MR PIMBI KAMTETEA DIAMOND UGOMVI WAKE NA WILLY POUL UTAPENDA WAKENYA WALIVYO CHUKIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @FannySubira
    @FannySubira 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mr pimbi unaongeya point, una akili sana, unaelewa maisha Duniani ndo hivo navidole havilingani inabidi mtu kujitambuwa

  • @kitururuelisa830
    @kitururuelisa830 3 วันที่ผ่านมา +5

    Yesu ninyandue,😂😂😂😅😅 Yesu ninyandue 😂😂😂😂😂😂😂

  • @EbengoMmunga
    @EbengoMmunga 3 วันที่ผ่านมา +5

    Hapo mnapo Sema ugonvi wa willy na diamond mnaaribu sana. Diamond si levo yake

  • @TerahBarasa
    @TerahBarasa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwaio mr Bimpi maswali hayo ni ya ujinga tena upusi😊😮

  • @shemmoseti5467
    @shemmoseti5467 2 วันที่ผ่านมา +1

    You guys need to know Kenya is the biggest consumer for Tanzania music,so this guys needs to find common ground and work together instead of fighting each other,Tanzania and Kenya we are brothers and sisters work together guys.

  • @BonfaceCharles-n8h
    @BonfaceCharles-n8h วันที่ผ่านมา +1

    Umeongea point sana

  • @abdallah-gv2sk
    @abdallah-gv2sk 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hichi kichwa nikizito kinazugumza maneno ya uhakika anafikiria akizungumza sio kama mwijaku na babalevo kenya guy here

  • @jimmywilliamkahindi355
    @jimmywilliamkahindi355 4 วันที่ผ่านมา +7

    Sasa musik wa bongo uko maana gan sisi tutasikiza musik wetu na reggae bc..

    • @DullyTz-z4w
      @DullyTz-z4w 3 วันที่ผ่านมา +2

      Acha chuki wew. Mziki wetu umepenya kimataifa. Ata usiposkilza wew wataskilza uganda. Rwanda. Burundi. Mpaka south Africa Nigeria. Kenya ndio wapiiii

    • @NelsonJackson-z7r
      @NelsonJackson-z7r 3 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo ndio mtatoboa kimataifa, km mnalia mnaitaj wasanii wenu watoboa kimataifa ndio kwastail hii?

    • @AbedakonkwaBisimwa
      @AbedakonkwaBisimwa 2 วันที่ผ่านมา

      Na Congo mon frère ​@@DullyTz-z4w

    • @nakalikyumile3234
      @nakalikyumile3234 2 วันที่ผ่านมา

      Sasa nani anawataka?tanzania ni taifa kubwa lenye watu wengi,muziki wetu unauzika hukuhuku kwetu tanzania hatutegemei soko la kenya wajinga nyie ikibidi kila mtu abaki kwao,msije tanzania nasi tusije kwenu

    • @DanifordLupilya
      @DanifordLupilya 2 วันที่ผ่านมา

      Fanya kazi nzuri utapendwa ila drama haina maana

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kama mr. Pimbi ako na uzalendo kumkingia diamond kosa liko wapi eric omondi kumkingia willy poul kwa ajili ya uzalendo.

  • @lynnedarling1135
    @lynnedarling1135 3 วันที่ผ่านมา +1

    It's about RESPECT here in kenya.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 วันที่ผ่านมา

      Respect is earned you fool! Jiheshimuni Kwanza! Paul angejuheshimu Kwanza! U should be blaming Ur organisers n that fool Paul! Tanzanian music uko juu, like it or not! Wabongo hata miziki yenu hatuijui! Ila Wakenya, miziki ya bongo mnaimba Ka Baba yetu uliye mbinguni!

  • @komboismail7056
    @komboismail7056 3 วันที่ผ่านมา

    Point safi sana bro,, umeongea kitu ambacho kinatakiwa kifanyiwe kazi immediately lakini kwa muelewa 👍🏾👍🏾👍🏾

  • @ngagishow2614
    @ngagishow2614 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pimbi nimukweli kbsa.nyinyi wakenya munapashwa kutambua kwamba muziki wakibongo ukoju zaidi kuliko uyo wakwenu kenya.ulimwengu muzima unafahamu kwamba Simba Diamond yukojuzaidi kuliko uyo willy poul

  • @ExcitedKite-jw9db
    @ExcitedKite-jw9db 3 วันที่ผ่านมา

    Mm nlidhani watu wafupi wanamaono kumbe ndo wengine tu😢😢

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 วันที่ผ่านมา +3

    Wa kenya wanaroho mbaya sana

  • @Benardmutuku01kenya
    @Benardmutuku01kenya 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unazaa watoto kisha baadaye unawapa nafasi willy pia ana makosa a process need in every step

  • @Bahatnyo
    @Bahatnyo 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂 hi

  • @HONGERAMLIGO-h3w
    @HONGERAMLIGO-h3w วันที่ผ่านมา

    Apa ndo utaskia Ways of remaining back or delaying back

  • @SinataTialla
    @SinataTialla 2 วันที่ผ่านมา

    Can you tell kanono aka mafuta to answer those questions in English

  • @attentivegal5258
    @attentivegal5258 3 วันที่ผ่านมา +1

    Pimbi Mwanaume mfupi kama bata nenda upande ngazi uonekane

  • @comm611
    @comm611 3 วันที่ผ่านมา +1

    pimbi uko sai

  • @vusumuzi_mathumo
    @vusumuzi_mathumo 3 วันที่ผ่านมา +4

    Tanzania 🇹🇿 dont know english kkkkk 😂😂😅😅

    • @AllySule-t9g
      @AllySule-t9g 3 วันที่ผ่านมา +1

      Nyinyi mnajua kwasababu Nyinyi niwajinga mnajisifia lugha zamajizi waliotuuwa nakutunyanyasa miaka320 kenya mukitaka kuuwa ukabila muache huo ukuma wakuongea kiengereza ila tatizo kubwa lawakenya mnashida ya uapodomia/unyani mnajisifia lugha ambayo %45 tu nchi mzima ndio wanaelewa bungeni kiengereza wengine hawajui kimeongewa nini Nyinyi ndio shida ya east Africa

    • @AllySule-t9g
      @AllySule-t9g 3 วันที่ผ่านมา

      Mjomba shida kubwa lawakenya kutouweza kuuwa ukabila nikutumia englisch amkeni wajomba englisch ni lugha tu kama ilivyo kiswahili or kijaluo n.k kwanza mna %45 tu kenya mzima wanaongea kiengereza wengine nizaidi ya watz kwani wanaongea tu lugha zao zakikabila Uganda wameshituka serekali yao imewekeza billion 4 kukuza kiswahili Nyinyi kazi yenu kujisifia englisch ambayo watu wake wanatubagua na kutuita manyani kila uchwao

    • @AnZam-gz9nd
      @AnZam-gz9nd 2 วันที่ผ่านมา

      What are you talking bullshirt!! English sio luga yenu acheni shobo na luga za watu

  • @MaeJackline-nm3eg
    @MaeJackline-nm3eg 3 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa mond nimkubwa kwanini abadilishe ratiba sasa

    • @jeniferemmanuel4251
      @jeniferemmanuel4251 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni organisers wewe hutumii akil ..skiliza interviews kubwa wacha hate na hujui kinachoendelea

  • @edsonndyetabula6621
    @edsonndyetabula6621 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji unajishusha hadhi Diamond alishuka steji ipi wakati ata kwenye gari akushuka?

  • @frankfutakamba6336
    @frankfutakamba6336 วันที่ผ่านมา

    Huyo msanii pool siyo levo ya Diamond hivyo tuache kumjadili yeye ila hiyo kazi tuwaachie walioandaa hilo onesho

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w 3 วันที่ผ่านมา

    Willy Paul. Anachuki kama Mnakumbuka Alianza kiki kwa Mboso haikufanikiwa. Kaja kwa Ally kiba Hakufanikiwa. Mpaka kiba akafuta alban yao TH-cam. Kaja kwa Diamond sasa. Willy kiki zinaisha wiki mbili tu. Ingia studio leta mziki mzur

  • @josephheho4706
    @josephheho4706 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    "You criticize us, yet we’re the ones fueling your success. Kenyan fans have made you who you are, pouring money into your music and shows. And now, you dare to bite the hand that feeds you? If Kenya wasn’t important, why do you keep coming back for shows? You mock us for ‘not having money,’ yet you line up to perform here because we are the backbone of your success. Let it be known-Diamond will be the last Tanzanian artist to receive such treatment from us. Respect Kenya, or stay out. Kenya: The Stage You Can’t Ignore!"

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 วันที่ผ่านมา

    I keep on reading comments that Tanzanians should speak in English. My suggestion to kenyans is that we should stop worshiping the language of our former colonial master. Let us be proud of our own languages.

  • @DaviaLeroi
    @DaviaLeroi 3 วันที่ผ่านมา

    Eti ni mbingu na aridhi

  • @gigimarco2592
    @gigimarco2592 2 วันที่ผ่านมา

    Pimbi haujijui wewe uko wapi.Willy Paul Music wake uko poa pia kisha sana na wakena wanamkubali.Diamond amefanya makosa coz kila mtu alikua na time yake ya kuingia stage.

  • @Niika870
    @Niika870 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wakenya wanatuonea Wivuu sana

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂yesu ninyandue wajinga sana hawajui kuimba wanareta makasiriko

  • @olojos
    @olojos 3 วันที่ผ่านมา

    Kwani mnakosa watu wa kuoji mpaka mnaoji watoto

  • @peterlorts5549
    @peterlorts5549 3 วันที่ผ่านมา

    ambia kanono aende mjengo kwanza,foreman anasema ameacha simiti na inakauka

    • @SinataTialla
      @SinataTialla 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂pull up😅

  • @daniellukorito
    @daniellukorito 3 วันที่ผ่านมา

    Aliyeleta vurugu ni nani?kulingana na timetable willpaul alikuwa aanze then diamond.Tanzania juu ya ujinga wenu hamjui sababu ni nini?

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 วันที่ผ่านมา

    Wakenya muziki hawawezi,ndio maana wanaomba yesu awanyandue,majinga sana hayo

  • @saidjelani1566
    @saidjelani1566 3 วันที่ผ่านมา

    Unajua nini maana ya pimbi ni fala ukiitwa pimbi ni mtu huna maana

    • @NuruAmina-h1q
      @NuruAmina-h1q 2 วันที่ผ่านมา

      Hongera ww mwenye maana basi umba hata ccmizi tuone acheni kejer wa Kenya roho mbaya mmezid

  • @Tikinatti
    @Tikinatti 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tuna unsubscribe. Za diamond juu ya kuleta fujo

    • @RachelKavenga
      @RachelKavenga 3 วันที่ผ่านมา

      Toa tuona ww bwege

    • @ukurasawangu
      @ukurasawangu 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aliyefanya fujo n nani nyie mlimuona diamond hapo chini zaidi y huyo kenge wenu msanii mkubwa alazimishi kupafom ndo maana mond aliondoka

  • @chrisandusomulayi9764
    @chrisandusomulayi9764 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unauliza pimbi maswali ya kijinga ww utazuia aje mziki wa kenya

    • @mpallaupdates
      @mpallaupdates  3 วันที่ผ่านมา

      Njo tukupe Ajila Ulize Maswali unayo taka ww

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mr. Pimbi kwa hili la diamond na willy poul huna facts yoyote hapa umeamua uzalendo wala sio facts, wewe ni mtanzania kwahio kusimama na diamond hilo hatukulaumu lkn ukweli utabakia pale pale willy poul he was fighting for his right as to the program kama ilivyo pangwa na kama unafikiria willy poul ni mdogo tanzania ujue kwa kenya willy poul ni bonge la msanii kuliko diamond na kitu ulicho sahau ni wakenya ni wazalendo hata kwenye kitu kidogo juu ya kikubwa na kaa ukijua willy poul has nothing to loose in tanzania but diamond if he will loose 50% fance in kenya he will never regain any where in the world take this in to your account.

  • @didaAli-p9w
    @didaAli-p9w 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe pimbi huna lolote ww Acha kutafuta Kiki ww mwenyew hujui kitu chochote mbwa wewe

  • @brianwajuma
    @brianwajuma 3 วันที่ผ่านมา

    Don't be stupid Diamond sasa alitaka arep wanaume wagani kenya then sasa zile bongi zake izo hazina maana kabisa ..
    Sasa hivi uliponea kabisa wewe