Naombeni mnitumie nyimbo zenu Whatsapp ...nazipendaga sana ......kwanza Kuna hii inaitwa sukuma nyuma, shetani muongo,hii Dunia,nasikia Raha,jiangalieni wanadamu,mkong'oto,Mvumilivu,Mungu mkuu,mateso ya Bwana Yesu, ni hatua, tumetumwa kazi,.....I like all songs
Imbeni na nia ya kumpendeza muumba, sio kuimba na kuvaa kiusanii ili kuwafurahisha na kuwachekesha watu, maana kilichotukuka machoni pa watu ni chukizo kwa mungu. Nyinyi mnabahati kwa kuwa mnayo idea ya neno la mungu Kwa hivyo natumai mmeokoka na mnajua kuomba, basi ni sharti kumuomba mungu awape roho mtakatifu atakayewaekezeni ninyi na kuwaongoza jinsi ya kumsifu , kuvalia mavazi ya utukufu tokea ndani ya roho zenu na nje kwa miili zenu. Roho mtakatifu ndiye afundishae. Asante sana.
Nini inakuwanga mbaya na ninyi ndio mnamuiga Michael Jackson vile mmevaa na sera zenu zote. Mnamuimbia Mungu lakini mmevaa kama wakanga,! Wachawi! Watu waliojanganyikiwa ! Acheni kuiga mashetani!
Mmeimba vizuri wanangu inapendeza watoto wetu mnapoungana kumsifu Mungu mbarikiwe waombeeni na wenzenu walio nje ya yesu
It is🔥🔥🔥🔥. Be blessed my favorite.
Mziki mzuri sana ambao umepagwa,naomba No.naeza wapata nayo
+255767409032
Mbarikiwe sana wana wa Mungu kwa ujumbe utakatifu .🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.kweli yuandelea kutenda.
Mbarikiwe sana,napenda nyimbo zenu.mvumilivu,mpende jirani ,kukurukakara,popo,
Mubarikiwe sana...mnasuuza moyo wangu
Hatua, Naona hatua hata Mimi, May the Almighty God keep on inspiring you 🙏🙏
More blessing watu wa Mungu
Mbarikiwe na Bwana Yesu vijana! 🙏🤗
Amen amenitoa mbali
Kazio yao njema 🙏
kwa kweli ni hatua,,
Wooow wonderful ni hatua kwa kweli barikiweni mno
Amen
Naombeni mnitumie nyimbo zenu Whatsapp ...nazipendaga sana ......kwanza Kuna hii inaitwa sukuma nyuma, shetani muongo,hii Dunia,nasikia Raha,jiangalieni wanadamu,mkong'oto,Mvumilivu,Mungu mkuu,mateso ya Bwana Yesu, ni hatua, tumetumwa kazi,.....I like all songs
Imbeni na nia ya kumpendeza muumba, sio kuimba na kuvaa kiusanii ili kuwafurahisha na kuwachekesha watu, maana kilichotukuka machoni pa watu ni chukizo kwa mungu. Nyinyi mnabahati kwa kuwa mnayo idea ya neno la mungu Kwa hivyo natumai mmeokoka na mnajua kuomba, basi ni sharti kumuomba mungu awape roho mtakatifu atakayewaekezeni ninyi na kuwaongoza jinsi ya kumsifu , kuvalia mavazi ya utukufu tokea ndani ya roho zenu na nje kwa miili zenu. Roho mtakatifu ndiye afundishae. Asante sana.
th-cam.com/video/xGLWUgfBXKo/w-d-xo.html
okoka MUNGU AKUSAIDIE NA WEWE UTABARIKIWA ACHA
Amesema kwl kbs mavaz yajampa Mungu utukufu huo sionubunifunmzuri mavazi yamechanika chanika binafsi sijabarikiwa
Duh!
Vzuriii sana
Heavenly singers God bless you 🔥🔥
Kwa Yesu raha
I can see new release coming, naigojea sana nawapenda bure
Asante sana, Barikiwa
Igunyuluuuuu🎉
Mungu awabariki sana
safi sana wadau, nawapenda sana
Asante sana Karibu
Santiii kwa kutubariki
Amen, Karibu sn
Nini inakuwanga mbaya na ninyi ndio mnamuiga Michael Jackson vile mmevaa na sera zenu zote. Mnamuimbia Mungu lakini mmevaa kama wakanga,! Wachawi! Watu waliojanganyikiwa ! Acheni kuiga mashetani!
Asante kwa ushari, pia tusamehe sana.
th-cam.com/video/VhKtnxAf6KA/w-d-xo.html
Kwa hii unatushari nini?
Amazing music
Balikiwa mno ma huu wimbo
😀😀Well come new Album.
Safi🎉
Well
K nn n .n nn nn. J .jj n ..nm lol