Masha Allah masheikh wetu nawapenda kwa ajili ya Allah. Allah awape kila kheri hapa duniani na akhera kwa Amir Yusuf, Said Mwarigi, Hamisi, Ustad Mohamed Yariti, ustad Abass na msomaji wake (pole sija shika jina ya msomaji wa Ustad Abass)
Mashallah Allah awazidishie helimu awape nguvu na umri mrefu urio bora, na mutende mema anayoyapendelea allah, pia atujalie na sisi tunaesikiliza maneno bora kutoka kuake kufuata kua vitendo ili tuate rehemazake.
Tatizo lao kina ndasha wanakimbilia kuisoma quraani bila kumaliza bibria kwawivu kisa sisi waisilamu tunasoma vitabu vyote pasipo kujua sisi tuna viamini vitabu vyote na manabii wote wa Allah
Ndacha auna mada yoyote umesimama kuleta vichekesho tu yesu yuaponya mbona spital zilijegwa na juzi mlipokia mwasherekea krismas ajali nyingi mno mbona majeruhi awakupelekwa kwa yesu walijazwa hospital
Ndacha’ INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN....!....Unavyojiingiza Kwa Wa Israel utafikiri wayahudi wanaujua ukristo’ ..na lazma iwe hivyo Kwa sababu hana dini hana mtume’....! Wenye akili wanatambua ukweli wa maandiko...!
Sheikh naomba unisaidi nina kijiswali kidogo kinanitatiza swali lenyewe ni hili kwenye kumbukumbu la tolati limeorodhesha wanyama ambao ni haramu (ngurue) (ngamia) na wengene sasa sisi waislamu tuna wa attack waikilisto kwann wanakula ngurue yakwamba ameandikwa ni najisi sasa mbona sisi waislam tunakula ngamia wakati ameandikwa kwenye kumbukumbu ya tolati asiliwe..
Mashallah sheikh Raha Sana kusikia utamu wa Quran
MASHA ALLAH, mashekh wetu Allah awatangulie kwa kila hatua na awape humri mrefu pamoja na afya njema Aamin yarabi
Amin sote
Nakupenda kwa ajili ya Allah (sw)pamoja na mashekh wetu wengineo kwa kazi nzr kama hii
Mwenyezi Mungu akuzidishie ilmu Sheikh Yusuf. Amin
Amin sote
Masha Allah masheikh wetu nawapenda kwa ajili ya Allah. Allah awape kila kheri hapa duniani na akhera kwa Amir Yusuf, Said Mwarigi, Hamisi, Ustad Mohamed Yariti, ustad Abass na msomaji wake (pole sija shika jina ya msomaji wa Ustad Abass)
Masha Allah masheikh wetu nawapenda kwa ajili ya Allah nawaombea kila la kheri kwa kila jambo in Shaa Allah kuwa muislam Ni neema kweli kweli
Amin sote
Masha Allah M/mungu awajaalie kila la kheri katika kazi hii ya kuelimisha umma.By Ahmed.kutoka Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Amin sote
Mashallah mashekhe wetu Allah awalipe hao wakiristo awana pakujitete siku ya kiama mana uwongofu umeshawafikia
Amin sote
Allah awape subira na awazindishie elmu..tangu nione ndacha akimtusi Allah naogopa kufuata hizi mahadhara
Amin sote
Yes sheikh yarit ,,kwa stadii yako, kuwaelekezaaa
Shukuran jazakumllah kheir amiin Allah tupe mwisho
Amin sote
Allah zidi kutupa uongofu katika dini yako hii ya uislam maana kwakweli kua muislam ni neema kubwa
Amin sote
Mashallah Allah awazidishie helimu awape nguvu na umri mrefu urio bora, na mutende mema anayoyapendelea allah, pia atujalie na sisi tunaesikiliza maneno bora kutoka kuake kufuata kua vitendo ili tuate rehemazake.
Hongera sana sheikh yusufu wewe elimisha tu acha ndacha apige kelele
Alhamudulillah
Mashaallah
mashallah best angu ustadh muhammad
Sheikh yussuf wallah umemueza mrongo huyo hata hizo speaker ziko Sawa saizi
Huyu ndacha kiboko yake sheikh Yusuf anamueza ama coz anampatia waziwazi nipe nikupe bt ustadh Abbas mpole
Ningefurahi Sana ndacha aitwe kipindi cha live, lolwe tv. Maana kule hakuna kupindisha ayah.
Jezakha''Allahu kheir 👍👍👍
Mashallah Mashallah Yusuf wewe ni mwalimu wa tasha na msomaji wako Allah pia amlipe mema inshallah
Amin sote
Safi sana inaeleweka
Jazaakallahu Kher mashiekhi wetu
Yarabalialamiin,nakutakia tupe mwisho mwema amiin yarabalialamiin,nakutakin kila lakheir
Amin sote
YA ALLAH WABARIKI MASHEKH WETU
Amin sote
Shukrani sheik Yusuf kwani umenena ukweli
MashaaAllah
Nmeona apo Sheikh wetu wa huku Eastleigh
MUHAMMAD atabakia kuwa Mtume na Yusufu atabakia kuwa shaikh wetu wakumfundisha ndrrracha muongo
Raundi ya pili Ndacha kakosa hoja kabaki anachekesha watu’ anafanya Watu wamcheke kilema wa macho...!
Kujua maandiko ni raha kweli
Allah arkbar
Mashaallah
Ma shaa Allah
Sasa tunaomba mada ya kitabu sahihi cha Allah
Allah awalipe firdhaus kwa kweli hii sio kaz rahisi awape utajiri wa afya
Amin sote
Ndacha, Quran inakuweka katika hii Aya Q 83:13: Na wajaposomewa Aya zetu husema: hakika hizi ni ngano za watu wa kale.
Mashallah
Nmeona apo Sheikh wetu wa huku Eastleigh Sheikh Abbas
🙏 amen
Tukumbuke ,kuwa changia hawa mashekh wetu jamani ,ili hii kazi iendeelee ilA yauumlkiyamaa, inshaaala,
SALUM JUMA RUHAGA in shaa Allah.
Masha'allah ,Allah awalinde nyote masheikh wetu . Sheikh Yusuf jazakallah . Kazi ngumu ila insha'allah malipo kwa Allah 🤲🤲
Amin sote
Astaghfirullah astaghfirullah..mbona mzaha namtu alie na urema .
Nimfano
Wasiompenda mtume MUHAMAD S.A.W waninyonge atuna habari nao
Huyu yussuf ni noma na sijui ana ubongo gn
Wakristo nyoyo zao zipo na vifiniko ni ngumu sana kuelewa kama walivyo tajwa kwenye qur'an mpaka Allah apende
naomba tuskize hoja na tuziandike tafadhali
mahali imefika sasa tuwache ushabiki. walimu wafundishe alfu tuziangalie bila ushabiki.
We mzee nilikwambia hauna hoja yoyote mbele ya ndacha afadhali ukuwe mkorinu
Shidwe Katika Jina langu
kama Muhammad si mtume Ange mtaja mamake kua ni mwanamke Bora lkni alimtaja mama yke yesu kua ni mwanamke Bora....
Safi!
Tatizo lao kina ndasha wanakimbilia kuisoma quraani bila kumaliza bibria kwawivu kisa sisi waisilamu tunasoma vitabu vyote pasipo kujua sisi tuna viamini vitabu vyote na manabii wote wa Allah
Ndacha auna mada yoyote umesimama kuleta vichekesho tu yesu yuaponya mbona spital zilijegwa na juzi mlipokia mwasherekea krismas ajali nyingi mno mbona majeruhi awakupelekwa kwa yesu walijazwa hospital
At least mchungaji alisema Issa mwana wa Mariam
kazi unayo yusufu
mmmh maskini una ujualo ndacha yuakupotosha yeye yuafanya ushindani kwa sababu ya sadaka ya dunia uyo.sasa ww mfwate njia ya haki ni.uislam.
Mmekariri ya Sadaka tu.Poleni sana.
Aa Aa nyie ndo mnapotoshwa mnakubali.
Ndacha’ INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN....!....Unavyojiingiza Kwa Wa Israel utafikiri wayahudi wanaujua ukristo’ ..na lazma iwe hivyo Kwa sababu hana dini hana mtume’....!
Wenye akili wanatambua ukweli wa maandiko...!
Ismail Yusuph kweli kabisa.
Duh sadaka imekua adharani ndipo kanisani niivoivo
Naa'm hata wakimchukia kwani walimuumba wao? Wakafie mbele huko hapa watanuka.
Ndacha hajui anasema nn...atawakoroga wakristo ambaye hawana elmu ..
Alafu badaye anamukataa hhhh kacanganikiwa
Awa mapastor kzi zao kupokonya wenzao pesa tuu makanisani mihadharani balaa hizi na wafuasi nao wanaliwa tuu bure
Ndacha mfunze huyu. Hajui asemacho
Ndacha amekupotosha
ninyi ni wakuhulumia sana ya mtume wenu anajipigia debe kuwa mtume yani jikoni ni mahali penu pa kupumzika
Hayo nimaneno yako tu si ushahidi,mathayo 7:21nyinyi dio watu wa motoni
mtume wao mohammed alikufa ndio maaana huwa wanamuombea.
@@joelmasai6417: sasa nyinyi mbona mnasema yesu kafa?
Wambugu 😂😂😂
Ndacha kiboko yao
Ashindwe
Sheikh naomba unisaidi nina kijiswali kidogo kinanitatiza swali lenyewe ni hili kwenye kumbukumbu la tolati limeorodhesha wanyama ambao ni haramu (ngurue) (ngamia) na wengene sasa sisi waislamu tuna wa attack waikilisto kwann wanakula ngurue yakwamba ameandikwa ni najisi sasa mbona sisi waislam tunakula ngamia wakati ameandikwa kwenye kumbukumbu ya tolati asiliwe..
Nitafute whassapp nitakupatia majibu vinzuri
Huyu jama shida yake ni gani? Sasa anatumiya maneno ya muhammad ndani ya quran kwakuonyesha wachristu ukweli wa yesu hhhhhh
afu yusufu acha kusafilia nyota ya mwalimu wako ndacha umeona unapenda kichwa cha habali umuweke ndacha umefilisika kabisa
Kafilisika kweli .
Asipo andika Kichwa cha habari NDACHA kashindwa wenzake hawatashabikia.
Ndacha anafaa kuwa kichwa cha habari ni kama mfano wa firauni maana ndacha kafiri kubwa sana!!!
Muhamadi nifuwasi wayesu
Maoni yako hayo
Maoni yako hayo,
Mpumbavu huyo Soma Qur'an ndo utajua ni nani wa kufata
Kafiri ndacha anajua kukata maandiko
3 11 Quran
Ngoja nisikilize jinsi wafuasi wa dini ya muhamadi wanavyomwaga porojo. Maana kwa porojo wamejaliwa
Kwasababu wewe, mbumbumbu.
@@kibojewee2710 mbumbumbu kwa kiarabu ni maamuma. Hawa maamuma wanapatikana misikitini. Na wewe ni mmojawapo
@@mwakajohn1819 : wewe kama dacha hata kiswahili kinakushinda pole sana.
@@kibojewee2710 nilidhani naongea na mtu anaejitambua, kumbe ni bendera hufuata upepo! Pole sana
Coment yako ya mwanzo inatafsiri vipii wewe ulivyo kwa hvyo haina haja kubishana na mtu kama wewe, good day.
Muhammad is not the prophet of God.
That's your opinion not evidence from the Holly quraan or Bible
Mashallah Mashallah Yusuf wewe ni mwalimu wa tasha na msomaji wako Allah pia amlipe mema inshallah