Kwa kweli nimehamasishwa na hiki kilimo,nimefuatilia toka maandalizi mpaka miche ilipofikia mwezi 1,ningependa pia niujue mwendelezo wake. aina za madawa na hata jina la hiyo busta.
Cheza na hesabu zako ila vuna kuanzia March mpka April ama pia October mpka December boss hapo demand mtaani ni kama yote alaf product inakuwa insufficient kwa mtaa
Mwandishi unadharau sanaa, umezingua sanaa kuingea na simu
Mwandishi mjinga sana.
Hongereni sana vijana kwa kazi nzuri mnayo fanya. Your sweat ll Surely be rewarded in time...
Ahsante brother James Lazarus. Blessed
Mwandishi hujitambui
ASSALAAM ALAYKUM WA RAHMATULLAAH WA BARAKATUH
NI MEFULAHIA MAFUNZO YAKO ALLAAH AKUBARIKI
NAOMBA TENA NAOMBA KUJIFUNZA KILIMO CHA TKT
Our agriculture our field
#Vijana tusonge
Nimeamasika Sana namilazima niingie kwenye kilimo
Sijafurahishwa na mtangazaji kuongea na simu wakati anamuhoji mkulima. Hata mkulima nahisi kakerwa na hilooo. Usifanye hivyo tenaa
You was on my mind hata mm nimechukizwa
Kwamtindohuu lazima utajirike
Kwa kweli nimehamasishwa na hiki kilimo,nimefuatilia toka maandalizi mpaka miche ilipofikia mwezi 1,ningependa pia niujue mwendelezo wake. aina za madawa na hata jina la hiyo busta.
Umetumia aina gan ya mbegu
Ni vyema mnapokuwa mnatoa somo muwe na umakini Fulani mfano huyo anayeongea na simu akati sisi tunapewa darasa
Mtangazaji unaboa haupo serious na kazi unaongeaongea unaboa
kiparapara
kaka garama zaekamoja ina weza kuwa shigapi
unaongea na simu wakati unahost kipindi?
Vipi kuhusu market inaonekana ni challenge sana, ni miezi ipi hasa ukilima demand inakua kubwa na producer wanakua sio wengi?
Cheza na hesabu zako ila vuna kuanzia March mpka April ama pia October mpka December boss hapo demand mtaani ni kama yote alaf product inakuwa insufficient kwa mtaa
naomba mawasiliano yako kwa ushaur
0684393181 Whatsap only, ukipiga wala text haipatikan.
0756972338 hii unaweza piga na text inapatikana.
Karibu sana Glory Chonjo!
Suleiman H. Halletu kaka nimeguswa na kilimo chako nitakutafuta je nikija huko ulipo shamba nitapata la kukodisha
Mwandishi ni mpumbavu sana mambo ya muhimu yeye anongea na simu kwani huwezi kuongea baada ya kipindi? Shenzi sana