Maalim Seif awatembelea wagonjwa kisiwani Unguja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 120

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 4 ปีที่แล้ว +11

    Huyu maalim seif ni kiongozi wa ajabu sana Allah amlipe kila la kheri na amuepushie kila la shari, hii ni neema kutoka kwa Allah tunapaswa tuilinde kiukweli kila la kheri mpendwa wetu ktk majukumu yako Insha Allah.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Sana mhe.Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar....

  • @bibazanzibariyyah5043
    @bibazanzibariyyah5043 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah kamasoud umemalizika wt Allah akuafu ya rabb urudi km zaman Allah amuhifadhi maalim seif. Huyu ndie kiongozi wetu InshaAllah

  • @mohammedsalummohammed4357
    @mohammedsalummohammed4357 4 ปีที่แล้ว +4

    Huezi kumfananiza maalim namagu maalim hili jambo lakutembelea wagonjwa Mimi nakumbuka maalim kabla ziara yakikazi yachama huanza hau anatembelea wagonjwa na pia nawafahamu wagonjwa ambao maalim kawatembelea na kupitia maalim wamepelekwa matibabu India wamerudi wakiwa wako fresh lakini binaadamu waliowengi hawana kawaida yaona jema huona mabayatu maalim alla atakulipa kwa juhudi yako amin

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว +10

    Mim nikimuangalia maalim tu nalia maskin ameshakua mbovu Allah akupe sihha Maalim Akuepushe na kila baya inshaallah pepo iwe mafikio yako 😢😢😢😢👐👐👐Wewe ndie chaguo letu ndie rais wetu mwinyi ameziba pengo lauongo tu😢😢😢😢

  • @skkonthetop8876
    @skkonthetop8876 4 ปีที่แล้ว +8

    Kuwa fariji wagonjwa
    Ni Uungwana
    Tuna watakia wagonjwa
    Afya na Shifaa
    Amin ya rabi Al alamin.

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulillah

  • @alihusein1883
    @alihusein1883 4 ปีที่แล้ว +7

    Maalim kutembeleya wagonjwa ameanza zamani tokea 1997 mm nakumbuka

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 4 ปีที่แล้ว +6

    Allah akuzidishie nguvu na subra mzee baba

  • @mudriksuleiman7953
    @mudriksuleiman7953 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakuna kiongozi bora na mwenye busara kwa raiya wake Zanzibar zaidi ya maalim seif

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 3 ปีที่แล้ว

    Daaah innaalillah wainaailayhi raajiuun

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 4 ปีที่แล้ว +8

    Maalim Seif ni bingwa wa siasa za Nchi hii.

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 4 ปีที่แล้ว

    namuona kama Masoud Tumbo, kama ndiye kapungua sana. wagonjwa wote Allah mtukufu atawarudishia afya njema aamin

  • @topaviator
    @topaviator 4 ปีที่แล้ว +7

    Maalim inapendeza hivo kua na cheo chote hicho na bado anathamini watu wake regardless of his position

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujaze kheri

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ana siasa nyepesi sana!!

  • @saidmselem8611
    @saidmselem8611 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akutienguv kiongoz wetu hakika inatupfaraj tunajiona kama tupo nawwe karib

  • @calimahad9274
    @calimahad9274 4 ปีที่แล้ว +11

    Maalim engekataa huu ulinzi mkubwa kama sheria inamruhusu. Serikali inapoteza pesa tu. Huyu mzee ana ulinzi bora kuliko huu wa magari mengi

    • @naimaabuualii578
      @naimaabuualii578 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa watu wenyewe wako teyari kumlinda wazanzibari wanampenda kabsa ilo lina julikana

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 4 ปีที่แล้ว +1

      Popote anaweza kuenda bila bughdha

    • @topaviator
      @topaviator 4 ปีที่แล้ว

      Huyo sio mtu wa kawaida tena saivi hata kma inajulikana kma anaweza kupata ulinzi wa wanachi pekee, saivi huyo ni makamu wa kwanza wa raisi sasa hio ni moja ya sheria za serikali kua viongozi wakubwa kma awo lzm wapatiwe ulinzi wa kutosha

    • @BigBoss-jk6fk
      @BigBoss-jk6fk 4 ปีที่แล้ว

      Haina haja ya kumlinda kwasababu sasa wanatutisha sisi yaani kama ametugeukia vile

    • @topaviator
      @topaviator 4 ปีที่แล้ว

      @@BigBoss-jk6fk hahaha😄😄
      Unachekesha sana ! Sasa awo maaskari wamemdhuru nani apo hio ni lzm kulindwa kwasbb uyo ni mtu wa serikali saivi

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 ปีที่แล้ว +11

    Huyu ndio kipenzi cha Wazanzibari.

  • @abuubakarjuma3230
    @abuubakarjuma3230 4 ปีที่แล้ว +10

    Kiongozi mzuri utamuona tu kwa matendo yake Allah akulipe kwa wema wako

  • @shixeoshxs7276
    @shixeoshxs7276 4 ปีที่แล้ว

    Maskini mpka watt wanamuhamu maalim mapenzi ya wazanzibari na heshima kubwa hajapatapo kiongozi hata 1 kutokea zanzibar mungu akujaalie nguvu na afya njema na siha uendelee kuwa na imani nao wazanzibari mpka ck ya mwisho inshaallah

  • @mheshimiwapimpanajiitaamja7787
    @mheshimiwapimpanajiitaamja7787 4 ปีที่แล้ว

    Yes rasta that is the way
    The way of the pipolz to show the love to respect
    We ndie raisi kweli wa Zanzibar na kweli wewe ndie mpenzi wa watu
    Don't listen mahaters na mababiloni hawana mpango

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa walinzi wa Maalim mbona watakoma mwaka huu 🤣....
    Atawapeleka mpaka vichochoroni

  • @kassimharoub9075
    @kassimharoub9075 4 ปีที่แล้ว +2

    Maalim seif ni mnyonge na ni kiongozi wa wanyonge.
    Maskin alitamani walau siku moja awakomboe wazanzibari lakini allah ndie mjuzi wa siri hii ya uongozi

  • @zainazaina685
    @zainazaina685 4 ปีที่แล้ว +7

    Allah atakulipa mpendwa wetu

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka aliweza kumtembelea Bi Asha Bakari aliemtukana ktk Baraza la mapinduzi na bado licha yakutukanwa lakn alienda kumuangalia kipindi Cha ugonjwa wake mpaka Mungu akachukua Amana yake hakika ww ni mfano wakuigwa

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 4 ปีที่แล้ว +7

    Kiukweli ninapomuona MAALIM SEIF katika ziara zake machozi ya furaha yananitoka jinsi mtu huyu avyoionyesha thamani ya raia KIVITENDO na siyo maneno tu.

    • @arafahassan5257
      @arafahassan5257 4 ปีที่แล้ว

      Hakika

    • @zulkhasalim3405
      @zulkhasalim3405 4 ปีที่แล้ว +1

      Maalim ni kiongozi wa kipekee sijawahi kumuona mfano wake

  • @osmanha6915
    @osmanha6915 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ndio kiongozi bora

  • @shaabanmrishoshaaban1945
    @shaabanmrishoshaaban1945 4 ปีที่แล้ว

    mya mitano tena nendeni mkamwagwe damu zenu kw watu kama hawa wanaokuimbieni ukombozi hali yskuons wanaomba dua kwa mazoea na wala moyoni mwao hayamo mtabski kupumbazwa wakat hamuutaki uislamu hawa watu ni vibara wa waingereza ns wamerakani kwaherini

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 4 ปีที่แล้ว +2

    Hata Muheshimiwa Magu mwanzo alianza kuwaona wagonjwa. Mumesahauuuu

    • @halimajuma9888
      @halimajuma9888 4 ปีที่แล้ว

      Yeye hakuanza leo hayo

    • @seifmassoud2686
      @seifmassoud2686 4 ปีที่แล้ว

      Maalim mimi mwenyewe binafsi nilikuwa na shangazi yangu (Allah amarehemu )
      Alikuja mara 2 kumuona tokea ni mgonjwa na siku aliyofariki alikuja kumzika pia 2013 wakati hule pia alikuwa Makamo 1 wa Rais
      Allah amlipe Kheir huyu mzee na ampe nguvu tunamuhitaji sana kwa faida yetu sote Wazanzibar na Zanzibar yetu

    • @zulkhasalim3405
      @zulkhasalim3405 4 ปีที่แล้ว

      Unamfananisha maalim na magu weee vp hamfikii hata robo ya imani yake(maalim ni mtu wa aina yake)

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 4 ปีที่แล้ว

      Hawawez kukuelewa sabab wako kisiasa zaid

  • @festochimulimuli8229
    @festochimulimuli8229 4 ปีที่แล้ว

    Tazama Uyo Nae Afariki Dunia
    th-cam.com/video/VV7P56bjYHM/w-d-xo.html

  • @humoudmohammad3125
    @humoudmohammad3125 4 ปีที่แล้ว

    .

  • @sitikhamis8709
    @sitikhamis8709 4 ปีที่แล้ว

    Na mm ninamgonjwa mtoto WA miaka 12 hakayi,hasemi,hendi chakula mpaka umsagie na maisha yangu ni yaujane chumba nimepanga naomba nitafutwe kupitia namba 0623303891

  • @jafaribilali6841
    @jafaribilali6841 4 ปีที่แล้ว

    Ladilaus we sijui MTU was WAP maana hujui hats thaman ya mgonjw

  • @kungurukingunge2761
    @kungurukingunge2761 4 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wanao mlinda sindio wale washenzi wauwaji wapumbavu wakubwa

    • @BigBoss-jk6fk
      @BigBoss-jk6fk 4 ปีที่แล้ว

      Ndio hawo mazombi walotutesa na kutuulia watu wetu

    • @cadabra7402
      @cadabra7402 4 ปีที่แล้ว

      Ahhahahaa nimecheka kama mazuri daah ndo hao hao washenzi wallah

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 4 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu kinaitwa ulua ,kizuri lkn kibaya

  • @jafaribilali6841
    @jafaribilali6841 4 ปีที่แล้ว

    Nyie wengine akili zenu za kuchangiwa kutembelea wagonjwa ndo uungwana

    • @suleimanalkindy6502
      @suleimanalkindy6502 4 ปีที่แล้ว

      Naam kabisa sheikh, Ni uungwana mkubwa kuacha Mambo yako na kutembelea wagonjwa. Na unapata fadhila kubwa kutoka kwa Allah Subhanahu wataallah.

    • @mohamedfaki1666
      @mohamedfaki1666 4 ปีที่แล้ว

      Ukikosa kujua dini basi utakua mjinga sikuzote,ivi unadhani Kama kutembelea wagonjwa sio uungwana ninini? Katika ibada kubwa muislam anayotakiwa kuwa nayo nipamoja na kuwatembelea wagonjwa.

    • @maryamrashid7746
      @maryamrashid7746 4 ปีที่แล้ว

      Khaaa we muislam au maalim kafny vzr apo

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 4 ปีที่แล้ว

    Mbona hamtuandikii majina hao wagonjwa wanaozungumza

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna mtu ndani ya Jamhuri anayeweza kulindwa hivi kama hayupo au sio mshirika wa chama tawala. Chezea Kijani wewe!!!

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 4 ปีที่แล้ว

    Hiz ni tabia za viongoz wanafik, wanajikita kwnye kuteka akili za watu ili waheshimiwe badala ya kufanya kaz, wenzake wanachapa kaz usiku na mchana yeye anafanya maigizo apate kiki tu

    • @yahyaabdallah8892
      @yahyaabdallah8892 4 ปีที่แล้ว +1

      Khanithi ww

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 4 ปีที่แล้ว +1

      @@yahyaabdallah8892 unawashwa mkundu wewe

    • @yahyaabdallah8892
      @yahyaabdallah8892 4 ปีที่แล้ว

      Sawa ila uo wako ni jmb amblo angeskia kafiri mwenzen nyerer anglikukatlia.

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 4 ปีที่แล้ว +1

      @@yahyaabdallah8892 lazma umtetee sultan mwenzako sabab wote mliotoka huko ng'ambo mnapenda kuabudiwa sana na kuwafanya watu wawe watwana

    • @yahyaabdallah8892
      @yahyaabdallah8892 4 ปีที่แล้ว

      Mpk hapo nasubutu kusem alhmdulillah kwa mung kukujaalia kutuelew waznz ni nani.
      U are good boy. Byee inatosha kw leo

  • @festochimulimuli8229
    @festochimulimuli8229 4 ปีที่แล้ว

    Tazama Uyo Nae Afariki Dunia
    th-cam.com/video/VV7P56bjYHM/w-d-xo.html