Safi sana nyimbo zinatubariki mno Asante mwalimu mwita ba Dada Despina mdende uko vinzuri na wote wanakwaya wote mbalikiwe mno nyimbo hii kila nikimaliza narudia tena 🧎🏽♀️🙏
Ukweli munajua sifa na hukuu mungu awape maana nyimbo zenu nikali na pia zinagusa maisha ya wasikilizaji nawaombea mungu awajalie neema na baraka mnapo litangaza jina lake kwa njia ya kuinjilisha
Wawwoooo, how soft the music is. Congrats bro. Isaack for your creativity in artist work, Da. Despina for adding a sound taste, organist, directors and whole team for your sweet voices. Hakika nimebarikiwa sana. Contact please if possible.
Tujitahid kubadilika maan kun nyimbo ukisikiliza jwa makin mpak mwili unassimka
Huu ndio wimbo niupendao kuusikiliza niwapo kazini maana unanitia nguvu
This song lifts me up especially on radio waumini in the morning. Am blessed whenever I start my day with it ❤
received your 🌹🌹🌹 sorolist D. Mdende
Amina dear🙏💖🎉
Safi sana nyimbo zinatubariki mno Asante mwalimu mwita ba Dada Despina mdende uko vinzuri na wote wanakwaya wote mbalikiwe mno nyimbo hii kila nikimaliza narudia tena 🧎🏽♀️🙏
Ukweli munajua sifa na hukuu mungu awape maana nyimbo zenu nikali na pia zinagusa maisha ya wasikilizaji nawaombea mungu awajalie neema na baraka mnapo litangaza jina lake kwa njia ya kuinjilisha
Kweli Mungu yupo .... hongereni sana kwa kutupa ladha nzuri ya mziki mtakatifu...mbarikiwe kazi nzuri
Kaka isack,naomba utuweke nyimbo zako Audiomack
Ila huyu babaa mkuryaa nyimbo zako sio zakwetu musoma chukuaa maua yako mwl pia naomba no yako mwita
Hongereni sana Kwa wimbo Mzuri hakika kwaakili zangu nisinge yaweza Tumkimbilie kweli Mungu Yupo🤔
Beautiful soul touching song. Thank you @Mwita for the great composition always
Ww kurya mara moja umeiheshimisha ukweli utunzi mzr uimbaji mzr Despina yaaaan wewe Dada jamanniiiiiii!
Hongereni jamani kuimba raha pongezi nyingi kwa mtunzi na waimbaji pia
Waooooooo wimbo nivzr sana❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Wimbo umenitafakarisha sana hongereni sana nyote
Nabariikiwa sana na huu wimbo sichoki kuusikiliza🙏
Mumeimba vema jaman organ safi cjui nisemeje 2
Ninabarikiwa sana ninaposikia wimbo huu
Hongereni waimbaji
Natafakarikaa sana na huzi nyimbo zako barikiwa sana nyote
Mungu awatunze kuimba ni raha mnooooo
Sio mkurya huyo baba,huyo ni kijana wa kiha kigoma
Wimbo unanibariki sana huu. Hongera sana The Main Voice, Mwl Mwita, Despina Mdede, Baraka Mashibe na wengine wote. Kazi nzuri sana hii
Aisee vitu ndio hivi sasa vimetulia sana mungu awe nanyi daima mzidi kutuinjilisha sikuzote za maisha yenu
Nampenda mpiga kinanda na Despine. Wote waimbaji, wa Tz. Nawapenda sana,
Mungu awabariki
❤❤❤❤nice songs congratulations 🎉👏👏 wapendwa mungu awabariki sana jaman nimeupenda wimbo sana🙏🙏🙏🙏❤️
Nabarikiwa sana 🙏🙏 mwenyez mungu naendelee kuwabariki
Be Amos umeupiga mwing 🎼🎼🎼🎼
Nimependa sana hii nyimbo nimebalikiwa sana nanyi mmbalikiwe sana
Ongereni sana mungu azidi kuwapa uwezo wa kumsifu siku zote za maisha yenu👏👏
Hongereni kwa kazi nzuri sanaa👏👏👏👏👏👏
TUNAOMBA LYRICS JMN🙏🏻🥹
AE products (kadelya) katika ubora wake...umeupiga mwingi kaka na. Hao wataalamu
Jamani jamani mambo ni mazuri mno. Hongera sana wapendwa Mungu awatunze na kuwabariki daima.
Amina 🙏
Hongereni sana ulinzi wa Mungu uwe juu yenu 🙏🙏🙏🎺🎷🎶🎵
Hongereeni sana jamani kwa kazi nzurii Mungu awanyooshe baraka kusikiliza huu wimbo nimeona uwepo wa Kristo katika maisha yangu❤🎉mbarikiwe sana
Kazi nzuri ni kujipanga naamini kazi nzuri zitaendelea zaidi
Nimebarikiwa sana kupitia wimbo huu ✅💪
Wimbo ni mzuri,❤hongereni sana wapendwa
Nyimbo nzuri sana na inatubariki, Mungu azidi kuwapandisha viwango vya juu. Kaka Augustino nimekuona.
Nyimbo zataratibu zinafaa sana🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni Sana Kwa Wimbo Huu Kweli Mungu Yupo.! ❤️
Mashibe 🔥
Hongereni sna wimbo mzuri
Nyimbo Tam jaman , mbarikiwe Kaka isack
Amina sana na Mungu atukuzwe
Weka group la Whatsapp kaka tuna mahitaji na kipaji chako
Vijana Wa Kazi, Hongereni Sanaaaa
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏
Huu wimbo umekaa vizur sana unanibariki sana
Waooh ❤❤
Wawwoooo, how soft the music is. Congrats bro. Isaack for your creativity in artist work, Da. Despina for adding a sound taste, organist, directors and whole team for your sweet voices. Hakika nimebarikiwa sana. Contact please if possible.
The way I love this song .....❤❤❤❤
Kaka copy ya wimbo huu inapatikana kwa njia gani maana huu wimbo ni moja wapo ya ujumbe katika maisha yangu
Hongereni Sana wimbo mzurii unatia moyo
Wimbo mzuri sana
Nice performance
❤❤❤
Waoooooooooi
Safiii
Great
Wimbo mzur sana