumekua ivi yesu ana sema tupendane hasa sisi wakirito tupendane jamani yesu ana rudi mngu tusaidie
Hata YESU alizomewa ....Walewale walio mshangilia wakasema hosana ajaye kwa jina la Bwana...ndio Walewale baadaye wakasema na asulubiwe!!🤔🤔🤔🤔Baba Askofu jipe moyo...
Usimfananishe MUNGU na mwanadamu,mbingu zisipokupaka mafuta na kukutambulisha kuwa utakuwa kiongozi amini ya kuwa uongozi wako utakuwa wa shida maana hautaongozwa na roho.haya tunatakiwa kuyajua wakristo tamaa za vyeo bila kibali cha MUNGU ni mzigo
Nawakubali waislamu wakristo wengi wanafki sana
Pamoja nahayo yote washarika hamkupaswa kumzomea Askofu jitathimini sana.
Kuwa muislamu
Mungu awasamehe na amtie nguvu Askofu
Sijapenda mmekosea sana jamani uo sio ukristo
dayosisi ya konde gang, full makonde mangumi. masikini BWANA YESU hana watu isipokuwa waenda kanisani
Huyu amekua pepo anaitaji kuombewa,na niwapongeze viongozi wangu mlio amua kuto peleka sadaka kwa kua hizo ndizo zinazo wapa kiburi
Mmenishangaza Bora muokoke
Mchungaj anazomewa hvyo jmn dah hata Kama kafanya kids et fisadi 😭😭
Hapa ninacho kiona kuna watu wametengeneza huu mgogoro kimasilai
Ili lipo kwenye uwongozi
Ayo mateso ndiyo yaliyotukimbiza k.kam kumepoa hatuna mashaka
Hii ni moja ya dalili ya kuja kwa Sesu
Good
😭😭😭inaumizA,eee MUNGU aturehem inaumizA saanaa aikupaswa kufanya hivoo uyoo ni mtumishi wa MUNGU sio vizr kumdhalilisha ivoo na kumzomeaa jmn😭😭
🤔🤔🤔🤔🤔 Aisee
Yaani maaskofu wenu wanataamaa xn
Kwani apo mnaabudu usharika au mnamwabudu Mungu katika Kristo, ningesema sijui kilichotokea ila kumbuka wana Waisraeli waliponungunika juu ya Musa na Haruni Mungu aliwapiga kwa tauni akina Kora aridhi ilifunua kinywa ikawameza kwachochote kilichotokea rudini magotini pa Mungu ombeni toba kwa ajili yenu na vizazi vyenu, kisha ombea hiyo madhabahu mkimaliza jisameni na kama askofu anamakosa msamehe na nendeni mkaombe msamaha kwake akiwasamehe kaeni nae chini mumweleze mnachotaka na msirudie tena kozomea mtu mzima
Ni kwanini mnamruhusu shetsni kutawala akili na ufahamu wenu? Mnamzomea mtumishi wa Mungu jambo ambalo ni baya sana na aibu mbele ya Mungu,kwani hakuna jema alilotenda kwenu? Kwahiyo ninyi ni watakatifu na kwamba ninyi hamna dhambi wala hamkosei?
Hakika mlichokitengeneza hamkijui,mtakuja kujuta, msipotengeneza na mungu, hili jambo, linaweza lisiwatafune, lkn vzazi vyetu mmevitengenezea matatizo
ASKOFU nae amekosea kwanini ahamie mjini huko sababu kuna Bata? Fedha fedheha
Hyaaaaa mama ngalawaaaaa
Duuu. Jamani ibirisi yupo kazini muombe msamaha askofu
Bila neema ya MUNGU kuingilia Kati makanisa shetan kasha yateka
Hii ndo madhara ya kujichukulia maamuzi bila kushirikisha waumini!
Mmh! MUNGU kumbuka rehema,washarika wanampanda kichwani askofu kisa walimchagua wao? Ee MWENYEZI MUNGU KUMBUKA REHEMA
Walizomea Sasa wanalia kwa vifo vya ghafla ndani ya kanisa, wajitathmini
watamkumbuka siku moja huyu askofu.
Uko sahihi sana
Yote haya ni sadaka ndo tatizo wakristo ndo tunasababisha siku za mwisho zionekane halaka kabla yake hamna hekima kabisa😏
Duh
Mmepata wapi ujasiri
Tubuni ndungu zangu kabura hasira yamngu haijawaka
Kwa hili wahumini mlilolifanya mmwombe Mungu toba
mpunzii ww
Ameen
Subirini kiboko cha MUNGU. Huyo mliemzomea ni mpakwa mafuta wa Bwana. Hata Kama ana mapungufu,hamkutakiwa kuyafanya hayo mliyoyafanya.
Looo😭😭😭😭
Nice
Kwa kweli kama wakristo Mungu awatetee Maana mmefanya kitendo cha aibu sana kweli izi siku za mwisho wapendwa
Hawa kunavitu wanaenda kuviangalia kanisan wanawaza Mali zakanisa tu
Pamoja na hayo yote mngekaa naye chini kuliko kubishana hivyo mnatakiwa kuomba rehema mbele za Mungu hata kama ana mapungufu ni mtu aliyewekwa ba Mungu ogopeni ukoma usije ukawakuta
Hilo umeongea neno, asante kwa ushauri mzuri
Fungua Biblia soma 2 Samwel 1:13 Daud Mfalme alimwadhibu Kifo aliyetaka kumuua Sauli. Mkumbuke kuwa uyo ni mpakwa mafuta na Bwana!
Aibu kubwa sana
Inahitaji askofu ujitathimini sana
wanawake na miwani yenu mna ujasili gani ninyi.badala ya kuomba mnafanya fujo.hivi hamuoni kama tunaliaibisha jina la Yesu.aibu kubwa.wanawake ombeni.
Mnakosea waumini msimhukumu mtajukumiwa na MUNGU!
Bila Shaka mmelaniwa labda kama hampo kiroho
Washilika wa siku za mwisho
Kwelie
Aisee
Ombeni na kufunga nini kinaendelea chini ya pazia watu mungu
Mnajipalia mkaa wamoto kumzomea Mchungaji, mtumushi wa MUNGU,aiyemwagiwa mafuta,yatakauo wakuta hamjui
Ushalika ukiamishwa,mnapungikiwa,nini,naukibaki,mnazidishiwa,nini,wapigaji,fedha zamadhabahuni,hiyo laana itawala,
Duh mmemzomea mpakwa mafuta mmesahau kisa cha sauli wale watoto walimzomea nakumwambia pamwenye upaaa ........Aloo shetani yupo
walaji wapesa zawatu kwakharamu haoo Allah awaangamize
Kumkataa Asikofu sio tatizo,lakini mmeokoka?
Mgogoro huo haujaujua wewe ulianza chini chini
Wakristo hawasomi biblia washilika wanataka Mali ambazo haziwahusu mnaenda kanisan kuangalia Mali halafu mnajisifia mnaupenda mgogolo biblia inasema asionekan kwenu apendae magomv nyny mnamfundisha kiongoz kwel
Aibu tamaa inazaa aibu
Tunasema asante mungu kwa kutuletea kkam
Hii imenisikitisha sana mimi watu wanao utafuta uso wa mungu wakiristor nyie ni nguvu ya uasi inayo tenda kazi kwenu kumuzomea askofu kwani shida nini makao makuu tu kuhama tu makao makuu kwani kuhamisha tuu ndio vuluguu iyo mungu awasaidie
Yawezeka nyie wote mnao wapinga waumini kwa kutetea dayosisi mnatakiwa mkapimwe akili zenu,kama jambo amlijui uliza kwanza ndipo uwalaumu
Hamtapokea tena.chungaji upagani mwinjilisti ameanza chama cha upinzani mpaka askof anatia huluma hivyo jamani
Kanisa mtapigwa kwa kumletea fujo mpakwa mafuta wa Bwana kama mlikuwa hamjui hilo basi anzeni toba mapema kabla hayajaja hayo mabaya
Je una malengo na nia ya kuacha PUNYETO? Hujachelewa. Mbinu hizi 7 ni mkombozi kwako👇👇.
th-cam.com/video/iShjDgx0Rmo/w-d-xo.html
Mtadaiwa mmekosea kumzomea
Simlichagua
Wekeni kabila lingine mpumzike
Maruwe ruwe vile.. wanatakiwa wafanyiwe toba haya mambo awajawai kutokea
Shida nini watu wamungu,yesu Kristo ndio anataka hivyo,ushuhuda umehalibika,hao niwapakwa mafuta namungu,wote waliohojiwa,hawajaokoka,wapo mwilini,mnan'gang'aniana vyeo,mmesahau,maandiko,kwanba,wenyeji wetu nijuu kwababa
Kabi yashetani kambisa hekaru yamungu vitu Kama hivyo havipo
Hizi ni siku za mwisho kwakweli
Kumzomea mmekosea
Watu wa Tukuyu wana laana, inatakiwa waaze toba maramoja. Kinachowasumbua ni umwinyi na maslai yenu binafsi ya kukataa kuhamisha makao makuu ya dayosisi. Hopeless kabisa!!
Wewe ndo umelaaniwa kabisa huelewi lolote
Dini mbele ya mungu ni uislam
@@ramaspain5024 Nani kakudanganya?
@@BongoCryptos mungu ndyo kasema
@@ramaspain5024 labda useme hivyo kuwa aliyesema ni mungu sio Mungu