ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
This album was one of the best ever. 3:12
Kazi nzuri mnoo
Nazipenda nyimbo zenu za hapo awali mbarikiwe
Upload nyimbo zote za album ya nga'nga'nia
Amina mpendwa wetu zinakuja soon tu
This is the best choir , nyimbo kama bwana tikiza nguvu za mwovu , na Ile ya yesu kamuuliza Petro je wanipenda , upload tu please
@@aicshinyangachoirofficialp3482 Hii album kuna nyimbo sipati. Kama maajabu ya Mungu. Please upload
Mmekawia sana kutoa nyimbo mpya
Utakatifu wake uko na sisi sote.
Nilimpenda Sana huyo dada,may her soul rest in peace.
keshafarki kwani
@@ibrahimugilya7519 Yes she's no more. May she RIP
Ghaiii. oh No😭😭😭😭😭
@@ibrahimugilya7519 alifariki lini?
@@dennisndambuki7168 2019
Hadi nimelia na uchungu maana ni the best ktk kila sekta. Nikisiliza ujumbe, sauti, gitaa zote, kinanda, waimbaji na slolist hasa nikikumbuka kuwa hayupo duniani baasi
Inauma Sanaa 😭
kwani alifariki lini😭😭💔💔💔
@@AdonisSifa nasikia 2019. Yaaani da!
@@alexjohn7361 duuh!!ndo najua leo nyiee 😢😢😢💔
Waibaji wangu nawapenda zaidi
Amina mpendwa wetu
Dah pendo😢