GLOBAL TV ONLINE - LIVE: Mtazame Eric Shigongo Akifundisha Mbinu za Kufanikiwa Kimaisha (PART 2)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • GLOBAL TV ONLINE - LIVE: Mtazame Eric Shigongo Akifundisha Mbinu za Kufanikiwa Kimaisha (PART 2)
    Ni mhamasishaji Eric Shigongo akifundisha mbinu za kufanikiwa kimaisha huku akielezea ni kwajinsi gani mtu anaweza kubadilisha matatizo anayoyapata kuwa fursa inayoweza kumpatia mafanikio makubwa katika maisha.
    Pia shigongo anazungumza ni kwajinsi gani matatizo yanaweza kumpata mtu na kumpa fikra mpya yakufanya mambo mengine mkubwa katika maisha bila kujali hali aliyonayo pia bila kujionea huruma.
    Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 47

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 3 ปีที่แล้ว

    Thanks my mentor

  • @shariffh.kisuda4789
    @shariffh.kisuda4789 ปีที่แล้ว

    Your so good brother

  • @conkerloseven5150
    @conkerloseven5150 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @lwivah
    @lwivah 7 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri kaka kwa hayo masomo yako,
    Hebu shuka mpaka mikoani mkuu!

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Asante san baba yetu shigongo mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Asante san kiongozi wetu kwa muongozo wako mwema kwetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @ivannamsuya154
    @ivannamsuya154 6 ปีที่แล้ว +1

    uko vizur kaka napenda sana unavyofundisha!!!!

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Asante san heliki shingongo kwa muongozo wako kwetu mwenyez MUNGU endelee kukuongoza vyema

  • @jerasndahiriwe7963
    @jerasndahiriwe7963 6 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi Kupitia mafundisho haya, Asante sana mungu akizidishie

  • @caroaisha2536
    @caroaisha2536 7 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka mungu Azidi kuku fungulia naukazidi kutu Elimisha Ilinasi Tufunguke maishani

  • @josephgatunzi1670
    @josephgatunzi1670 7 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Mkubwa jitaidi ukifika Mwanza umtembelee Dave

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @lamardizzo3745
    @lamardizzo3745 6 ปีที่แล้ว

    Thank you for the lesson....May God Bless

  • @nuhuelia4478
    @nuhuelia4478 7 ปีที่แล้ว +2

    Thax more

  • @dionisiabarnabas96
    @dionisiabarnabas96 5 ปีที่แล้ว

    Mwl nimekuelewa vzr mno nachukua hatua mara ,Mungu akukumbuke

  • @salehussi3650
    @salehussi3650 5 ปีที่แล้ว

    Thank you brother

  • @thelimitlessclass7909
    @thelimitlessclass7909 5 ปีที่แล้ว

    My coach
    Eric i accept you

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 7 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Eric nakukubali sana ktk masuala haya! niliwahi kuhudhuria ofisini kwako miaka ya nyuma, nikafuata ushauri ulionipa.!! hakika nilifanikiwa saaaana!! lakini baada ya hiyo kasi yangu kuonekana live!! Eric nilipigwa! jamani Kaka nimepigwa nikapigika!! nimepigwa haswa...mwisho nilihama jiji LA Dar, Niko Nairobi, najaribu kwa kuumia sana, nione nitatokaje tena kimaisha.

  • @damsonlusano499
    @damsonlusano499 ปีที่แล้ว

    kaka nimengi nimejifunza kupitia wew pia nimefanya mambo makubwa sana kupitia wewe

  • @godfreykaaya2344
    @godfreykaaya2344 7 ปีที่แล้ว

    endelea kutufundisha mazuri sana

  • @judithjason8159
    @judithjason8159 2 ปีที่แล้ว

    When I grow up I will to be educator in street University ,good help me (a,c,c)

  • @maggiemwambapa900
    @maggiemwambapa900 7 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana kaka maana kila nikusikilizapo naona akili yangu inakua love you much brother Mungu akupe miaka mingi ili tujifunze mengi zaidi

    • @superwomanmwenyeheri.1367
      @superwomanmwenyeheri.1367 7 ปีที่แล้ว +1

      Kaka Eric nakukubali sana ktk masuala haya! niliwahi kuhudhuria ofisini kwako miaka ya nyuma, nikafuata ushauri ulionipa.!! hakika nilifanikiwa saaaana!! lakini baada ya hiyo kasi yangu kuonekana live!! Eric nilipigwa! jamani Kaka nimepigwa nikapigika!! nimepigwa haswa...mwisho nilihama jiji LA Dar, Niko Nairobi, najaribu kwa kuumia sana, nione nitatokaje tena kimaisha.

    • @emanuelkizindo6286
      @emanuelkizindo6286 6 ปีที่แล้ว

      excellent!

  • @loanpautanimwashilindi2573
    @loanpautanimwashilindi2573 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka

  • @edisonmpangala8956
    @edisonmpangala8956 7 ปีที่แล้ว

    kaka ongera Hakka umenipata,keep it on

  • @zephaniamunyaga6902
    @zephaniamunyaga6902 5 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa mkuu kweli inawezekana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว

    Kweli baba

  • @bahatifabian2804
    @bahatifabian2804 6 ปีที่แล้ว

    Kaka.asilimi.85.nimefanikiwa.kpia.hamasa.zako.hasa.katka.istor.yamaisha.yako.maisha.nikama.yang.lakini.nimekuwa.nafata.sana.maneno.ubalikiwe.sana.hakika.nimebadil.maisha.yafamily.yang..

  • @aishaomary7384
    @aishaomary7384 5 ปีที่แล้ว

    Kwakweli bora kupoteza muda kuangalia Eric kuliko page ya mange nafaidi mengi humu nakujipa moyo wakuongeza juhudi

  • @heriethb.chanafi5644
    @heriethb.chanafi5644 7 ปีที่แล้ว

    Glory to God!

  • @sarahsarah4919
    @sarahsarah4919 6 ปีที่แล้ว

    Inawezekana. Asate. Kaka. Shigongo

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว

    Kweli Adam alijificha swali la kujiuliza ni ntatokaje take responsibility

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว

    Ntanyanyukaje

  • @magomamboyi35
    @magomamboyi35 7 ปีที่แล้ว

    yes

  • @januarypeter4655
    @januarypeter4655 7 ปีที่แล้ว +1

    mwalimu nko pamaja nawe ila naomba utoe mifano halisi ya mtu aliye filisika mtu anaye weza kutoa laki kwa siku kukodi gari huyo bado ana uwezo

    • @jumannekatalambula4302
      @jumannekatalambula4302 6 ปีที่แล้ว +2

      January Peter Kufilisika kunatofautiana kaka MTU mwenye milioni 150 akiwa na Milioni 2 Huyo kafulisika ila hawezi kukosa kukodi gari ya laki ila hawezi kumiliki gari ya miliini 10 sasa ataigiza kwa kukodi ili aonekane kama bado yupo vizuri.Kufilisika kunatofautiana kutokana na mtaji(utajiri) uliokuwa nao na lazima mtofautiane.

    • @andrewfamilyandrew2470
      @andrewfamilyandrew2470 5 ปีที่แล้ว

      unahisi alifilisika vipi? je, kama alikuwa anatumia Million 2 kwa siku harafu mwisho wa siku aanze kutumia laki 1. mfano Mo Dewji.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @genduseadam5815
    @genduseadam5815 5 ปีที่แล้ว

    poa

  • @loatalothi8784
    @loatalothi8784 7 ปีที่แล้ว

    HAPA LAZIMA TUTOKE TUU KAKA

  • @kibilawazebanga7455
    @kibilawazebanga7455 6 ปีที่แล้ว

    Hadithi za shigongo bwana, km za Abunuasi, nonsense tupu

    • @kibilawazebanga7455
      @kibilawazebanga7455 6 ปีที่แล้ว

      Hamna ulihujumu fedha za ccm kwa kuchapisha tshirt na kofia kwa gharama ya kununulia gari

    • @habeshaqameyu8555
      @habeshaqameyu8555 3 ปีที่แล้ว

      @@andrewfamilyandrew2470 si kosa lako ni uwezo wako

    • @georgemuflish7298
      @georgemuflish7298 3 ปีที่แล้ว

      Shigogo nimekufatilia Toka 2019mpaka Sasa na kampuni mbili bigerup bro

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana