Kazi nzurii sana mashallah jamani uyu kaka napenda sana mungu akubariki popote ulipo nipo ktk visiwa vya marashi ya karafuu pemba nikiwa nafuatilia tamthilia pendwaa ❤
Pushapu bila kazi mnatpaga majaribu jamn tunaowapenda tanaotaman tuishi nao Wala hawanaga hata mawazo maisha haya tunakuja kuishi na watu wasio WA ndoto zetu kabisa mwisho wasiku hisia zinakutesa mpka kufa unaambiwa pumzika kwa aman jamn
Move mzur Ila bado ombi langu nilile lile mzee matukio hua yanachelewa Sana sana yaan namaanisha sini moja hua inachukua mda Sana ilihali tukio linafanana
melisa we ni pisi kali na endelea kukaa kwenye msimamo wako si kila mwanaume tajiri anamapenzi ya kweli me pia nimevutiwa na upendo wetu ukiwa na uyo lasta man
asante sana kwa mapenzi yenu❤❤❤❤❤siku sio nyingi ntawaletea episode ya tatu
Twaingoja dear 🥰🥰
Tunasubiri
🔥🔥💪
Leta ya tatu kesho
Pamoja bro huu mfumo wa episodes umekaa poa sana kuliokua tunaenda nao mwanzo😊
Best actor in 🇹🇿🇹🇿Hemed chande. Kama unamkubali hemed chande like hapa❤❤
Tupo 🎉🎉🎉
Watching from Kenya 🇰🇪 wapi likes zangu
Mimi ndio wakwanza kuona part hii apa jmn naombeni like zenu, Emmanuel from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunatoka county moja
Safi sana bro @@Sundaymgandi
Kama we nishabiki wa move za chande nipe like zanguu🎉🎉❤
Nisaidie et movie ya jesca final ni ngapi
safi sana sana haucheleweshi vipande nimekukubali hemedy🤸🤸🤸🤸🤸
Kwa Mara yakwanza nami nimewah jaman..like zenu plzz
wao nilikuw naisubil sana jaman kazi nzur 🌹🌹🌹🌹
Mimi nimeipend san move hiyo ya Melisa hongera san hemed6 lam suzan from Kenya wakenya wenzany wapi like zanyu❤❤❤❤
Me wakwanza naombeni like zang
Sijachelewa leo chande forever ♥️
Team hemedy mpooo Masha'Allah Nakupenda sana😘😘😘😘kazi ipo 💥 Mungu azidi kukubariki Kakaa
Movie kali sana hii naomba like zenu
Nawapenda san mungu awafanyie wepesi w kz yenu awape maarifa kila kukicha
Nakubali sana hemedy unatoa movie nzuri kinyama❤❤❤❤😂😂😂😊😂😊😂😊😊😂😊😂😊😂😊😂😊😊😂😊🎉😊🎉😊🎉🎉🎉
Khaaaaaa 😂😂😂😂 watu mke gadoooo
😂😂
Amn vit vzr lzm tuwe ewan mda wote ???😅😅😅
Broo chande tunaomb upunguze mziki imekua mingi afu inachukua mda mlefu sana ✊🙏🙏
Bila mzik sasa movie haikai poa lazma inanogesha
Kwel mzki unasaut kubwa hii mov niyamapenz inatkiwa kasaut flan ivi kachin chin ingekuwa unyam San Ila mov kali🎉
Leo naombeni like zenu jaman 🇹🇿 🇹🇿
Wa. Kwanza 🎉🎉🎉
mim nakukubali san hemed anajuwa bro pambana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wa Kwanza ❤
First one waoo
Kama unamkuba hemed chande gonga like hapa
Kazi nzurii sana mashallah jamani uyu kaka napenda sana mungu akubariki popote ulipo nipo ktk visiwa vya marashi ya karafuu pemba nikiwa nafuatilia tamthilia pendwaa ❤
Mbona huwa mnachelewa kutoa vitu vikar kama hivi watu mnatuua na visukar vya subra
Hua nikikutana na boy kwa mara yakwanza akaniambia habri ya kujenga family hua najua kabisa amna good man here
Hii tamthilia nashindwa kabsa kuelewa itaoshiaj mwishoni,
Hongereni sanaaa maaana tamthilia zingne unajua tu hatima yake .
Mapenzi ❤❤❤❤❤❤❤
Woow nimeipenda sana naomba muondelelezo
Good job brother unajua sana me fan wako number one
Watching from🇰🇪🇸🇦
Nimewai leo wapi team chande❤❤❤
napenda kazi yako kaka upo vzr
Mimi wa mwisho🎉 🎉🎉 ila iyo nyimbo inaniacha hoi 🤗
Kaka nami nataman kuwa kama wew kaka pia naomba kuonana na wew nina mazungumzo binafsi kaka
Waaah karibu nichelewe ila nmewahi kidogo❤❤❤
Chande punguza mziki tafadhali unajiharibia mwenyewe
Kutoka oman kazi nzur🎉🎉
Kutoka Kenya na nilivyokuwa nasubiria sasa 😂❤❤❤
Nampenda chande kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mashaa Allah blessings blessings to you nawa penda sana
Asant kwa kazi nzuri fanya wema nenda zako 🇨🇩
Hongera sana kaka movie kali tupo pamoja
Oiiii nipo na Esther tuna waangalia kalii sanaaa🎉💐🙌🥂
Kitu kizuri hiki , tunasubiri sehemu ya tatu fasta 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wa kwanza jaman😂
Kazi nzuri sana Mr. Hemedy🇹🇿
sijachelewa leo..from kenya
Kaziri sana kweli yaani hemedy unajuwa mpaka unakera jamani 🤔🫦🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Wa pili leo
Sema nyimbo kali sana naweza kuipata
Unyama mwingi💯
Kitambo sana
Jamani filamu nzuri enye mafundisho bora,,,
Hongera kaka🎉🎉🎉❤❤❤
Kaz nzuri ongezeni dakika tafadhari
Sawaa kaka tunaisubirii
Napenda movie zako saana kaka🎉
Usichelewe sana kutoa kazi mpenziii😊😊😊😊
🇷🇼🇷🇼🇷🇼kazi nzuri
Safi sana pongezi broo
🥰🥰🥰 nmependa
Chande hongera sana Kwa Dua za mama uyo❤
Uko vizuri sana Hemed chande movie nzuri sana 🔥🥰
Shukran sana tamthiria nzur🎉🎉🎉
sema kwenye ichi kipande nawaogopa sana ma demu wa fupi!!! mamaaaa 😂😂😂
Kaka unajuwa ongeza dozi itukoleee❤❤❤
Good 👍👍👍 work hemedy
Allah akuongoze uzidi kutoa movie nzuri zaidi Dua zangu zipo na ww❤❤
ila kaka movie nyegine tafuta vidada vyenye sura nzur ujue wewe mzur sana Ina takiwa uwena mdafa unae endana nae😅
Jmn mbon mzur mdada
Napenda sna movie zko❤❤❤❤
Mwanangu hemedy chande 🎉🎉 nakukubali sana
From Mozambique 🇲🇿❤❤❤❤
Number 200 from Kenya nzuri sn❤❤❤❤
Yani una juwa kutu furahi sha❤
Melisa una mtesa mwenzio ujue hemed halalagi
Mmmmh pole sana najua unateseka sana kwa mapenzi kaka ila Mungu atakupa alie kwa ajili yako tupe mwendlezo 3
Pushapu bila kazi mnatpaga majaribu jamn tunaowapenda tanaotaman tuishi nao Wala hawanaga hata mawazo maisha haya tunakuja kuishi na watu wasio WA ndoto zetu kabisa mwisho wasiku hisia zinakutesa mpka kufa unaambiwa pumzika kwa aman jamn
Leo ngoja kabra sija angalia mov yeyote naanja na ya chande 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jitahidi brood Ili moves lenyewe😂
Apa ni vania kutoka mocambique🇲🇿🇲🇿 ❤❤Nakukubali sana hemed
Wa kwanza from kenya
Kwa Mara y kwanza nimewah uwiii like zwnu
Leo nimekaa na kuvizia melisa ep 3 kumbe bado🥹🥹❤❤❤ tuleteeni ep mbili mbili😂😂😂mov ni nzuri sana MashaAllah ❤❤❤❤❤
big up san chandeee we lov uuuu kaz nzur
Move mzur Ila bado ombi langu nilile lile mzee matukio hua yanachelewa Sana sana yaan namaanisha sini moja hua inachukua mda Sana ilihali tukio linafanana
melisa we ni pisi kali na endelea kukaa kwenye msimamo wako si kila mwanaume tajiri anamapenzi ya kweli me pia nimevutiwa na upendo wetu ukiwa na uyo lasta man
ASÀNTE PIA NASI TWAKUPENDA BURE❤❤❤❤ FROM KENYAN
Hemed upon vizur tatizo unachelewa
Am here❤❤❤
Hemedy kwenye mapenzi uwaupoivo kweli mana adiunakuwa unakera sasa 🤣😂😂🤣🤣😂
Movie inazid kupamba moto. @kenya 🇰🇪
Movie nzuri sana keep it up bro❤.. wa mwisho jaman wapi like zangu😊
Congratulations bro kwakutuletea part2 shukrani tunakupenda zaidi 🌹🌹 Mungu akutiye nguvu
Mauwa yenu jmn 🎉🎉🎉🎉
ONGERA SANA, RIVA TOKA 🇨🇩🇨🇩
Ola broo nakufatilia sana walai wewe ni mwamba kaka plz usituweke sana kwenye ep ya tatu mana utamu ndio umezidi🔥❤✌️
Mimi nahs ndo nilikuwa wa kwanza sema nilikimbilia kuangalia kwanza maana siyo kwa kuwa na hamu ya kuangalia huko
Yaani haoni unadevu kabisa dah , sa kumewaka brasa chande
Nangoja ep 3 kwa mpigo🇰🇪
Nakukubar sana hemedy❤❤❤❤
Ngoja nichukue mistari hapa nikatongoze kijana wa mtu na ule wake anikatae namloga