👏👏👏👏a mother every girl needs in her life,slaps fasta fasta discipline immediately,her attitude just changed the moment she saw her mother because she knew what was coming, congratulations mama for being a true African parent.
True most parents wamelea watoto Kwa njia nzuri Tena ndani ya kristu, but wakati wanatoka Kwa Mikono ya wazazi, vitu wanafanya uko inje, hata ukiambiwa ni yule mtoto wako ulilea huwezi amini.
A very grounded mom ,I salute her .We need more of her in our rotten society that idolise material possessions over morals .Like it doesn't matter whether you sell your soul to get money 😮
Mama hajui vitu mtoto wake anafanyanga, mama mtoto wako amejaa Kila mahali internet akiuza matako, men be careful, Chebet pinky unatuaibisha watu tunakujua
Akitoroka ni sawa, she will never find peace. Babaa enda uanze maisha wachana na bibi aendelee kudunga nguo za wajukuu. Trust me there are good women out here the problem is we are so paranoid nowadays to be patient to observe. Men!!! patience patience patience .... tuwe na Subira
👏👏👏👏a mother every girl needs in her life,slaps fasta fasta discipline immediately,her attitude just changed the moment she saw her mother because she knew what was coming, congratulations mama for being a true African parent.
Very True
But after disciplined, will that change the cheating habits 😂😂😂?
@@nyolod most change others wait until the world changes them.
Already mum👏
Ile vichapo nilipewa nikigrow, thank you African parents
Wapi makofi Kwa mathe...mummy I salute you...msichana ameharibiwa na Marafiki.. aende akalime ...🤝🤝👏👏👏👏👏👏👋
A good number of our young girls have been raised well.
Kupotea wamepotea sio upbringing, ni kujipendea kwao...
Impatience and peer pressure.
Facto💯
Truee
True
True most parents wamelea watoto Kwa njia nzuri Tena ndani ya kristu, but wakati wanatoka Kwa Mikono ya wazazi, vitu wanafanya uko inje, hata ukiambiwa ni yule mtoto wako ulilea huwezi amini.
Much love to mom😊❣️❣️we need mom's like these one
Facto💯💯💯mum of year 2024
🤣🤣🤣🤣🤣hadi kababa anacheka
Hakuna mwenye anaongelea urembo wa mom,she is adorable and young😂
😅❤❤❤
Dress code on point too❣️❣️
Huyu mum nipewe
One in million this mum we are proud of such mum in this perverse generation
This is true difination of african woman who care for her daughter.
😅😅i love the accent , nanjala amevaa nguo ya mjukuu😅😅
Malaya ni malaya tu, sio kitu kubwa boy run for your life
This is a Mother-in-law that every man would wish to have. Thank You Mum. Discipline her vizuri. Nyorosha yeye kiboko
This is so much my mom
😂😂😂😂uyu ata anamubebelaza ingekuwa my mum sai ningekuwa kuwa kaburi
Luhyia Mums are the best at DISCIPLINE... I remember Naliaka
Sio naliaka nerima
@@senjeschola1921 sio Nerima ni Nelima
All mothers wants the best for their daughters so they always discipline them.
Luo nayo!
Yes but she is narok enjoying the mansionate you guys build for her and we are enjoying it thanks 🙏
This is the best mother- in-law everyone wishes to have..
Huyu atatoroka kama nerima,she won't go to western after getting used to Nairobi life.
😂😂😂hata usinikumbushe nerima alirudi tena na trick ingine sijui kama alifaulu
Nerima Design
😂,,,😂😂😂😂😂😂😂
@@levinemuhanji3881😂
Nerma alipandishwa gari
Akaambiya mum anaenda choo😂
Nerma never returned 😂
😂😂😂@@levinemuhanji3881
Stevie advocating for makasi😅😅😅😅😅
I see my mum Kwa huyu mama....thanks to them mummy Leo tunaishi Kwa maisha ya kujiheshimi
Luhyas mums are very strict and discipline they don't entertain nonsense
😂😂😂walai, jaribu kufika kwa hao usiku umpate, unasikia tu" tutajua nani mke wa hii nyumba, ka unataka kuoleka enda"😂😂😂😂😂😂
@@IvineAlumasa-oc8kf😂😂😂😂😂😂
I love this mum nipee number nimtumie lunch. Good mum ever one in a million
Hahaha Niko hapa
A very grounded mom ,I salute her .We need more of her in our rotten society that idolise material possessions over morals .Like it doesn't matter whether you sell your soul to get money 😮
Makasi imekosekana jamani.
This is a real mama in discipline
MAMA mdio mzaai i salute this mother!
😂😂😂😂😂😂huyu mum she's deserves a an award
😂😂😂stevo alichoka akaamua kuchoma... alikuwa uchi na kijana mwingine.
😂😂😂ameua bana
Hi jina nanjala is becoming notorious but i kno our luhya mother's never disappoint
Kudos to the guy coz ka umetoa mtu kwao mrudishe kwao
Very true
Much respect to him
Nanjala achapwe makofi ashike adabu.
We need such mothers in our society.congratulations mum
Way Stevoh is Insighting😂😂.."ama nimletee viboko tu akuchape mara moja"...Dude must be enjoying the way she humbled herself before mummy..
Walai ningekua stevo ningetafta viboko😂😂na makasi anyolewe hiyo nywele 😂😂😂jambazi Jangili
Tao unajiitta sly 😅then boom Nanjala joins 😂😂😂
😂😂😂
😮😮
Inakua hali ya mshikemshike..! 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Imagine kupata boy mzuri hivi na unamcheat walai sio poa kabisa boy even ako respect kwa mama mkwer
Women hawapendi nice guys at all. They want bad boys .
To start with, wanawatoa wapi.... Waniplug
Huyo nj cousin yangu, so mm nko ivo
@@kisasiboy304😂 sidhani
@@kisasiboy304😂😂😂
congratulations to the mother.
Leteni link ya hiyo videos
The mum she's soo beautiful ♥️♥️🥰.
Hii ndio huwa wanasema a no nonsense woman.✔️✔️👍👍
Huyu Mama amefanya poa wxcheni amurudize nyumbani🤣
Nanjala anaenda kulima😂😂😂😂ataparara kulima kwanza kwa miwa kupalilia weee katakatwakatwa na hio miwa😀😀😀😀😀
Atashooot video akipalilia miwa😅😅😅
😂😂😂😂😂... Wueeh
😂😂😂😂😂atajua hajui
Big man Stevo huchochea vizuri sana. Explaining about the video. Makazi haikupatikana
I love this mother if all mama wangekua ivi wah this world ingekua wonderful
Comrade salute kwako😃 nimependa hiyo assist hapo bro alishindwa kumuelezea mama video inahusu nini ukaelezea chap😂
Huyu na mamangu the same watsapp group😂😂😂ningekua icu nikiongezwa maji😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 true definition.
This is the second lady naskia akiambia hubby nijoin tumake pesa dignity ilienda wapi😢 our Nanjala has let us down bukusu ladies
I appreciate all mother's kama si mamangu singekua hapa sai much love ❤❤❤❤
Man Stevoh, follow up on this story till we see her in the shamba. Obitongeyo ni Kara okiyaa.....
Wueh! This would be my mum too. Kwanza ningekua nimekneel juu hii kusimama na kunyamaza ni kesi pia😢😢😢😳😳
Kudos to this strict mums❤❤
Hawa wakirudiana,, itakuwa vita kwa hio nyumba kila siku. Hakuna kitu ya ku solve hapa, acha tu waachane roho safi.
True this girl is beyond repair.ame taste something big
Nelima aliambiwa na mamake Mbukinya chap chap na mamake😅😅😅. When i grow up i want to be like the luhya Mum😅
Mbio mbio Mbukinya kaende kaende weuh 😂😂😂😂
African mum is the best ever. BMS harakisha makasi please.
Bms is enjoying the show,even hes helping to look for scissors 😂😂😂
Kupalilia miwa ewoooo😂😂😂😂 sly ama ni Nanjalaa😂😂😂😂😂
She was nanjala before she was established 😂😂😂😂
Nimependa huyu mother, she's a real parent and I love her
Stevo: nichekie makasi hapo😅😅😅
Nanjala vs Nerima,,,,, the village gals🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Am a samia from Busia Uganda and Nanjala means a girl born during famine season.
Nanjala you were too arrogant
Husband Ako sincere
Now your mama is teacher now😢😌
Sasa repent
My mum's twin sister is here...😂😂😂😂Congratulations 🎉to this beautiful mum...
African mother is a gem
Reminds me of my mom...hapo kwa discipline hachelewi....respect
BMS explaining what Only Fans is, "Alilala uchi akiwa na kijana mwingine!"
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
This is a true mom#i salute you mama💯💯🙏🏼
Heri anyolewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂she belong to tge streets
@steve ati heri anyolewe tu😅😅
Ukistaajabu ya kimani utayaona ya halima 😅😅 anyway pamoja tuzidi kuosha choo za waharabu
Kimani
Sio Musa na firauni tena😊😊😊😊
😂😂😂😂😂
Best follow up😂😂😂
Dawa ya slay queens Ni wazazi
How come kids from very strict backgrounds are the most rotten?
Ni rebellion,they don't appreciate the displine
Trust an African mother...... instant justice 👏👏👏
Hapo sasa
Mimi nasimp kwa huyu Mather.soo beautiful.
Ni video yake akiwa uchi na kijana mwingine🙌🙌😂😂😂😂😂😂
Such a mother-in-law 😊 comrade flavour niulizie huyo mama kama ako n mrembo last born 🥰🥰
Wabukusu hatunanga hii tabia! Wah! Our sister is lost😢
Jaba
Walai
😂😂😂😂
Huyu mama Hata ni mpole, angeoatana na shosho yangu akiwa Bado na energy angekuooga mpaka na mawe weeeh🤣🤣🤣🤣
Mama hajui vitu mtoto wake anafanyanga, mama mtoto wako amejaa Kila mahali internet akiuza matako, men be careful, Chebet pinky unatuaibisha watu tunakujua
Pia Ananyongesha😂,
@@ibba8082 mpaka kwa shamba ya mahindi, aibu tu
Uyo Acha tu
Chebet or Nanjala wolololo
@@beatriceomino6266 kwa sarakasi anajiita Chebet pinky
its is the kuchunwa for me😂😂😂
Huyu mama anakaa mamangu coz wangu hakuwa nataka ujinga alikuwa moto wakuotea mbali
Congrats 👍👍 Mum .......wacha aende home waaa watoto wetu wakifika Nrb wanachange vibaya sana
Napenda hizo jabs za madhee na upper cuts....😂😂😂😂
Sijui mbona nimewatch my mum wehh 🤣 Me Silahaa ingetokea heaven🤣 Big Up to this strong mama :)
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢ukiona mom anasuport kijana huyo ni mzuri
Kwani mama Nanjala hataki ata earings😅😅😅😅
Akitoroka ni sawa, she will never find peace. Babaa enda uanze maisha wachana na bibi aendelee kudunga nguo za wajukuu. Trust me there are good women out here the problem is we are so paranoid nowadays to be patient to observe. Men!!! patience patience patience .... tuwe na Subira
Kijana ana bahati aki .mama kuside na yaye,, such a lucky boy😢😢
Aky this guy seems nice,,he should concentrate with his life,, she does not care about their marriage..,🤔anyay huwezi force ngombe kukunywa maji🙄
BMS akimwaga mtama 😂😂😂 Happy mother's day to huyu mom
Hawa madame wanafaa kuletewa wazazi ivi ndo tujue kama their mothers support hii uhanyaji wanafanya juu ,,,unampa kila kitu na bado anahanya
Anyoroshwe buana.🤣🤣🤣
Just waiting, maajabu tu!!
Kienyeji turned slay queen.
Wife: mimi niko sawa.first redflag until the mum shows up.
That's how a real mother it's supposed to do not to cover up for her daughter..big up mama🥰
Congrats Mr president of loyalty test we love your channel for free great job bro
Africans mothers are just the best
Not all others conspires with theirs daughters
Aki stevoo😅😂😂😂ati heri anyolewe...uko na makasi apo😂😂😂😂😂
I think she deserves this..ndio maana huwa Niko very loyal kwa wangu
"nanjala naongea na wewe"😂
Akiii vile uyu dem Ni beautiful 🥰 tabia ndio mbaya😭
God can’t give you everything,urembo ikiwa tabia lazima ikose..
Maybe ni surrounding juu anafanya kazi kwa casino and so many things happens in those casinos
@@millicentmukoya1292You might be right, halafu na peer influence but ako na kiburi na madharau sana to the husband
@@millicentmukoya1292 casino ni kazi gani na usinicheke😅
Even the mum is beautiful...I think the lady was just influenced to do such dirty activities
hiyo slap imeingiya poa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mum nakupenda bure
Eii Nanjala vane😂😂
Baba uko na makazi 😂😂😂😂😂😂 sasa kweli nywele imefanya nini african mothers 😂😂
It has reminded me of the other story of Bukusu girl called Wambilianga whom the mum caned throughly on BMS live😮
It was not wambilianga it was nelima
😂😂😂
Wambilianga😂😂😂😂
Alaine akona twin anaitwa Bree kwaniii😂😂😂ama Sina macho😅😅
This is a golden mother. The best mother of current times. Congratulations Mom.
Mama najala apatiwe gift ya Lion👍👍👍👍
uyu mwanamme pia nmdakuu wah😂😂😂
Banaaaa 😂😂😂 anaroroa Sanaa 😂😂 he's guilty tripping her mbele ya mamake 😂😂
@@jojoh-n5e Yani washa mwelewa Bado anongea eleza mamako eleza mamako 🤣🤣🤣🤣🤣
Big man stivo anaulizia ....uko na makasi hapo?😂😂😂😂😂😂😂
Nanjala kwanza ni bukusu 😅😅😅😅
Waaah kama ni mimi ningetolewa adi pin ya pua😂😂😂 na matiti
Nanjala🙄🙄peeni kwanza mum makasi na kiboko 🤣🤣
Nanjala hii ni nini umevaa? 👗 👗 🥻 👚 😂😂...noma🔥🔥
Kwani huyu sister ya mama angu Na sijuii😂😂
😂😂
Kongole mama sai amepata funzo 😂😂😂hatarudia tena