UNYAMA! KIJANA APIGWA RISASI NA ASKARI MCHANA KWEUPE WAKIDAI WANAUA MBWA, MAMA MZAZI ASIMULIA AKILIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- UNYAMA! KIJANA APIGWA RISASI NA ASKARI MCHANA KWEUPE WAKIDAI WANAUA MBWA, MAMA MZAZI ASIMULIA AKILIA
kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Pendo Prosper, anadaiwa kuuawa na afisa wa wanyama pori baada ya kupigwa risasi begani upande wa kulia, tukio hilo limetokea uoshini kindi juu wilaya ya Moshi, mkoa wa kilimanjaro, jana Machi 24, 2022 majira ya saa 9 jioni.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Nimemuona bibi yangu jmn❤RIP Pendoo pumzika kwa amani
Nawenyewe wauwawe kwakweli tena azarani acheni kututania serekali ueiii uwiiii mama samia atoe tamko la azarani kwakweliiiiiii.wauliwe uwiiiuwiii uwiiiii tumeisha tanzania.ueiiiii uwiii serekali haipo.baba makufuli angekuwa mauaji hata ya matambiko yangekua hakuna watu hawana hofu ya Mungu kwa sababu hawachukuliwi hatua uwiii uwiii
Majanga haya. Mungu mkuu atulinde na adui tusiyo mfaham na tunayo mfahamu. Poleni nyote. Amen.
Subhanaallah inalilah wanaileh rajuuni poleni sana familia
😢😢😢😢😢 hii nchi sijui tutaenda wapi kila dakika askari amemuuwa mbeba mkaa, mara wanawinda mbwa na kupiga risasi watu😢😢😢
R.I.P Kijana poleni sana wafiwa hii nchi hii sina la kusema imeniliza sana 😭
Jani arichofanya hamz sahii polic sas maadui wet Rais uk wp Tanzania sas nanch ya vita
R I P ndungu
Askari hao hao wauwe bado waje kupeleleza hii ndo Tanzania yangu sasa tutamlilia nani 😭😭😭
Fdd
Inatuumiza sana uncle jaman
Poleni wana familia najua jinsi gani mnaumia
Huuu ni unyama kabisa mungu tenda haki kwa hii family 👪
Jamaniii 💔 Nini hi tena 😭😭😭😭🙆pole Sana kwa familia
Ghaiiii pole sana kwa family kaka lala salama tutakutana siku ya mwisho 😭😭😭😭😭😭😭😭
HII IMEVUKA MIPAKA KWAKWELI HII HAIVUMILIKI
police 😢wamezidi jamani mama samia angalia kwa jicho la tumechoka
Poleni familia
Yaani siku hizi binadamu wanafanana na mbwa??poleni familia
Nashauri familia nawakazi wahapo wekenichuki na polisi lipizeni kisasi,uweni hata watotowao au familiazao
Hiyo ndio suluhuu Kwa akili zako
Poleni wafiwa😭😭😭
Poleni wafiwa nyote
Tume wachoka maaskari kwa kuuwa
Hao washughulikiwe Askari wameshaona kupiga watu risasi .
Mm nasema askari walikuwa wanamuogopa mzee magufuli maana saiv mauwaji maajali kibao na askari wapo hawafanyi lolote
Jamani Pendo
Jamani mama hata hajatulia waandishi mnamuhoji, mnajua uchungu wa mama kufiwa na mwanae, badilikeni
Kusudi hakuna mbwa wa urefu wa binadamu kama kweli walikuwa wanaua mbwa marehemu angepigwa mguuni au goti ndo urefu wa mbwa kifuani wamedhamilia so Bure Kuna kitu ,R.I.P kka
Marehemu kafanana na mwenyekiti...poleni sana wafiwa
Unataka sema mwenyekiti ndio baba wa marehem
Haha ila kweli wamefanana mpaka pua
Mbwa auwawe saa kumi na moja jioni bila ripoti kwa uongozi wa Kijiji? Mtu anadhubutu kusema kuwa ati alikuwa kwenye kazi maalumu,hiyo Ni sawa? Taratibu gani zilifuatwa? Hii nchi kila mtu anaweza kuamua na kutenda Jambo bila sheria? Hata apatikane na hatia anyongwe inasaidia Nini? Kuuwa mtu bila hatia kutesa familia,kufupisha uhai wake? Why all this?
Tunaomba uchunguzi wa kila na taarifa ziwekwe wazi.
Asikar wapunguze kuwauwa raiya kwa sisi ni wanadam tu wote
Mungu amlehemu ila uyu jamaa sijamuelewa elewa ijekuwa nayeye ni mshika chuma ila atakama ni mshika chuma ilibidi akamatwe na afikishwe kwenye vyombo vya sheria sasa hii inakuaje kuaje hii
Magufuli
Duu shida sana
Sasa hao polic kazi yao kuchunga watu au kuuwa watu
Police ni adui wa raiya uko wanakosomea sasa wanafundishwa namna ya kufanya matukio kuuwa raiya..kijana akishakuwa tegemezi wa family tu police wanaenda kumuuwa.
Pole sana wañafamiliya
Siro haya mauaji ya ya raia kwa polisi mbona wakati wa magufuli tulikuwa hatoni mambo ya kinyama kama haya kuna nn hp
RIP HAMZA
Polis wanajua wanacho kifanya,,kunajambo hapo
Taarifa gani wakati mtu ameshauwawa jamani
Mama anatia huruma ameria mpaka sauti imekauka
Siro usipo kuwa makini mama atakuondoa mapema kweupeeee!!!!.kwasababu vijana wako wamezidi kufanya matukio mabaya na ww umekaa kimya na ukemei ndo maana hawakomi kujisahau kwasababu hawana kalipio kutoka kwa kamanda wao.lakini Kama ni raia kamuua askari apo utazungumza na kusema ni uyo mtu ni gaidi.
Subuhanallah
Hatuwezi kupata ukweli kwa hao waliomwua huyo kijana ila Mungu ana siku yake ya kuwekwa kila jambo peupe. Hivi police unamchapa mtu risasi ukisingizia unaua mbwa? Sasa Pendo ni mbwa? onyesheni umwamba wenu ipo siku yatawageukia wenyewe.
Sikia mtu akiua na nyie mnamjua unga nq nyie ueni apa amna Cha Askari Wala mchawi ao jamaa wanakibuli sana
Ahaaa jamani
😭😭😭😭😭😭
wao nao wakija wauweni wamezidi hao minyama pori eti viaskari
wakiuawa maasikari huwa wanachunguza haraka
Hizi ni dalili amani imetuchosha hatuna amani ila tunauoga
Nyie wachaga mlikuwa mnaona Magufuli anaua watu! Vipi hilo nalo kaagiza Magufuli? Ujuaji mwingi mbele giza!
Mnaingiza upumbavu wenu kwenye mambo ya msingi
We huna akili pumbavu
Wewe kenge kwel I tena huna akili
Pumbavu hutumii akil vzr
Serikali yetu ya sasa hakuna haki hizo silahi zinatumika kwani yeye ni mbwa ?
1. Lini mliwahi kuwa na haki? 2. Mnachinjana wenyewe kwa wenyewe, mnakatana mapanga vipande vipande, mnauana kama wanyama Nchi nzima, Serikali ndio ikawatuma?!
@@j.c.maxima816 ujaeleweka
😭😭😭
Hii itakuwa ni visasi
Ukute walikua wanafanya maksudi
Mungu aingile kati TU kipindi Cha jpm mlisema wasijulikana Sasa wamejulikana Nini kifanyike hahahahaha mama jitathimin sana haya machoz na serikali yako utayakuta Kwa mungu kiongozi akiwa Hana hofu ya mungu matokeo yake ndo hayo
Jamani Hawa polisi. Opo sikuu
Ila ss wachaga bana duh!
Wewe acha ujinga Mchagga hapo kafanyaje
Moshi kuna nini lakin????????
Kama walikuwa wanauwa mbwa, wameuwa mbwa ngapi? Ao mmesikiya milio mingapi ya risasi? Kwenye walikuwa na mbwa ngapi ambazo walikuwa wameisha uwa.
Ivi hili Jeshi la police halifai kufutwa kabisa hapa nchini tukakodi ata ulinzi kwa muda maana hatuna imani nao kwa kweli🥲🥲😓
Wamefanya kusudi mbwa ni mfupi na binadamu ni mrefu bas wangekuwa wanapiga mbwa huyo kaka angepigwa kwenye mguu au goti ndo urefu wa mbwa na so kifua hapo Kuna kitu so Bure hakuna mbwa wa urefu wa kifua Cha binadamu I.R.P kaka
Hasara ya hili jeshi la polisi inaloingizia taifa ni kubwa kuliko faida.
Jamani nendeni pale marangu samanga kunakijana kajinyonga leo bado maiti ipo ndani mpaka sasa hivi
🕺🕺🏇🏇
Poleni sn jamaani
Asante
Aiseee mbona ni hatari, wampime kama anamajeraha mengine?
Ila hao police ni hatari sana.
Tofautisha police na askari wanyama pori
@@salehaliy7198 wote ni poloce
Hawa ndo Askari wetu,tz. Kuua raia bila sababu kawaida, kitakachoendelea upelekezi na kumshinda marehemu
Daa na mtetezi wa wanyonge ayupo
Jeshi la polisi mnazidi kupoteza imani kwa raia kama mna hamu ya vita nendeni mkaisaidie Ukraine uko
Ni tanapa mzee
Maisha aya jaman
Hili Jambo linavyoelezewa,Kuna utata,je huyo aliyetumia silaha kwenye umati wa watu Ni Nani? Au Kama ni Askari polisi Ni utaratibu gani uliotumika,mbwa kufananishwa na mtu? mtu kupigiwa risasi, Ni sawa,mh.IGP Siro, Hawa watendaji wako vipi mh.wale wachache wazembe wanazidi kulichafua jeshi la polisi je na hili liko vipi mbwa au binadamu?
atakuwa ni jambazi wachaga bwana wanataka mali kwa haraka.anayemuwa mwenzake shuti naye auliwe kuna kitu hapo.
au kadhulum ndio zao wachaga
Yaani mtu wamemfananisha
ila police nao jamani nimeielewa masikini kijana wa watu
Ni tanapa
Mwenyekiti wewe mshenzi unajua ulicho kifanya,Binadamu toka lini akawa kama mbwa
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😰😰😭😰😰
Eti walikuwa wanasaka mbwa jaman tuwe na hofu ya Mungu😭😭😭😭😭 bado unaambiwa babake aliuwawa hivyo hivyo hebu fanyeni uchunguzi mtoke na majibu yakutosha🙆🏽♂️🙆🏽♂️
Wachaga bhana duh.
Nanyinyi Mnashindwa Kujiongeza Iyo Sitaili Yao Ya Kuua Walikuja Kwa Staili Ya Kuua Mmbwa Kwani Mmbwa Walikosa Nini Ebu Wakanyie Debe Hao
SASA wanampiga risasi ya nini ili iweje anakosa mpelekeni mahakamani ,baane mmemzulumu msera
duu hichi nishidatupu
Chato
R I P
najua mtanikumbukuka kwa mema wala si kwamabaya. maneno kuntu ya rais wetu wa pili dk jonh josefh magufuli wa kwanza mwl julias kambalage nyelele
Sio toka jpm afe kuna matukio ya kisenge sana yanatokea
🤣🤣🤣 Umeona mbali, Mzee ! Kumbe Jomba ndio anarudi na kusababisha haya yote?! Inabidi tufunge na kuomba!
Hawa police wana akili unawinda mbwa kweli huto police achukuliwe adhabu kali
Hili jeshi hili haya bhana nyie ndio mna nguvu
Hakunaga mbwa mrefu km binadamu
Shida tupu
Jpm
Wamemkatia ndoto za Maisha yake
Acha watumie maana mtetezi wetu kafa dawa sasa ivi mkimpata askari kafanya mauaji na wao nikuwaua tu
Mtetezi wenu ndio nani ?!
@@j.c.maxima816 zumarid
@@hisanmwakijungu10 🤭🤣🤣🤣
HUYO UNAEMFIKIRIA KUWA NI MTETEZI WAKO SIJUWI WENU YEYE NI MWENYEWE NI MUUWAJI ( MTETEZI NI MUNGU PEKE YAKE NA YUKO HAI HAFI WALA HATOKUFA )
@@hisanmwakijungu10 🤣🤣🤣🤣🤣
Subhanaallah inalilah wanaileh rajuuni poleni sana familia
duu hichi nishidatupu