now this is a lesson kwa wale wasio ridhika na kile amejaliwa. both men and women be serious with your marriage ,hiyo ni kichapo kutoka kwa mungu na iwe kama fundisho lakini mungu awape roho zenye utulivu kwa familia yake.
shiku wanjiku ata wezi wanauwa watu ovyo ovyo, wanaume wanaua mabibi zao ovyo ovyo... I’m not justifying any killings but kitambo watu waanze kutukana polisi they should get their facts straight first. Polisi wa Kenya wamedharauliwa sana alafu kukiwa na attack kama ya Dusit wana expect kuprotectiwa
I am saddened to see how some people waited for the autopsy results with a fixed mind. They are sad that the police are not to blame and no activism millage to gain.
Ok,this is tricky.The hus claims he was in kenya back in augu,we r in feb.meaning is possible the hus might be responsible but she didn't tell him.Why wait till 5 mnth and then terminate,Pole for the mum.Hope she feel better
Joshua had alot of confidence in her wife and he really loved her..... Its sooo sad him knowing the wife died due to infidelity related issues...will he trust another woman???as human he will start doubting those other kids.....
Wuoiiiii Ni Aibu Sana sasa kila kitu si polisi ,rest in peace caro,u killed a boy and yet you were fighting for police not to kill 'extra judicial killing' mungu halali aibu hadharani
God help Kenya so many not understand what the doctor say pliz wacheni haya, don't be quick to say anything sameone know what they do. Kenya wooooooh mungu amekasilika sana na hii kuua , every one have to know only God take care for you.
NI HALI YA BINAADAMU GANI ALIKUWA ANATETEA ?? hakuweza kutetea hata mwanaadamu mdogo sana alokuwa tumboni mwake mwenyewe. ooooh ! mungu tusaidie wanawake na roho za kijambazi hivyo ukijua mwanao anavutwa ubongo na kuvunjwa mifupa, akakatwakatwa kama nyama ya bucha halafu ukajiita mtetezi wa haki za binaadamu HUU NDIO UNAFIKI .
Am also sure dat this other two kids are from different fathers ...I only say pole Tu the kids left behind but God will see them through in there entire life ....the only secret is Tu walk in in the Lord.
I feel bad for his husband he was in gulf leaving wife whom she trusted years then when,God he dont sleep she get a get ashamed by his hypocrecy umalaya adulterly mwanamke aki where does faithful peoples goes, God please heal our country na atulinde sisi tuko gulf n our love life When i see this haki mimi hu feel ku quit
Mbona mimi nasoma hizi comments naona watu hawajamuelewa daktari? Her pregnancy could be used to eliminate her so that it may appear she was doing abortion. That's why the doctor said he doesn't know whether it was done with her intention or not. Then the doctor also said it was not a normal abortion. What makes us to be so narrow minded to conclude that she was doing abortion? Who knows whether she was given something to maker her unconscious paving way for her destruction? This television presenter made a grave mistake to conclude that she was doing abortion. It is not clear whether she was aware of the abortion or not. Am so sorry for her demise.
oooh my God so sad coz vile watu wanahussle gulf then maybe mpango wa kado am afraid I'll never do abortion but it'd good to know how she died pole kwa familia may be she was doing b coz the husband was coming God is sad with that hospital n doctors who do abortion unbelievable I separated with my husband to tell me he dnt need another baby I decided to move away am proud I got my bby boy who is 14yrs now I thank God for everything happens with a reason the person who was to do that job told me the baby is big 6 mnts its dangerous so I decided to keep n separate with the husband
Am in the USA and my hubby been enjoying himself in our matrimonial home with a very young girl. It’s terrible. We work our asses off here to send money home for development but it goes to those gold diggers
Justice has prevailed, na hawana adabu wakisema she was killed by the police, shame on those crooks.. ....tht she was killed by the police, I love u doctor God bless for standing by the truth.....may tht male child rest in peace. .......wenye kutoa mimba take care, learn from this
My big worry is that she was an activist akipigania haki za kibinadamu how then akaamua kumuua innocent unborn baby, some people should stop pretending hki
The human rights fellows should carry on with their demonstrations. They were blaming the police for her death yet the truth has come out from their doctor
Watu Wa gulf titakuwa tuna oa na contract ukikuja gulf unafanya contract divorce after 2 yrs ukieda kenya, unarenew ama unaachana na yeye hatutaki vituko kaa hizi tena
That is why I can't and will never trust a long distance relationship , ata tukioana na harusi na bibi apate job far, we just part ndio aende na mm nibaki na peace
@bibi ya mkubwa what are you talking about? We are talking about the husband blaming the police when the evidence has truly shown she aborted so I don't know what u are talking about before jumping into my comment
@bibi ya mkubwa nope infact am against the people who are defending her. No matter how close u are with someone, you never know his or her thoughts when she's alone. But the family are very defensive towards her cause they're only trying to protect their image which is not right
Hii long distance relationship ni ngumu expecially if you can't control your feelings bwana ako Dubai au bibi yuko saudi Arabia for 2 good years then uwache mwanaume kenya au mwanamke and you expect her /him to survive like you? Now I know kwanini warabu wameweka arabic shower kwa choo zao I pity the husband and the kids
Sasa wenyewe walikua wanasema aliuliwa na police sasa wako wapi ati walifanya harusi ya kanisa sasa sisi tuko huku gulf kumbe madem wetu ni kupeana tu vitu mpaka mnawekwa mimba
The asshole who impregnated her should be very ashamed of himself!! Yaani unakula bibi ya mtu dry fry kisha unamuadvise atoe mimba after 5months?? Ladies ladies ladies!!! If you're married why dish out your nunu hivi hivi? Anyway we are just humans 😭😭😭😭
Aki hawa polisi,Wanauwa Caro then they plant a foetus in her womb,halafu wani rupture hiyo womb na kumwaga damu ndani. Sisi ma human activists tutaambia nini watu🤔🤔🤔🤔 RIP Caro.
Where are those demonstrating and the family with the husband sasa mumeanika aibu za mtoto wenu wenyewe saa hii serikali wanacheka mpaka wanainua miguu juu sometimes we have to learn on how to handle issues wisely.
Sasa hakuna kulala Kwa Barbara tena ....ati human right ...huyo mwanamke ni mjanja Sana anapewa pesa na bwana yake from Dubai na yeye uku anapeana ngonyi hovyo hovyo ....why abort ?? Kama anapeda huyo mwanaume kutotaka Isiolo agemuoa... Ya Dunia ulipiwa hapa nduniani... secondly I pity dat young man ati bwana ....n the man is stupid enough Tu call a press conference n confesses dat his wife was not actually pregnant...silly give police a brake....
its so saddening that a young woman of such intellect can loose her life in such barbaric actions. husbands stay with your wives to avoid temptations, money is good but its not everything. Everyone can be tempted and fall into sin but when couple stay together , they minimize a lot of temptation. MAY GOD REST HER SOUL IN PEACE
Aki skia vile huyo mtoi ameuliwa this is fucked up she claimed to be a human activist what was that that they were harming Mungu halali yaani I do not feel sorry for this woman huyo mtoto this is painfull Aki very unfortunate rest well baby
Waaa better ungekaa na mimba mumgeelewana na bwana ama muachane na uwe hai aki Devil is a liar
Woe men pliz msituhate kabisa there is still faithful ladies remain in our country.....
You can't tell want happen coz she is dead she can't say what happen
Hahaha
Ngaiii uiii sasa sisi tumeacha ma bibi Kenya tuko gulf mabibi tunakuliwa uiiii
😃😃😃😃
😁😁😁😁😁mtajipanga, bibi muliachia mafisi!!
Sam Sam Aki niuchungu sana navile watu wanavumilia nahii gulf
@@sweetmumwake9729 Aki so painful navenye tunavumilia dryspell then mwenye umeacha anakufa ni kuhanya
@@sam-px7ur unfaithful wife is unfaithful whether you are in gulf or not just God will help us here
Woiye! Caro Mungu akujalie neema upumzike kwa amani.Joshua Mungu akutie nguvu wakati huu mgumu
Hapo.sasa sina la kusema.mungu atusamehe ladies .
Wow sina neno
God have mercy...aki hii ni much painful
now this is a lesson kwa wale wasio ridhika na kile amejaliwa. both men and women be serious with your marriage ,hiyo ni kichapo kutoka kwa mungu na iwe kama fundisho lakini mungu awape roho zenye utulivu kwa familia yake.
Wababa wa Dubai mabibi mliachia mafisi kule 254🙄🙄🤔🤔🤔
Hahaha
Hahhha nikubaya jeci haa mabibi tuliachia fisi wanakula nakuua
😂😂😂😂😂😂
Hahaaa wana sema ata ma bwana wana kulana huko nao wa tafuta okoa jahazi waokolewe pia.
Nancy### hahhha waokolewe wakifikiria tunaokolewa huku bt watakufa wote wakijaribu inashidikana ,mungu atatupigania
Mungu baba , mungu mwana tusamehe
Amen
No comment, Aibu ya mwaka Rest in peace Caro
Am sorry people don't rest in peace without repentance
😞
Pole Sana.
Rest in peace Carol.Rest in peace son of Carol. Amen
Hesy wa dadora hoiyeeeeeee.......
What???
Yaaani alikuwa bado na mabaki ya mtoi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢.
Wenye kupayuka mtasema nini sasa???
My condolences
Sad😪
Woi aki aibu😭😭😭 na sahio hubby ako dubai sorry Joshua
Imrgn mii ata nimeogopa wangu ako Kenya hahhaaaaa😂😂😂😂nko gulf woiii wanawake ni criminals
Hii ni aibu na anatoka dubai ati ni kutafuta bibi amepotea
@@sam-px7ur haha
@@jamesgathaiya6450woiye
@@jennyjano3485 woiye Joshua Mungu ampe nguvu
U can now give police breathing space
Aki tena
@ sylvia ni vyenye hawa police wekuwa wakiuwa watu ovyo ovyo...soo sad how she died.
shiku wanjiku ata wezi wanauwa watu ovyo ovyo, wanaume wanaua mabibi zao ovyo ovyo... I’m not justifying any killings but kitambo watu waanze kutukana polisi they should get their facts straight first. Polisi wa Kenya wamedharauliwa sana alafu kukiwa na attack kama ya Dusit wana expect kuprotectiwa
This is a very serious,😮😮
So sad aki.....
Oh my God.Aibu waaaah
Woi Ngai. Aki mm siwezi toa better tuachane na mzee.😢😢😢😢so sad
Big up DCI
The bashing of police and so many conspiracy theories will come to an end through this conclusive scientific findings
george ikinya
who knows maybe they are covering for police. police can do anything even taking her to private section in hospital
@@aderemirichard4859 so you mean the cops are responsible for the 6 months pregnancy and they own the clinic she procured an abortion?
@@aderemirichard4859 nonsense
@@Diaryofabantugirl nonsense..u just want to see and hear what u waan see and hear.
I am saddened to see how some people waited for the autopsy results with a fixed mind. They are sad that the police are not to blame and no activism millage to gain.
Surely si angezaa tuu aki?
Ok,this is tricky.The hus claims he was in kenya back in augu,we r in feb.meaning is possible the hus might be responsible but she didn't tell him.Why wait till 5 mnth and then terminate,Pole for the mum.Hope she feel better
Joshua had alot of confidence in her wife and he really loved her..... Its sooo sad him knowing the wife died due to infidelity related issues...will he trust another woman???as human he will start doubting those other kids.....
🙆🏼♀️.....😳
Woooiii I can now rest. I have followed the case from abroad. Angezaa jameni. Pole Kwa family.
Angezaa tu 6mnths unaua aki it's sad
Wuoiiiii Ni Aibu Sana sasa kila kitu si polisi ,rest in peace caro,u killed a boy and yet you were fighting for police not to kill 'extra judicial killing' mungu halali aibu hadharani
God help Kenya so many not understand what the doctor say pliz wacheni haya, don't be quick to say anything sameone know what they do. Kenya wooooooh mungu amekasilika sana na hii kuua , every one have to know only God take care for you.
So sad sasa hiki kitendo kitawafanya wafanyi kazi nje ya nchi kutoamini wanawake walio waacha Kenya 😢😢😢
NI HALI YA BINAADAMU GANI ALIKUWA ANATETEA ?? hakuweza kutetea hata mwanaadamu mdogo sana alokuwa tumboni mwake mwenyewe. ooooh ! mungu tusaidie wanawake na roho za kijambazi hivyo ukijua mwanao anavutwa ubongo na kuvunjwa mifupa, akakatwakatwa kama nyama ya bucha halafu ukajiita mtetezi wa haki za binaadamu HUU NDIO UNAFIKI .
Ai oyeee God
Lol wat I heard 5_6months pregnant with a baby boy ...😱😱😱😱😱😱so the text msg that went viral was true.
Hi nice whats ur name
Cal me kenyan gal
@@queenjackie4350 hahahhahahaaa mbona watapangana wengi mno hahahaha...............
@@queenjackie4350
Ok write me your whats up number or messenger
Maybe walitoa kwa lazima ndio wasingizie mimba..
Painful aki
oh God why?? an innocent baby? why why should the baby go thru all that pain, plz God forgive us. am so hurt
Despite her being a human right fighter why not fight for the right of her unborn child to live rather thn terminate it GOD HVE MERCY ON US.
So ladies we should not be blaming our men even us we are idiots
She didn't attend job that day saying was unwell,Rip ,Take heart joshua
God hv mercy on us
Am also sure dat this other two kids are from different fathers ...I only say pole Tu the kids left behind but God will see them through in there entire life ....the only secret is Tu walk in in the Lord.
Wah yani hangengoja bwana arudi kenya
I feel bad for his husband he was in gulf leaving wife whom she trusted years then when,God he dont sleep she get a get ashamed by his hypocrecy umalaya adulterly mwanamke aki where does faithful peoples goes, God please heal our country na atulinde sisi tuko gulf n our love life
When i see this haki mimi hu feel ku quit
Waaah c angezaa tu
Mbona mimi nasoma hizi comments naona watu hawajamuelewa daktari? Her pregnancy could be used to eliminate her so that it may appear she was doing abortion. That's why the doctor said he doesn't know whether it was done with her intention or not. Then the doctor also said it was not a normal abortion. What makes us to be so narrow minded to conclude that she was doing abortion? Who knows whether she was given something to maker her unconscious paving way for her destruction? This television presenter made a grave mistake to conclude that she was doing abortion. It is not clear whether she was aware of the abortion or not. Am so sorry for her demise.
PETER KARIUKI . How come the husband is not owning up to that pregnancy .
Which is normal abortion Mr.?
I cant believe that you are still doubting, it is a big shame. A Human activist died while trying to kill, irony
Me too I don't buy that....
oooh my God so sad coz vile watu wanahussle gulf then maybe mpango wa kado am afraid I'll never do abortion but it'd good to know how she died pole kwa familia may be she was doing b coz the husband was coming God is sad with that hospital n doctors who do abortion unbelievable I separated with my husband to tell me he dnt need another baby I decided to move away am proud I got my bby boy who is 14yrs now I thank God for everything happens with a reason the person who was to do that job told me the baby is big 6 mnts its dangerous so I decided to keep n separate with the husband
Very sad na vile tume laumu police aki pole kwa hii
Aki itatuma Joshua hataenda kufanya DNA ya hao watoi wengine.Aki gals tuwache mpingo za kando
If I was Joshua, I would just board the next plane back to Dubai. Wacha familia ya mwathas ishughulike
Not gals But married women 😂😂😂😂
@@samuelnjenga8434 woiye aki vibaya
@@madamboss348 Nyege ni mbaya
Oooo my God😢😢😢😢
Am in the USA and my hubby been enjoying himself in our matrimonial home with a very young girl. It’s terrible. We work our asses off here to send money home for development but it goes to those gold diggers
Justice has prevailed, na hawana adabu wakisema she was killed by the police, shame on those crooks.. ....tht she was killed by the police, I love u doctor God bless for standing by the truth.....may tht male child rest in peace. .......wenye kutoa mimba take care, learn from this
Well said.
Malipo ni hapa hapa duniani kwanza kabla ya akhera.....
Only God knows
Ungezaa tu my dia,,,,ona sasa unaenda kaburini
Lesson to the other mummies rip caro.
OMG!!! Aibu , aibu c a ngezaa tu a divorce huyo wa Dubai akae na huyo aliona Mzuri amzalie,lo!
Ukiacha bibi kenya ama bwana, eti uko Gulf. Hayo ndo hutokea mara mingi
Daktari I believe you 100% and you inspire confidence. Lakini Nunua meno.
Mnunulie😂
Wacha n.a. meno angalia kazi
@@samuelnjenga8434 Samuel leo n vita eti amununulie meno nahuyo mwingine kizungu ata mwarab ameniuliza ni- nini
😂😂😂😂😂
Huyu daktari amefanana na speaker ole kaparo. DNA ifanywe wajuane. Kitaeleweka😂
My big worry is that she was an activist akipigania haki za kibinadamu how then akaamua kumuua innocent unborn baby, some people should stop pretending hki
The human rights fellows should carry on with their demonstrations. They were blaming the police for her death yet the truth has come out from their doctor
Aibu na uchungu sanaaa
Watu Wa gulf titakuwa tuna oa na contract ukikuja gulf unafanya contract divorce after 2 yrs ukieda kenya, unarenew ama unaachana na yeye hatutaki vituko kaa hizi tena
Did i hear someone say alikua mwanaharakati wa haki za kibinadamu😳😳😳😳.
i think the SOCIETY IS ROTTEN from the UANAHARAKATI itself.
That is why I can't and will never trust a long distance relationship , ata tukioana na harusi na bibi apate job far, we just part ndio aende na mm nibaki na peace
Angezaa tu no one is perfect wanawake wengine wanatamani watoto
Wio
Under who consent!!!!?
Venye gulf twavumilia dryspell nao mabibi ni kuhanya tu so painful ,I feel so pain kwa huz yake amekufa na kuhanya
Sammy hawajui vile mtu unaumia uku Aki ukituma pesa kumbe Ni kuenjoy tu...na uku lazima uende Kenya ndio upate hiyo tamu
@@sarahokinyi4421 Aki hawaelewi waah they think tuna enjoy huku ,huku ni kukauka kaa mawe
Wa kiume jameni dadangu
Very shameful waaah...vile bwana alikuwa anamtetea
They were just trying to cover up their image
@bibi ya mkubwa what are you talking about? We are talking about the husband blaming the police when the evidence has truly shown she aborted so I don't know what u are talking about before jumping into my comment
@bibi ya mkubwa nope infact am against the people who are defending her. No matter how close u are with someone, you never know his or her thoughts when she's alone. But the family are very defensive towards her cause they're only trying to protect their image which is not right
Ooh my God!
Hii long distance relationship ni ngumu expecially if you can't control your feelings bwana ako Dubai au bibi yuko saudi Arabia for 2 good years then uwache mwanaume kenya au mwanamke and you expect her /him to survive like you? Now I know kwanini warabu wameweka arabic shower kwa choo zao I pity the husband and the kids
Sasa wenyewe walikua wanasema aliuliwa na police sasa wako wapi ati walifanya harusi ya kanisa sasa sisi tuko huku gulf kumbe madem wetu ni kupeana tu vitu mpaka mnawekwa mimba
Itabidi umemleta mchape works pamoja😂😂😂
@@shishshish6130 sure hii sasa itabidi inaonekana mafisi wanafanya kazi usiku na mchana
So sad. Rip
So the police were right!!!!! Rip in peace..the hubby wasn't even aware she was pregnant.
Ladies!ladies!ladies! How many times did I call you.mbona ushike mimba kisha baadaye uuwe mtoto,?
Hawaogopi ukimwi, lakini wanaogopa kiungo cha Mungu.
@@CetribeaBurundibwiza-tz5le very shameful death.
namsikilia huruma hata huko mbele ya mungu kweli,duniani umeacha jina bayaaa.
God forgive her for she did not know what she was doing.
The asshole who impregnated her should be very ashamed of himself!! Yaani unakula bibi ya mtu dry fry kisha unamuadvise atoe mimba after 5months?? Ladies ladies ladies!!! If you're married why dish out your nunu hivi hivi? Anyway we are just humans 😭😭😭😭
Saii mnaeza sema anything juu amekufa
Rip lakini hio sisemi kitu
Aki hawa polisi,Wanauwa Caro then they plant a foetus in her womb,halafu wani rupture hiyo womb na kumwaga damu ndani.
Sisi ma human activists tutaambia nini watu🤔🤔🤔🤔
RIP Caro.
They plant a featus in a womb. lo, Human activist try o be real not hypocrite, who is after fame and money. the devil is a liar why her
@@jenniferkogo584 😂😂😂😂😂
Kimeeleweka.....sasa watambia watu nini??
Ati alikuwa analinda haki za kipinadamu ndio pole sana
This world ain't my home anymore
The results of marriage infidelity...God have mercy ,the kids are left without a mother
This brings to a stop a lot of speculation... Mtoto alikuwa na haki ya kuishi
Aki tunaenda heaven ya jehovah wanyonyi
Haile mwenye aliuwa caro pia haizi ishi kama mawe hii dunia atakufa tu
Sio bure mnaambiwa hamna ubongo. Unaskia report inasema alikufa aki abort nawewe una insist aliuawa? Una akili kweli? Ama huelewi kizungu
Bahati mbaya,she had money why wait for that long?why go for a cheap quack doctor?ama ni kifo kilikuwa Kinamuita?anyway Let the baby boy RIP.
Wedding marriage where are married women here l wonder aibu kubwa sana ...police Leo watalala
Where are those demonstrating and the family with the husband sasa mumeanika aibu za mtoto wenu wenyewe saa hii serikali wanacheka mpaka wanainua miguu juu sometimes we have to learn on how to handle issues wisely.
U mean Ni mimba imemtoa uhai oh
Why are we women not patient waiting on the ones we love even when they have gone out there because of us.. This is not good.
Ohh God why now is it not better you could bear the baby and loss the marriage now all is lost..
Sasa hakuna kulala Kwa Barbara tena ....ati human right ...huyo mwanamke ni mjanja Sana anapewa pesa na bwana yake from Dubai na yeye uku anapeana ngonyi hovyo hovyo ....why abort ?? Kama anapeda huyo mwanaume kutotaka Isiolo agemuoa... Ya Dunia ulipiwa hapa nduniani... secondly I pity dat young man ati bwana ....n the man is stupid enough Tu call a press conference n confesses dat his wife was not actually pregnant...silly give police a brake....
its so saddening that a young woman of such intellect can loose her life in such barbaric actions. husbands stay with your wives to avoid temptations, money is good but its not everything. Everyone can be tempted and fall into sin but when couple stay together , they minimize a lot of temptation.
MAY GOD REST HER SOUL IN PEACE
Sorry
Only God knows the truth
Aki skia vile huyo mtoi ameuliwa this is fucked up she claimed to be a human activist what was that that they were harming Mungu halali yaani I do not feel sorry for this woman huyo mtoto this is painfull Aki very unfortunate rest well baby
Mipango yakando haiwezi isha dunia hii.Sasa hakutaka bwana ajue ,Wacha yangu niitie kofuli
Mama yangu niliweka super gullu