AMEEEN HALLELUJAH AMEEEN MUNGU NI MWEMA WAAMBIE WASIKIE ASANDE KWA KUSEMA UKWELI MSEMA UKWELI NI MPWNZI WA MWENYEZI MUNGU YESU KRISTO AWASAMEHE AWABATILISHE WAMRUTIE WAMCHUE KWA ROHO NA KWELI MAANA YEYE NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA KILA JIMMY BARIKIWA SANA TENA SANA SHALOM
Yaan huyu Mafufu kamaliza kila kitu. Hakika mambo ya rohoni yajadiliwe kiroho. Changamoto wanafiki ni wengi na hawajui patano la Goodluck na Mungu wake. Mungu akubariki sana Mafufu.
Mjomba Lusajo wewe ni mtu wa maana sana! Ufunuo wako wa Rohomtakatifu ni mpana sana. Mwenye amesikiliza kwa sikio la RohoMtakatifu amesikia na kuelewa. Wanyakyusa ninyi ni watu wa maana sana🔥🔥🔥📌
FROM KENYA,.. I SUPPORT YOU BRO THAT OUR WARFARE IS NOT AGAINST THE FLESH EN BLOOD .,.... MUNGU HAKUBARIKI..... .....watu wa mungu wanapotea kwa kukosa kuwa na maarifa.. lack of knowledge.... , .....wacheni kumpigia debe NABII.. ,sio chote kinzuri kinatoka kwa mungu wala kinampendeza mungu. .....mungu nahawaumbie macho ya rohoni Mungu amenena na mwanae GOODLUCK ..,SIO SISI TUMEONGELESHWA. .......all is VANITY. .. WHAT YOU HAVE IS VANITY. WE WILL GO BACK TO OUR MAKER THE WAY WE CAME
Hii mbegu iliyopandwa kwako (Paradise Choir) nimeiona keep it up my Comrade, hakika mabo ya rohoni huwezi kuyatafsiri kimwili, watu wanajali sana pesa na mali kuliko Mungu ndo maana hii imewasumbua sana. Tuendelee kuomba kwa Ajiri ya waimbaji wote washing ie kwenye changamoto hizi.
Asante mwanangu Mwenyezi Mungu azidishe karama ndani yako umetoa somo zuri sana,ila asomae na asikia smbyo Roho ayaambia Makanisa Mahali pengine maandiko yanatueleza kwamba,watakuwa na macho wasione,watakuwa na masikio wasisikie kumbatia talanta yako mwanangu BWANA MUNGU AKUINUE ZAIDI kwa ajili ya wanaotaka kuelimishwa Kwenye Tenzi za rohoni, Kuna wimbo unaosema Ajisikiaye hali yoyote,asikae kimya,haje haraka hili nalingazwe wajue wote, Atskae na aje!!
Amina! Najikuta kuhubiriwa Mtumishi wa Mungu ! Najuwa siyo wewe ambaye unaongea bali ni Roho wa Mungu ambaye iko ndani yako ndiye anasema ndani yako ili nasisi tupate kulishwa rohoni! Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Na hiyo ndio shida pengine mungu hajamwambia afungue. Mumependa sana hii mambo sounding nice doesn't mean u hav to start a church this is how u people get scammed. Mungu akimwambia atafanya
Leo umeongea vizuri kaka Mafufu maana wachungaji aina ya akina Masanja wamekuwa .ashabiki wa swala hili.Lakini wa wachokonozi wanamkashfu mungu kila siku tunaona mtandaoni lakini wachungaji wanao mtetea Mungu kwa kusema wazi na kupambana na hao wachokonozi ni Mbarikiwa, Katekela na Pascal kasian
Kaka asante sana,Leo umenisaidia sana , ubarikiwe sana, wewe ni nani? Umpinge asichome gari? Nimeipendaaa, maana ni mungu tu mwenye majibu ya kila mmoja. Ameeni.
1 Corinthians | English 14:2 For anyone who speaks in a tongue does not speak to men but to God. Indeed, no one understands him; he utters mysteries with his spirit.
Mafufu ww ni mtu na nusu mambo ya kiroho hawayajui coz roho mtakatifu hayuko ndan yao na hawaelw about roho mtakatifu ukiokoka na ukawa mtu wa Mungu utajua mambo ya kiroho
Malafyale hakika umeongea vzr na nimekuelewa sana mambo ya kiroho utatuliwa rohoni na ndiyo majibu sahihi,mwenye kusikia na asikie ushauri wa Mtumishi Mafufu
Bibilia watanzania kristo alisema,mtathmini Kila roho ilikujua kama ni roho wake,nyinyi mwadhani ni gari,yaweza kua ni mlango wa kuzimuni,mwenzeno kafunuliwa,msikilize anavyosema,bila kumuhukumu, waifeso5:11
From Kenya,brother you are right,mambo ya kiroho acheni kiki watanzania,I salute my brother GOODLUCK,
AMEEEN HALLELUJAH AMEEEN MUNGU NI MWEMA WAAMBIE WASIKIE ASANDE KWA KUSEMA UKWELI MSEMA UKWELI NI MPWNZI WA MWENYEZI MUNGU YESU KRISTO AWASAMEHE AWABATILISHE WAMRUTIE WAMCHUE KWA ROHO NA KWELI MAANA YEYE NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA KILA JIMMY BARIKIWA SANA TENA SANA SHALOM
Mafuvu mafuvu mafuvu daa kumbe una roho ya Mungu kiasi hiki!!!God bless you
Ametoka kwenye familia ya kichungaji kabisa.
Yaani kaka umeongea mpaka Raha mungu akubariki kwakumtia moyo na kuwa mkweli jamani
Mjomba Lusajo ni mmoja tu❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 yan katk yote hunaga mzaa kwa mambo ya Mungu
Watu wengi wanaendeshwa na tamaa ndio maana wanamuona goodluck kama mjinga mm n Muslim na nimemuelewa vizur kabisa... Allah atupe macho ya rohon
@@GiftAbduly Hiz ni battor za kiroho. Mtu ukiiangalia kwa macho ya kawaida huwezi kupata majibu
Yaan huyu Mafufu kamaliza kila kitu. Hakika mambo ya rohoni yajadiliwe kiroho.
Changamoto wanafiki ni wengi na hawajui patano la Goodluck na Mungu wake.
Mungu akubariki sana Mafufu.
Good luck Hana Mungu hata chembe
Basi angechoma na zile pesa ingependeza.hawa watumishi waliobarikiwa sana na Mungu wana vita kubwa sana
Watanzania hawana lolote lakini wivu wa kijinga na uchawi wanao
Vitajulikana kaka.hapa hapa duniani
Hakukua na nguvu inayopita hiyo nyota yake hopeless.hatuwezi kupoteza magoti kwaajili ya maskini alieuzoea umaskini wake.ni maskini hadi ameuzoea
Mafufu umeongea pointe sana safi mwanangu
Mjomba Lusajo uko vizuri sana sana Mungu akulinde
Neno kubwa Saana Mtumishi. Ubarikiwe
Asante Jimmy Mungu akubariki, maneno yenye uzima mbele za jamii, Mungu akubarikie tena sana sana
Nakufuatilia sana kaka yangu mwaisa hunabaya umeongea kaka kweli kabisa
Mungu akubariki, tuendelee kumuombea kijana wetu,
Wewe ni mtumishi wa kweli kweli mungu azidi kukupa hekima akuongezee baraka zake
Makubwa.. kumbe UNCLE wa Mwanjelwa ni mtumishi mzuri wa Mungu.. Mungu akubariki mtumishi
Kaka yangu ume ongeya ukweli ❤
Mjomba Lusajo wewe ni mtu wa maana sana!
Ufunuo wako wa Rohomtakatifu ni mpana sana. Mwenye amesikiliza kwa sikio la RohoMtakatifu amesikia na kuelewa.
Wanyakyusa ninyi ni watu wa maana sana🔥🔥🔥📌
FROM KENYA,.. I SUPPORT YOU BRO THAT OUR WARFARE IS NOT AGAINST THE FLESH EN BLOOD .,....
MUNGU HAKUBARIKI.....
.....watu wa mungu wanapotea kwa kukosa kuwa na maarifa.. lack of knowledge.... ,
.....wacheni kumpigia debe NABII.. ,sio chote kinzuri kinatoka kwa mungu wala kinampendeza mungu.
.....mungu nahawaumbie macho ya rohoni
Mungu amenena na mwanae GOODLUCK ..,SIO SISI TUMEONGELESHWA.
.......all is VANITY. .. WHAT YOU HAVE IS VANITY. WE WILL GO BACK TO OUR MAKER THE WAY WE CAME
Umeongea kwa ROHO MTAKATIFU sana jimmy
Safi sana Kaka umeongea kitu true kbs
Uko vizuri mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana
Mtumishi barikiw sana,nadhan wakuelew wameelew
Asante sanaa kaka, ubarikiwe saana saaana Umetishaaaa
Big up my bro well said and be blessed 🙏💪
Amen Kakaangu wao wanaona Mungu ni wa maeneno pasipo rohon
Hii mbegu iliyopandwa kwako (Paradise Choir) nimeiona keep it up my Comrade, hakika mabo ya rohoni huwezi kuyatafsiri kimwili, watu wanajali sana pesa na mali kuliko Mungu ndo maana hii imewasumbua sana. Tuendelee kuomba kwa Ajiri ya waimbaji wote washing ie kwenye changamoto hizi.
Umesema vyema,Mambo ya rohoni utafsiriwa kiroho🙏
Wow wow my brother,umeongea na hekima kubwa sana,more grace to you
Duh Mafufu leo umeongea mpaka mwili umesisimka Mungu akubariki sana
Brother, nakuonaga mkorofi sana lakini kwa hapa umeongea ukweli mtupu ukweli mtupu inabidi tukupe Udaktari wa Heshima
Asante mwanangu Mwenyezi Mungu azidishe karama ndani yako umetoa somo zuri sana,ila asomae na asikia smbyo Roho ayaambia Makanisa
Mahali pengine maandiko yanatueleza kwamba,watakuwa na macho wasione,watakuwa na masikio wasisikie kumbatia talanta yako mwanangu BWANA MUNGU AKUINUE ZAIDI kwa ajili ya wanaotaka kuelimishwa
Kwenye Tenzi za rohoni,
Kuna wimbo unaosema
Ajisikiaye hali yoyote,asikae kimya,haje haraka hili nalingazwe wajue wote,
Atskae na aje!!
Yesss Ni kwel kabisa Jomba MAFUFU Umeongea points sana
Christina Shusho Yuko wapi?sialishasemaga wawe wanasimama na watu wao.Brother Mungu akubariki sana kwa kusimama na Goodluck
Shusho na mpenda sana lakini hapa humpati. Ye mwenyewe has been gifted by that person so she will stay out
Nikweri hayo nimambo ya rohoni sio ya mwilini kumjua kumjua Mungu na mambo ya rohoni nimambo mawili tofauti
Bravo Jimmy, you’ve spoken real heavenly sensible material, true wisdom God bless you sir🙏🏾
Asante sana kaka umeiweka sawa ii
Imani ni bayana ya mambo yasio onekana wengi hawatamuelewa Goodluck
Aminaa Aminaa Aminaa umenena vyema Mungu akubariki kaka
Na wanyamaze katika jina la YESU.
Big up brother nimekuelewa sana umeongea point kubwa sana
Thank you my brother well said
Dahh!! Upo vizuri zaidi ya wachungaji
Kaka salute sana kwako umeongea vema sana watu wengi wanalichukulia kimwili na macho ya nyama
Wamwilini hawawezi kumuelewa Godluck mtumishi umenena kweri heti sikila sadaka Mungu anaikubari kisa imetoka kwa nabii
Mwijagu hanaga akiri waende kweri hakawape magari wamuache goodluck na Mungu hawajui mambo ya kiroho kabisa
Ni njaa inasumbua watu Hadi wanaoamini heri kukiri uongo ndipo waendelee kulishwa tu bila kufanya kazi,,
🎉🎉🎉🎉 upo vizuri kaka yangu imani kitu tofauti sana wanatukana tu awajui alichopitia huyo kijana
Star pekee mwenye mungu wa kwel rohoni . Nakuonaga hovy bro kumbe upo vizur sn hongera
Mungu akubariki saaaaana unaongeya kama mtoto wa Mungu ❤❤❤❤
Ase mungu akubaliki sana umeogeya vizur sana tena sana mungu akubaliki sana
Umeongea vizuri sana kaka Mungu akubariki
Umemaliza MUNGU akubariki sanaa
Amen amen ahsante sana Mungu akutunze
Amina! Najikuta kuhubiriwa Mtumishi wa Mungu ! Najuwa siyo wewe ambaye unaongea bali ni Roho wa Mungu ambaye iko ndani yako ndiye anasema ndani yako ili nasisi tupate kulishwa rohoni! Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Wengi wao wanapendaaa kiki nakumpamba uyo mbaba ili wapate saraly
Jimmy kwanini usifungue kanisa baba uko vizuri mno na umeongea ukweli mtupu
Mafufu ni Mchungaji, ila sijui ni wakanisa gani
Na hiyo ndio shida pengine mungu hajamwambia afungue. Mumependa sana hii mambo sounding nice doesn't mean u hav to start a church this is how u people get scammed. Mungu akimwambia atafanya
Serikali ni vyema waanze kwanza kumchunguza hiyo nabii mkuu anazipata wapi hizo hela anazogawa pengine ni mwizi mkubwa
Wanaazaje juzi tu katoa gari za police wakati wa Mungu umefika vingi vitawekwa nuruni
Ameen, wote hao wanaompinga nimashetani
Ukwel Mamb ya rohon huwez yatambua
Mpak usemeshe na mungu mwenyew
Big up bro familia ya gaboo kutok jua kali sijawahi kukupingaaaa❤❤❤❤❤
Na download kabisa hii, nimahubir tosha ya mwaka
Yesss Ni kwel kabisa 💯
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mambo yaroho nimangomu sana
Mafufu mbona uko vizur nimekuelewa kaka God bless you
Leo umeongea vizuri kaka Mafufu maana wachungaji aina ya akina Masanja wamekuwa .ashabiki wa swala hili.Lakini wa wachokonozi wanamkashfu mungu kila siku tunaona mtandaoni lakini wachungaji wanao mtetea Mungu kwa kusema wazi na kupambana na hao wachokonozi ni Mbarikiwa, Katekela na Pascal kasian
Kaka asante sana,Leo umenisaidia sana , ubarikiwe sana, wewe ni nani? Umpinge asichome gari? Nimeipendaaa, maana ni mungu tu mwenye majibu ya kila mmoja. Ameeni.
Hakika mtumishi wa Mungu umenena,japo ni vigumu kwa watu waliogizani kulielewa swala la kiroho ni la rohoni kwa mhusika na Mungu wake
1 Corinthians |
English
14:2 For anyone who speaks in a tongue does not speak to men but to God. Indeed, no one understands him; he utters mysteries with his spirit.
Amen kabisa baba yangu❤
Mungu akubariki sana kaka ,watu wanamatanio sana ya kimwili wanaingilia mpaka ya rohoni.Ameen
Hallelujah unanifunza kitu kikubwa
Sikuwahi kufikilia kama unahekima ya kimungu namna hii kaka ww ni mtumishi kwelkwel wa mungu ni yanga tu inakuchanganyaga
Mafufu ww ni mtu na nusu mambo ya kiroho hawayajui coz roho mtakatifu hayuko ndan yao na hawaelw about roho mtakatifu ukiokoka na ukawa mtu wa Mungu utajua mambo ya kiroho
Wanachotafta ni kumkosanisha gozbert na nabii mkuu,,, nakupenda sana kaka Jimmy
Jimmy naomba uwe Aposto kanisa kabisa na Mungu kwakua anawajua walio wake hatakuacha kabisa saut Yako imejaa mamlaka ya kimbingu kabisa ooooh God
Mungu na akuinulie uso wake katika siku ya dhiki yako
Nakuelewa sana mafufu sana sana sana sanaaaaàa
Amina mtumishi ubarikiwe sana
Asante sana kaka, hapo ndipo utajua elimi ya kiroho ni mhimu sana kwakila binadamu yeyote. Ameeni.
Ndio kaka hapo umenena vizur sana heri mtu mwenye anasema ukweli but sio ule anajipendeza Kwa watu mungu akuongezea kaka
Barikiwa sana mafufu
Mambo ya rohoni hayo watu hawaelewi
Mungu akufanyie wepesi brother Kila hatua upigayo
Mungu akubariki mafufu. Uko rohoni kweli kweli
Safi sana mtumishi wa Mungu
Mungu azidi kukutunza,umeongea kwa kuhubiri tena kwa uchungu sana ,hakika mambo ya rohoni sio ya kimwili
Balikiwa sana mtumishi wa mungu,wachawi wanyamazish kabisa
Safiiii❤❤❤❤❤❤❤❤
Amenii mtumishi wa Mungu
Yan nijua ww ni mwigizaji tu kumbe ni mtumishi wa Mungu mkwabw ivi....Mungu akubarki san....nakuon mbal san broo
Daa kaka kuna kitu umenifundisha kitu kikubwa sana ubarikiwe broo
Hongera Hongera Hongera sana barikiwa mtumishi wa mungu
👏👏👏👏👏👏mungu aendelee kukuweka daima kaka
Malafyale hakika umeongea vzr na nimekuelewa sana mambo ya kiroho utatuliwa rohoni na ndiyo majibu sahihi,mwenye kusikia na asikie ushauri wa Mtumishi Mafufu
Hakika BWANA akubariki sana mtumishi ila Watanzania niwasemaji wazurisana kuparamia paramia vituambavyo aviwahusu mtumishi ubarikiwesana nani asipende garinzuri waomba omba acheni unafiki nakujifanya aliepeana gari mnapendasaaaana hapana acheni kiherehere.
Amina mtumishi wa mungu nilisubiri useme neno ili wanaoropoka wapone
Bibilia watanzania kristo alisema,mtathmini Kila roho ilikujua kama ni roho wake,nyinyi mwadhani ni gari,yaweza kua ni mlango wa kuzimuni,mwenzeno kafunuliwa,msikilize anavyosema,bila kumuhukumu, waifeso5:11
Mafufu ubarikiwe sana mtu wa Mungu awa wapumbavu wote wanaomshambulia good luck wakae kimya wafate yao
😂😂😂
Barikiwa mno broh
Hongela sana mungu akubaliki baba🤗🤗🤗😍😍😍😍
Mungu akuweke sana
Nimekuelewa sanaaaaaaaaaa
Ubarikiwe sana .
Jimmy nimekuelewa. Mungu azidi kukutunza
Umeongea vema sana
Amina ubarikiwe sana