A man is only needed in times of provision,in this matter I stand with kisasy...No one can set his/her father's house on fire no matter how disagreement are...kisasy ameeleza kila kitu vizuri
I support this man,,,,unaenda kuchoma nyumba ya mtu aje na hauna evidence kwamba mtoto ameenda kufanyiwa kitu mbaya,,,,,😭,,,,hata kama ni kutaka afunguliwe ni vizuri muongeleshe huyu jamaa kwa heshima.
A crime is a crime....wenye mnamtetea mtu achome nyumba na iko na watoto ndani huyo ni killer.....afungwe milele akitoka can do worse....huyu jamaa ako na roho safi i can't judge him...
Bt if your woman and you married with a man and take care of your children you must respect your man,, ,, wanawake pliz ukipata mwanaume na uko na watoto pliz funza watoto respect cio raisi mwanaume ku raise watoi wenye cio wake surely
@caroltish8428 my biological father denied me and my sister same way after marrying another woman,he died lonely without a family,I later knew what transpired.
Huyu mtoto angekua si wake hangekubali mtoto atoe wimbo na amtaje ndani like her father 😭😭😭😭😭mbure kabisa mtu akikana his blood children,mtoto wa wenyewe ulikua umechukua upeleke wapi au ulikua unataka kutoa kafara 😢
@@danmulish6366 atakatai watoi ni wake but nikama alioa mama yao akiwa na watoi ukisikiza hio story yake vizuri..cos kuna wenye anadai mama yao alizaa akiwa mwingi mara oooh mara iiiih but the story remains to be he knows hao watoto vizuri
Franco ameeleza vizuri sana bona nyinyi hamjasikia venye amesema.amesema huyu msichana ako ndana na huyu kijana anaitwa Katiwa walifukuzwa uko kwao sababu walikuja na mama yao,alafu huyu kijana ndio Franco alizaa na mama yao Kisha wakati walikuja akaona wako na shinda wote akawachukua kama watoto wake
@@noelmalii2317 Mali utafutwa lakini mtoto huwezi pata mwingine..alikua anachukua mtoto wa wenyewe apeleke wapi if Benita SI wake? Siangemuacha hapo Kwa uyo house help akae na hao walikua Kwa nyumba Hadi akujiwe... anyway mimi sitahukumu Wacha mungu a deal na mwenye makosa...na kabla sijasahau Benita hawezi kaa jela maisha yake yote atatoka tu na huyo babake gharama ya nyumba lazima iingie tu
Kitunguu wi mundu vathei muno ta kyai kya kavakuli,,,ulijuaje alizaa akiwa class 8 na tena unajuaje mwenye amefungwa anaitwa marther if ur not concerned with the family,,,don't fuck us our minds meeenh
I have just learned that, uku online watu wanapenda kuskia the only things that impress them na si ukweli. I am sure huyu si mtoto wa Franco. Alafu the girl did a crime, she is behind bars for a crime that she did. Watu waache upuzi
Watu wa media please if possible waiteni wote baba na mtoto mfanye interview,na ethiwa ni munduume we,kelitu kau na her siz ula wi yela matwawe DNA,na vaikethiwe ulusani ona I DNA iyikwa
Then fuatilia juu huyo mwingine amefungwa jela as a doughter but the guy says hes doesn't know her ❤make sure umejua amemfunga kama strager ama ni kama mtoto wake
Mundu atonya kuvivya nyumba ata indi na niw’o maisha momite?? Aleile kwamba kwisilya niki?? Nake Franco oosie kana tawe uu na easya tiwe ithe woo?? Makulyo ni maingi??
Hawa watoto ni wa Franco and the reason is kwanini anajua hizo story zote ,D.N.A inaitajika to end this story,kama sio wake huyu msichana alikuwa anampigia anamuita dad nimeolewa,How now?
Hii story kuna 90% ukweli ya franco ,,,i have listened her third wife interview side story with wamitushow na story zao zote sina ryhm in a way ??Am a parent but kuna extend i cant tolarate even my own kids ....but mungu tu hanenee franco hatoe huyu benita for the sake of the small kid
Huyu Mzee hawa wototo ni wake he should not lie, the issue of torching the house I don't support kama alichoma nyumba he should face law. Wenda ngiti vamwe na maswii mayo..
A man is only needed in times of provision,in this matter I stand with kisasy...No one can set his/her father's house on fire no matter how disagreement are...kisasy ameeleza kila kitu vizuri
Am with you brother
True,,,
True
That's true
True
Hakky pastor Ezekiel u preach a real gospel..mke wa pili. Mipago za kando...one wife is enough........
Kweli kabisa
Extended family...iyo ndio shinda ya kulea watoto ambao sio wako.
I support this man,,,,unaenda kuchoma nyumba ya mtu aje na hauna evidence kwamba mtoto ameenda kufanyiwa kitu mbaya,,,,,😭,,,,hata kama ni kutaka afunguliwe ni vizuri muongeleshe huyu jamaa kwa heshima.
i support you
I pray for that girl watu apate pesa then uyu mzee ateseke dio ajue kuna mungu,,, This why mnaona wazee wanarundi kwao then watoto wana wakataa..
Wi ndia muno we
Umesikiza hadi pande ya mamake mtoto mwenye ako jela ndio uongee hvi? hehe. Kisasi we stand with you.
Kisasi is right eka kutype nokwitha wina touch screen,,ithukiisye nesa
Kisasi is right. Intentional arson of property is a criminal activity.
Apo sawa waiting at this information
A crime is a crime....wenye mnamtetea mtu achome nyumba na iko na watoto ndani huyo ni killer.....afungwe milele akitoka can do worse....huyu jamaa ako na roho safi i can't judge him...
Bt if your woman and you married with a man and take care of your children you must respect your man,, ,, wanawake pliz ukipata mwanaume na uko na watoto pliz funza watoto respect cio raisi mwanaume ku raise watoi wenye cio wake surely
Ekana. A utumanu munduume
When a man is under a spell,he can deny even his own mother.
True
@@stevenwonder777 that's true 😢😅
@caroltish8428 my biological father denied me and my sister same way after marrying another woman,he died lonely without a family,I later knew what transpired.
@@stevenwonder777 am sorry for that....some things happens for better 🙏
Ingia Wamitu show usikize pande ya mama mtoto na uzawache kujudge
Iteeeelemya tii yiii
Nanengi niasya ni kick nundu keka vaina issues membwa manenganie complain tene
This guy anafanana na uyo msichana akh
Hii storry inauma Sana broo but mungu asimame Leo hii unioe na watoy na nzaemmoja hao wengine watakua wako pia wacha uongozee
Am told you this madam anatafuta kiki ya usanii wake kupitia huyu jamaa, but Mungu yuwajua
Another day to fear men😢😢
When your called by man's name,,unajisikia kweli
24hrs to fear men
The way huyu Mzee anaelezea hii story anajua hao watoto ni wake tu,Wacha story za kujitetea
Huyu mtoto angekua si wake hangekubali mtoto atoe wimbo na amtaje ndani like her father 😭😭😭😭😭mbure kabisa mtu akikana his blood children,mtoto wa wenyewe ulikua umechukua upeleke wapi au ulikua unataka kutoa kafara 😢
U Can't Judge on One side. Wait until DNA is done. Na tena hamfai kutetea Criminal ambaye alichoma nyumba ya mwenyewe
afungwe kabisa ...si watoto wake
@@danmulish6366 atakatai watoi ni wake but nikama alioa mama yao akiwa na watoi ukisikiza hio story yake vizuri..cos kuna wenye anadai mama yao alizaa akiwa mwingi mara oooh mara iiiih but the story remains to be he knows hao watoto vizuri
@@AshleysKelly-gu7fynyinyi kuelewa ni shida sana alikuwa ameacha mtoto wa nini
Kama we si baba yao kwanini walikua wanakuambia story na wazee wao
Ndo nashidwa
Franco ameeleza vizuri sana bona nyinyi hamjasikia venye amesema.amesema huyu msichana ako ndana na huyu kijana anaitwa Katiwa walifukuzwa uko kwao sababu walikuja na mama yao,alafu huyu kijana ndio Franco alizaa na mama yao Kisha wakati walikuja akaona wako na shinda wote akawachukua kama watoto wake
Musee uu ena uvungu mwingi muno
We international uvungu ula winawo kìasi nota kikriminoo
Iteeelemya yiiiiii😅
😂😂😂😂😂mr kujichanga ,mara unamjua mara humjui
😂😂😂😂😂😂😂😂,,,,,,Uvungu wi muyo mwa
Yeah sure 😢
Kisasi alikuwa amesahaulika na sasa ame trade.
Bona unawajua sana, hawa watoto ni wako acha kuruka familia
If the girls are yours or not...wewe huna roho kweli uweke msichana jela na akona watoto surely 😢
Is there anywea where uko na right ya kuchoma mali ya mwenyewe coz uko na watoto??
@@noelmalii2317 Mali utafutwa lakini mtoto huwezi pata mwingine..alikua anachukua mtoto wa wenyewe apeleke wapi if Benita SI wake? Siangemuacha hapo Kwa uyo house help akae na hao walikua Kwa nyumba Hadi akujiwe... anyway mimi sitahukumu Wacha mungu a deal na mwenye makosa...na kabla sijasahau Benita hawezi kaa jela maisha yake yote atatoka tu na huyo babake gharama ya nyumba lazima iingie tu
Aliyechoma nyumba aongezewe miaka ifike kumi.
Enda ukakwe we 😂😂😂😂
Mungu atetee hao watoto
Mwanaume ukataa mtoto akijua vizuri niwake tunawajua sana
Huyo mwenye anachoma nyumba watu wakiwa ndani is a murderer. A murderer is a murderer and jail is her home
Kisasi ningwisi nesa undu waelesya mwana usu ni waku kweli vyu..ethwa nukutavasya atwaw'a.
Ni sawa mzee tumekuelewa but what did you want to release the girl have symbathy
Huyu jamaa anachocha tu. Si mpange hata interview ya hawa watu wote. Hapo ndo tutajua ukweli.
Walahi uko na point ju ata mtoto mwenye alisema this guy is not straight forward on his talk,na after interview wafanyiwe DNA adi mwenye ako jera.
As a parent he should forgive and move on
Now who do we trust😢wah it's all confusing
Na vile mnafanana😂
Wanafanana kabisa
Kitunguu wi mundu vathei muno ta kyai kya kavakuli,,,ulijuaje alizaa akiwa class 8 na tena unajuaje mwenye amefungwa anaitwa marther if ur not concerned with the family,,,don't fuck us our minds meeenh
Sure
Hakuna kitu u anasema wewe unataka salamu
Walai
Ukweli
Ongopa mwanamke
@@Digitek5300 kitunguu endeeye nakwikaanga ona ndesi undu ukuamba
I stand with boy child kisasi is right ,the girl took advantage of his brother katiwa
I have just learned that, uku online watu wanapenda kuskia the only things that impress them na si ukweli. I am sure huyu si mtoto wa Franco. Alafu the girl did a crime, she is behind bars for a crime that she did. Watu waache upuzi
Mzee sema ukweli uyo alikua Bibi yko
Wewe ni mzee kihii tailiwa kwanza
Mr chairman
DNA niyo mwiso
uongoooooo mtu,,,wi ndia muno we
Franco fanya DNA ndio wakate mdomo
Kisasi aisye nzakame yake twaa mana, naasya muka atwaiwe mwingi ,isu nimali ikuisyana
Kelitu kaa keenda usangiwa kwani Kisasi kowe watumie mwiitu ovwa na miao niyo yoovie mwiitu wa inyia.
😂😂😂mbn wiasya onandumesi n niwa wisi story yoo yonthe😢ekana nauvungu kisasi😂😂
Ata hivo watu wa midia angalieni side zote mchunguze pole pole coz ata watoto siku hizi haki
Ulimusomesha halafu ukamronga akakua waziy
Dna needed
Na ulijua aje Io story yoooote...aume mavisa mateelemya....😢
Yii n metelemya man aki hio story yote ametoka wap
Mnona noona story ingi ya miangeni sisters. Kwani miangeni ndi kalawa?
Mbona Musee uyu nota ukukengana
Kwanza uvungu wi methoni😂
Anatanganya huyu mzee
If listen well ,,it's like hanamaanisha si wake kuzaa biologically
Yote sawa but msichana kuchoma nyumba haikua poa
Watu wa media please if possible waiteni wote baba na mtoto mfanye interview,na ethiwa ni munduume we,kelitu kau na her siz ula wi yela matwawe DNA,na vaikethiwe ulusani ona I DNA iyikwa
After kusikiza pande tatu... Kisasi, mischana na mamake. That lady in jail ako na makosa.
Uvungu msee. No ukakua we
Then fuatilia juu huyo mwingine amefungwa jela as a doughter but the guy says hes doesn't know her ❤make sure umejua amemfunga kama strager ama ni kama mtoto wake
Huyo msichana ata wanafanana na huyu mzee😢
So?????
Aukuniaa simu ata ute Ithe?
Na unajaribu kutishia watu😂😂😂😂😂
Tutamsalimia😂😂
Noma
Jackson fuata hio story kabisa tutor huyo msichana
Kisasi wina uvungu wi vandu ona nyumba yio mbivivye,,,utindie usyokeete matavwe...kyau...
Uvungu vyuu ..hio story Na ukajui umetoa wapi
Musee usu imukola novungu ve one + one neewa ainengane story
Na bona huyo kijana mnafanana ....ama niliona vibaya
Unajua hao watoto
Mundu atonya kuvivya nyumba ata indi na niw’o maisha momite??
Aleile kwamba kwisilya niki?? Nake Franco oosie kana tawe uu na easya tiwe ithe woo?? Makulyo ni maingi??
Baba nakuomba kamtowe mwanao plz
Ndio akuje awaue wote? Mwanamke anachoma 'bibi ya babake na mtoto wake' huyo ni shetani si mtoto
😂😂😂😂 isele Wacha uongo ww na ruto same whataap group 😢😢😢
😂😂😂
In short kisasi anasema walizaa na huyo mama but kuna watoto wengine sio wake
Wafanyiwe DNA
Always listen from both sides...niliona huyo Dem alikua chocha tu...
Thankiu ....I was looking for such comment ...Franco akona sense
I think uko in the same group na yeye
@@FellyMwiks sure she is looking for social media sympathy
Huu Umalaya si utatuletea maneno aki wazee.. Wueh..
🤣🤣
Huyu aache ujinga utakuaje unajia mama na haujui mtoto
Why did this Man change the story? During an interview one year ago he said Moto iliwashwa na watoto now moto imewashwa na huyo msichana.
Kwa woni wakw'a,kisasi ekite ìnthìa nìwasyaiye na inyaa kelitu kaaa
Masekete ukitaka kujua vizuri jitoe uwende nyumbani kwa msichana pls pls h7yu mzee
Masekete we eonjiana tau,,onake no mundu waite
Afunzwe
Hawa watoto ni wa Franco and the reason is kwanini anajua hizo story zote ,D.N.A inaitajika to end this story,kama sio wake huyu msichana alikuwa anampigia anamuita dad nimeolewa,How now?
How
Before we solve balance all the side plz guys
Vaa ve uvungu
Tuikweeeka mana we sisi ni genz
Huwajui but story yao unajua from A-Z🤔
Huyu n mkora hawa watoto n wake
Agoo usu Ni mwive Kana ethie no munyqnyae twikwedw uvugu
Story ni different in all interviews 😂
Alisema hawajui Kuna uongo
Hii story kuna 90% ukweli ya franco ,,,i have listened her third wife interview side story with wamitushow na story zao zote sina ryhm in a way ??Am a parent but kuna extend i cant tolarate even my own kids ....but mungu tu hanenee franco hatoe huyu benita for the sake of the small kid
Ekana na wana Frago story sya kasau wakulwa nuu
Vaa Ve Uvungu😂😂😂😂💔
Kathi Kwa ithe mwingi maeka minuka
Huyu Mzee hawa wototo ni wake he should not lie, the issue of torching the house I don't support kama alichoma nyumba he should face law. Wenda ngiti vamwe na maswii mayo..
Ulikuwa naye akipeana hao watoto
Nau uu etuanangia masaa meeaa enda umye mwana seli ngiti ino
Na oosaa kana ata matatainye undu
Wewe umelaaniwa wookuangaika ukamathonoka oonthe syana isu uusyita syaku syoothina mbee Wa isu wakolile