Being Rude To My Girlfriend Prank😮‍💨😒 Gone Bad We Almost Broke Up😭💔

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 767

  • @commentator254
    @commentator254 ปีที่แล้ว +598

    Mlikua Mmenizoea Sana Nyinyi Team Moh😂😂😂 The King is Baack Huku Watu Watalia Sana Ngoja tu😂😂😂😂

    • @milkah_george5877
      @milkah_george5877 ปีที่แล้ว +8

      Your wife is beautiful,usimtese sana na pranks🤣🤣

    • @bornfacemutinda7498
      @bornfacemutinda7498 ปีที่แล้ว +5

      I gat u munaa there we go mkuu team comme lazima 😂😂😂🙏🏾🙏🏾

    • @maggiewambui8506
      @maggiewambui8506 ปีที่แล้ว +7

      Wee Leo umeamua kweli,,, Alf iyo bed si mnipe niko apa zimmer

    • @marymutinda9695
      @marymutinda9695 ปีที่แล้ว +4

      ​@@milkah_george5877 anatesa kijana wetu mcute n pranks why🤣🤣🤣🤣nawapenda sana though💕💖

    • @lynneagellah9638
      @lynneagellah9638 ปีที่แล้ว +3

      You don't own her bro

  • @winfred7033
    @winfred7033 ปีที่แล้ว +20

    Msijudge moh saaaaaana....kila mtu akona njia zake za kutoa uchungu...na hakuna mtu huongea vizuri Kama amejam msijifanye ma-saint

  • @naomiwamaitha9732
    @naomiwamaitha9732 ปีที่แล้ว +20

    Maureen l pitty you unakuanga na machozi 😂😂😂,siku mtakua married officially c utalia daily ,,,

  • @njorogewanjiku4296
    @njorogewanjiku4296 ปีที่แล้ว +21

    It's the blues for me.Namba Saba mgongoni,,,Goro Kante.Chelsea team biggie.Mafans wa Chelsie mpite na likes hapa

    • @Excuvation04
      @Excuvation04 ปีที่แล้ว +2

      Goro😅😅😅it's Ngolo

  • @dalmamboiya7827
    @dalmamboiya7827 ปีที่แล้ว +6

    Tangu nianze kuwatch pranks za Comme and his gal.mostly arguments zao ni kulala.Comme unachoma sana😂

  • @sharonomwenga
    @sharonomwenga ปีที่แล้ว +11

    Kumbe sijalate commentator mwana Leo umeamua n vayolence🤣🤣🤣team mo let's gather here😍Alf guys Pitieni kwangu

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 ปีที่แล้ว +4

    Hii nyumba iko na vituko naomba moh ashike mimba ndo nibambike😂😂😂

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 ปีที่แล้ว +36

    Not Moh trying to question where she went wrong and for the first time calling u by ur name😂😂😂😂 I felt for her even the voice tone tells how she was internally hurt 😥💔team Comme we're coming for you 😂😂😂 alf next time weka hiyo maua kando kuna part haijatufanyia justice 😂😂😂

    • @brendakenia
      @brendakenia ปีที่แล้ว

      Manzeeeeee

    • @lisah24
      @lisah24 ปีที่แล้ว

      Banaaa 😂😂😂😂😂😂😭

  • @ruthnyaboke4867
    @ruthnyaboke4867 ปีที่แล้ว +5

    No watu wakijenga nchi na ww umelalaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @beatricenyamvula9119
    @beatricenyamvula9119 ปีที่แล้ว +10

    Nkijua izo Ni fruits siku zote 😂kumbe ni fake fruits 🤣🤣🤣👋

  • @victoriawanjirunjau7496
    @victoriawanjirunjau7496 ปีที่แล้ว +31

    Commee killed it 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @carojoy8714
    @carojoy8714 ปีที่แล้ว +2

    Moh im inlove kicheko yako siku hizi natafuta credo niwatch vlog zako,,,alafu comme ni mkamba kma mm so mko mwaaah!!napenda vile unachekaga na vle uko msimple ,go go go

  • @vigihwangu
    @vigihwangu ปีที่แล้ว +6

    Nipeeni hio bed niko tu hapa hunters

  • @Hannah-kamau
    @Hannah-kamau ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂lakini mbnah madem tuko hvi mukikosana kidogo nimekuchokesha

  • @carolelabo1620
    @carolelabo1620 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume hawatishwi siku hizi ukisema u want to leave or u want to call it quit..
    😊😊....

  • @Brearlytemba-dz7ot
    @Brearlytemba-dz7ot ปีที่แล้ว +5

    Sasa commeee surely 😂😂😂😂😂bt ni sawa team moh najua Kuna comeback....atatiii

  • @Monicakalondu89
    @Monicakalondu89 ปีที่แล้ว +3

    Comme unajam ukiitwa jina yko 😄 😄 ww n kama beb wangu hapendi kuitwa jina yke 🤣 🤣 🤣

  • @zipporah.xhex.6694
    @zipporah.xhex.6694 ปีที่แล้ว +5

    Team Comme hoyyyyyiiieeeee tumewa show, lkn Moh apo Kwa kukulia pesa ujatuambia Poa u hv to apologize 😂😂😂😂

  • @annewambui8980
    @annewambui8980 ปีที่แล้ว +17

    😂😂😂😂aki comee ati watu wanajenga nchi wewe unalala😂Comee wee wacha moh alale wakimaliza kujenga ataamka kupaka rangi😂😂

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet8675 ปีที่แล้ว +1

    Huku kwetu dem akikuambia wacha ufala inakuwa end of story😂😂😂

  • @carolinewanjala805
    @carolinewanjala805 ปีที่แล้ว +7

    Team moh we must revenge this we are going to come back for you team comme

  • @diananafula5662
    @diananafula5662 ปีที่แล้ว +21

    I can feel for our girl woiye😩😅❤️

  • @matete900
    @matete900 ปีที่แล้ว +6

    I really love mourine bythe❤❤❤commee siku hizi umenona 😂😂😂😂

  • @cafe_nal
    @cafe_nal ปีที่แล้ว +66

    Guys I know the video lit 🔥🔥but don't skip the ads 😅😅😅

    • @lydiahkj
      @lydiahkj ปีที่แล้ว +1

      Panga ingine watajua hawajui

  • @winfredgacheri5065
    @winfredgacheri5065 ปีที่แล้ว

    Guys kwani ilianza lini boyfriends na girlfriends wanaishi pamoja..ata Mimi niende Kwa wangu anipunguzie hii uchumi😅😅😅😅

  • @ekm487
    @ekm487 ปีที่แล้ว +8

    Imagine dealing with this (a rude ninja) everyday ...it's tough guys from experience

  • @scoviaokaronon4305
    @scoviaokaronon4305 ปีที่แล้ว

    Huyu dem kama ako idle kwa nyumba atafute kazi afanye vitu zingine unaambiwa ukweli in the name of prank . Fungua Macho young girl😅😅😅😅

  • @paulinekaranja
    @paulinekaranja ปีที่แล้ว +8

    Team moh revenge u can't make our girl cry akiiii comme❤❤

  • @Chebiancacherry
    @Chebiancacherry ปีที่แล้ว +8

    Wueh...the beast in team comme wasn't dead...it was sleeping...team moh poleni 😅😅

  • @missflo3840
    @missflo3840 ปีที่แล้ว +1

    Have never commented here but hiii 😅😅😅😅😅😅more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 again hapo Kwa mabesthe na mambo yenu isupport comme

  • @maryirungu8521
    @maryirungu8521 ปีที่แล้ว

    Aki comme amenkibusha my ex toking bad alf ukimuuliza why talk bad anakuuliza kama unajua kuongea baya n nn wee💔💔💔😭😭😭😭😭

  • @lvmedia281
    @lvmedia281 ปีที่แล้ว +11

    It's just a start 😂😂.... great come back 🔥🔥.....ati umechoka na mm ni what 🤣🤣🤣🤣

  • @MamaJimmyOfficial
    @MamaJimmyOfficial ปีที่แล้ว +9

    Mr udaka never disappoint 🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️huyu dem ni nini mbaya man 🤣🤣🤣🤣

  • @Nimsyyy.
    @Nimsyyy. ปีที่แล้ว +21

    Comme violation 😂😂 aty watu wanajenga nchi na wwe nikulala tu thats was funny.drop likes if this was funny to you😂😂.team moo leta comeback come uliweza

  • @shemilahbarasa8245
    @shemilahbarasa8245 ปีที่แล้ว +31

    Sometimes pranks zinafanya tunajua what is happening kwa ground red flags 🚩🚩🚩🚩

    • @shemilahbarasa8245
      @shemilahbarasa8245 ปีที่แล้ว +1

      @@silvanawambui4854 kutokana na matamshi there's something fishy

    • @dorcasmwende3732
      @dorcasmwende3732 ปีที่แล้ว

      @@shemilahbarasa8245 wallaih

    • @Excuvation04
      @Excuvation04 ปีที่แล้ว +2

      ​@@silvanawambui4854 didn't you see how he was talking to her? Double standards

    • @leahgichira254
      @leahgichira254 ปีที่แล้ว +6

      Kwa prank zingine kunakuaga na kaukweli .. seems the lady pia analala sna na comme is expressing it as a prank.

    • @Excuvation04
      @Excuvation04 ปีที่แล้ว +1

      @@leahgichira254 we've seen her doing TH-cam videos, she's also a brand influencer,what has comme done more than the lady if I may ask?

  • @carolynembayachi7274
    @carolynembayachi7274 ปีที่แล้ว +3

    As always late bt lazima niwarch,moh tafutia huyu jamaa prank mpaka akunwe mafibya, The One and only house girl in the building 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰,akiii moh na come,simunipee hiyo 🛏️ bed akii

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 ปีที่แล้ว +9

    Just lit🔥🔥❤❤❤
    But I feel for our gal woiyee😔😂😂

  • @donaldcruz-lf9te
    @donaldcruz-lf9te ปีที่แล้ว +7

    Wah hizi pranks zimegraduate😁😁😀😃😄😀😃keep it up bro😁😁😃😃😃😄😄😀

  • @wambuimwas
    @wambuimwas ปีที่แล้ว +4

    Woooiye kababes ketu Moh...nakupenda Bure❣️❣️❣️Comme you nailed it

  • @gracewaithaka6201
    @gracewaithaka6201 ปีที่แล้ว +5

    Wa kwanza huku 😂Ile mbio nmekuja nayo Acha tu

  • @jian_shii
    @jian_shii ปีที่แล้ว +2

    Moh nawapenda sana.....but pls when it comes to friends, avoid sharing your issues with them.......................si poa..anyway this was a banger😍

  • @shirowambondirito3711
    @shirowambondirito3711 ปีที่แล้ว

    Kumbe kuitwa jina lako ni dhambi ....😂😂😂😂😂

  • @nancygatwiiri4595
    @nancygatwiiri4595 ปีที่แล้ว +1

    Time ya kuuliza mtu nimekukosea Nini mara kumi naeza toa wapi ahk 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Ednahkenyanya-ig2zu
    @Ednahkenyanya-ig2zu 2 หลายเดือนก่อน

    Weee moh unaeza tupa food nikiwa njaaaa 😂😂😂😂

  • @joshuabosire7354
    @joshuabosire7354 ปีที่แล้ว +7

    Not comme immitating dj afro😂😂😂

  • @susankimwana3224
    @susankimwana3224 ปีที่แล้ว +2

    Moh uko na patience ..ju Mimi siwezi aky !!!!weuh 😂😂😂😂

  • @refreshmediatv
    @refreshmediatv ปีที่แล้ว +3

    Comme eti bnb na fuliza, heeeh usiwai jidanganya! Utadangamanyaa! 🤣🤣🤣

  • @lynnefelix1334
    @lynnefelix1334 ปีที่แล้ว

    hapo kwa kulala comme unatoboa siri fiche😂😂😂

  • @gidyke1456
    @gidyke1456 ปีที่แล้ว +3

    Woiye 8:50 karibu kalie 😂🤣🤣ako so much emotional 🙌🙌🙌,,,,,,,,prank 🔥🔥💯💯

  • @rosemulala2176
    @rosemulala2176 ปีที่แล้ว +2

    Napendanga sana huyu moureen tangu nimuone kwa show ya deno Ako na heshima sana huyu baby girl

  • @emilymagati2128
    @emilymagati2128 ปีที่แล้ว +6

    Was commentator necessary ak moh🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @estherndungu1281
    @estherndungu1281 ปีที่แล้ว

    Moh keep your issues to yourself c lazima uambie mabeste utakua unareport everything nooo hiyo c poa

  • @12omochildren
    @12omochildren ปีที่แล้ว +3

    Comme was listening and he was called with moh...alafu comme hana reason ya kukasirikia moh

  • @miriamnjuguna8853
    @miriamnjuguna8853 ปีที่แล้ว +1

    The moment she Said ii ni personal...nikajua Mambo kwa ground ni different

  • @gitebiezekiel
    @gitebiezekiel ปีที่แล้ว +18

    This is a banger🔥🤭 team comme 👊

  • @grascowambo43
    @grascowambo43 ปีที่แล้ว

    Walai comme umeongea vile my ex alikua ananiongeresha akikasirika
    I miss him😢😢😢

  • @hoseanjihiaofficial2976
    @hoseanjihiaofficial2976 ปีที่แล้ว +4

    Watching from Paris.......commentator umefanya ile mambo😂😂

  • @lastbornshow601
    @lastbornshow601 ปีที่แล้ว +5

    Is more pregnant?😊 Nimeskia naenda maternity utakula nn super ama ni mm peke yangu😅

  • @barbrawanjiku6225
    @barbrawanjiku6225 ปีที่แล้ว +3

    Aty watu wanajenga inchi we unalala🤣🤣🤣🤣🤣yoooooo mzee comee

  • @miriamgithii7086
    @miriamgithii7086 ปีที่แล้ว +3

    Moh I think ww ni ule siz yngu mwenye alipoteanga hii attitude na yngu Ina different wee🤣🤣🤣🤣

  • @DicksonMaina-cm2xi
    @DicksonMaina-cm2xi ปีที่แล้ว

    Wewe comme aki😢😢😢 dj amekufunzaa kichwaa

  • @obumbaroxen7073
    @obumbaroxen7073 ปีที่แล้ว

    Io bed haina bedbags😮,, si unipee io bed nmechoka kulala chini kama mbuzi

  • @gracewangari3273
    @gracewangari3273 ปีที่แล้ว +2

    Bnb na fuliza😂😂😂😂😂😂😂😂😂jifanyeni ni jokes tu😂😂😂😂😂

  • @edithmule
    @edithmule ปีที่แล้ว +4

    Team Maureen and comme please fikeni kwangu mnifikishe 1k only 165 to go....nifikisheni tafadhali 😊😊😊

    • @msjennah
      @msjennah ปีที่แล้ว

      Nafika hapo

    • @edithmule
      @edithmule ปีที่แล้ว

      Thank you 😊

  • @alexernderalexics
    @alexernderalexics ปีที่แล้ว +12

    Tomato 🍅 was just chilling then boom☀️☀️✳️✳️

  • @annwangare-wb8dm
    @annwangare-wb8dm ปีที่แล้ว +9

    Ningekua nimeenda kulia bedroom nikipack 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🥺

    • @moureenkinyeki7880
      @moureenkinyeki7880 ปีที่แล้ว

      Imagine our parents never left even when things were thicker than this...watoto wa siku hizi hamjui real things

  • @annmbura5562
    @annmbura5562 ปีที่แล้ว +1

    Yoooooo we expect more from you guys😂😂😂😂napenda Maureen akilia oooooour girl😅❤❤❤

  • @Anitahhuwazi
    @Anitahhuwazi ปีที่แล้ว +7

    Team comme Master wa prank we are back like we never left

  • @avengervin2450
    @avengervin2450 ปีที่แล้ว +6

    Dj afro was just chilling 😂😂😂😅

  • @ovianne7665
    @ovianne7665 ปีที่แล้ว

    Amepatikana
    Ameangusha tu na hiyo ..anakimbilia kushw msee mwingine kuhusu mambo yenu..🙄

  • @meivinkelvin270
    @meivinkelvin270 ปีที่แล้ว +6

    Moh hapa ulipatikana 😅😅😅😅You need to have a comeback for this Aki💯

  • @Alafupodcast
    @Alafupodcast ปีที่แล้ว +6

    Mtu mmoja nifike 1.35k subs please 🙏🙏 naomba mmoja tuu team moh

  • @MillicentNdunge
    @MillicentNdunge 7 หลายเดือนก่อน

    Moh nigawie machozi 😂😂😂😂

  • @lydianerima9798
    @lydianerima9798 ปีที่แล้ว +2

    Aki comme na uko sirous baby girl tumekupata🥰

  • @chicbae2403
    @chicbae2403 ปีที่แล้ว +12

    My anger and ego can never allow me tungekuwa tumefight 😂😂

  • @edwardngaruiya8859
    @edwardngaruiya8859 ปีที่แล้ว +6

    Moureen amenjam mpaka akasema comme hanjalipa mahali, weeuh

  • @jematish8937
    @jematish8937 ปีที่แล้ว

    Weeewe comme umezidi hiyo prank jameni it hurts

  • @esthernjihia9468
    @esthernjihia9468 ปีที่แล้ว +2

    Mm cezi kua mhumble ivi ka moh 😉 never mm na nyathira tuko 🤞

  • @muthonigathaku
    @muthonigathaku ปีที่แล้ว +2

    Mi hadi sijui kama unabwekanga🤣🤣🤣🤣this one got me wuuuue😅😅

    • @t.y593
      @t.y593 ปีที่แล้ว

      Movie moja hatari The Players🔥🔥🔥gold heist manenoz

  • @LEE-1-g2m
    @LEE-1-g2m ปีที่แล้ว +1

    Nimekufanyia nini @commentator
    Anaitamka vizuri

  • @donnahnkitarian2963
    @donnahnkitarian2963 ปีที่แล้ว

    Mtu wa chelsea amepigwa home😂😂akaambiwa huwa anaamka late yaani 10😂😂anyhuu hii nayo imeweza

  • @MathewKaloki
    @MathewKaloki ปีที่แล้ว

    Comme tafadhali ni gift bed, i'm literaly sleeping on the flow🙏

  • @milkah_george5877
    @milkah_george5877 ปีที่แล้ว +3

    Apa ndio tunasemanga love wins coz ningekuacha apo niende sana

  • @AnnahNdile-oy5ie
    @AnnahNdile-oy5ie ปีที่แล้ว

    My favorite coupl ever...pls kindly give it to me that bed niache kulala kwa floor 😢😢😢

  • @lonanabulo2874
    @lonanabulo2874 ปีที่แล้ว

    Kuna kaukweli hapo,ukitaka mahari iende kwenyu please Wacha kulala 😅😅😅😅😅

  • @sistakeyu_de_criimsumayo7741
    @sistakeyu_de_criimsumayo7741 ปีที่แล้ว +1

    Where is she said nimekufanyia nn commentetor killed me😂😂😂😂

  • @cynthianafula3213
    @cynthianafula3213 ปีที่แล้ว

    Akii komee majibu yako yameenda shule 😂😂😂man

  • @sharyanachannel
    @sharyanachannel ปีที่แล้ว

    So shida ni kulala we ukijenga inchi😅😅😅😅😅😅

  • @ethooharleywillies8435
    @ethooharleywillies8435 ปีที่แล้ว +5

    Commentator there you go this is amazing 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gracewangari431
    @gracewangari431 2 หลายเดือนก่อน

    Ata kama bibi haongaangi hivyo Kwa bwana yake comme huyu show her tu repeat you

  • @phancykalumu9081
    @phancykalumu9081 ปีที่แล้ว +3

    Wakwitu this one izaa🤗🤗

  • @loveandfundaisy
    @loveandfundaisy ปีที่แล้ว

    Aki si unipee hiyo bed, aki nalala chini na mtoi wangu

  • @elandaboyz
    @elandaboyz ปีที่แล้ว +3

    Nipe Mimi hiyo bed , mi hudoz kwa floor

  • @lennah6009
    @lennah6009 ปีที่แล้ว +19

    Moreen anafaa akuwe na heshima,,,no need ya kugonga bwana Yako ,,,that being irrespectiful, since Ile siku atakuekelea you will tell no one,,,jifunze kujihumble na kuwa down,,,haifai bibi kugonga bwana,,,it's a prank but it may happen in real sense

    • @jacintamutula9660
      @jacintamutula9660 ปีที่แล้ว +1

      True

    • @Excuvation04
      @Excuvation04 ปีที่แล้ว +4

      Wuueh, respect is two way, bwana ama bibi, didn't you hear how he was talking to her?? Stop double standards 🚮

    • @leahgichira254
      @leahgichira254 ปีที่แล้ว +1

      ​@@Excuvation04 but hiyo kurusha tuvitu ndio hufanya madem wachapwe

    • @Excuvation04
      @Excuvation04 ปีที่แล้ว +1

      @@leahgichira254 no one has a right to beat you, know your worth

  • @vinicahmomanyi2764
    @vinicahmomanyi2764 ปีที่แล้ว +2

    Wwoiye comme 😅😅nilikahurumia kamoh ketu bt we coming for you team ngigi

  • @tabithawaithira
    @tabithawaithira ปีที่แล้ว +4

    Ety kazi ni kudoz,,,hujatufanyia poa team Moh...😄😭

  • @maureenmanyara510
    @maureenmanyara510 ปีที่แล้ว +5

    Enyewe the king is baaack with a hot one😂😂😂😂

  • @carolinemuchiku730
    @carolinemuchiku730 ปีที่แล้ว +1

    Comme we are coming for you,hiyo ilikuwa easy one though tumeumia kidogo,😂😂

  • @Jabuya
    @Jabuya ปีที่แล้ว +2

    Woooi 😂😂 team Moh nipitieni tufike 300 please,it's my birthday make me happy aki

  • @G.O.H.A.N
    @G.O.H.A.N ปีที่แล้ว

    aaahhh dj afro 🤣🤣🤣🤣tutakuskiza ama tutaskiza afro