DR. CHENI KAFUNGUKA: "Naamini Lulu hajatenda"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 137

  • @nadiafahad7945
    @nadiafahad7945 7 ปีที่แล้ว +1

    Mabruuk Cheni ,kweli marehemu tulimpenda sana lkn M/mungu alimpenda zaidi
    Halale kwa amani ,ampe kauri dhabiti M/mungu

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว +24

    Dr chen uko sahihi, umeeleza kwa point sanaaa, big up kwako brother

    • @anjunurdin2763
      @anjunurdin2763 7 ปีที่แล้ว

      umeongea vizuri ila usiseme katenda au hajatenda..hukuwa nae chumbani..na binaadam kwa kitu kama hiki wawezi kukupa siri siri anayomwenyewe Lulu na mungu.aingefungwa maisha.kiaheria ilikua hivyo lkn hapa hakuna sheria kama kunhekua na sheria wangefungwa watoto wenye mwaka mmoja au chini au zaidi ya mwaka kwani hawapo hao.na nani aliefungwa kifungo hicho.mpaka kanumba leo afungwe kwaajili ta Lulu mama mzima anaweza kuzaa

  • @stellahemilian9168
    @stellahemilian9168 7 ปีที่แล้ว +2

    Umeeleweka vzr Dr Chen you are the wise one

  • @teddymathew159
    @teddymathew159 7 ปีที่แล้ว +5

    Mungu azidi kumsaidia lulu ampe afya na nguvu inshallaah atatoka salama

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 7 ปีที่แล้ว +3

    safi sana docter cheni umenyoooosha maelezo

  • @claracalvin5055
    @claracalvin5055 7 ปีที่แล้ว

    Dr Chen hongera broo umeongea point

  • @tetlicioustwins6284
    @tetlicioustwins6284 7 ปีที่แล้ว +5

    mekuelewa mnoo Dr.Chen uko vizuri tumuombee mpendwa Lulu In shaa Allh atatejea tena uraiani

  • @kibakibamondisorry7293
    @kibakibamondisorry7293 7 ปีที่แล้ว

    Pole wajina wangu mungu. Yuko upande wako bado sawa wajina

  • @lucydepresion3519
    @lucydepresion3519 7 ปีที่แล้ว

    kweli ashukuliwi mungu ndie ajuwae Amina pole lulu

  • @froncerafael6328
    @froncerafael6328 7 ปีที่แล้ว +1

    Iko kifungo ni haki yake ongeeni sana kaz kwisha

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa cheni apo umesema kweli kanumba angefungwa maisha

  • @emanuelwariael3506
    @emanuelwariael3506 7 ปีที่แล้ว +7

    Jaman lulu pole San utatoka tu kwa uwenza wa mungu

  • @simp1eone
    @simp1eone 7 ปีที่แล้ว

    I don't speak swahili but I know this dude been a good friend and supportive to lulu since 2012

  • @mariapaul8914
    @mariapaul8914 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana Dk cheni nakukubali sana

  • @bahatimboga5614
    @bahatimboga5614 7 ปีที่แล้ว

    Umeleza vizur nakupendaga sana Nyangema

  • @giftazael3794
    @giftazael3794 7 ปีที่แล้ว

    dr cheni unajielewa sana baba nakupenda kaka akee😘😘😘

  • @rehemabakary5436
    @rehemabakary5436 7 ปีที่แล้ว +18

    wee cheni unaakili sana nimekuelewa mno

  • @maymohammed9752
    @maymohammed9752 7 ปีที่แล้ว +8

    Chen nakukubali Sana

  • @suzanbulima1254
    @suzanbulima1254 7 ปีที่แล้ว +2

    umeongea point sana bro

  • @swaumually6777
    @swaumually6777 7 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana doc cheni

  • @didaamohsin6440
    @didaamohsin6440 7 ปีที่แล้ว

    loovee u mohsin awadh..uko juu(dct chain)

  • @tikaeddie7284
    @tikaeddie7284 7 ปีที่แล้ว

    Point sanaaaaaa big up Dr.Cheni

  • @datiusdidace2173
    @datiusdidace2173 7 ปีที่แล้ว +4

    haufati mkumbo brother nimekuelewa sana

  • @nadiafahad7945
    @nadiafahad7945 7 ปีที่แล้ว

    Kweli kaka Cheni vizuri sana umeongea miaka miwili c, kituu

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 7 ปีที่แล้ว +2

    Sheria ina wana sheria umeekeza vizur dr. Cheni

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 7 ปีที่แล้ว +5

    asante kaka nimekuelewa

  • @homeuh4082
    @homeuh4082 7 ปีที่แล้ว

    safi sana umeongea ukweli vzr mnooo

  • @maliharajabu8917
    @maliharajabu8917 7 ปีที่แล้ว

    Daah maskini lulu, cheni mpka anataka kulia pole brooo yataishaa

  • @ladyaisha8248
    @ladyaisha8248 7 ปีที่แล้ว +8

    Ninayo Imani ya kuwa msamaha wa Rais Maghufuli pombe

  • @celinymburushi7840
    @celinymburushi7840 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana kaka

  • @rahimaarar5097
    @rahimaarar5097 7 ปีที่แล้ว +5

    kweli usemayo doctor chen, mungu amtie nguvu lulu amalze kifungo chake

  • @sonnymjeshi
    @sonnymjeshi 7 ปีที่แล้ว

    Dr chen unaushabiki sanaa sasa ww hujui sheria halaf unasema ameonewa hajatenda

  • @getajo1153
    @getajo1153 7 ปีที่แล้ว +4

    Uhalisia Wa Tukio Hufichwa Na Mazingira Ya Tukio Lenyewe.......

  • @mycomputer8662
    @mycomputer8662 7 ปีที่แล้ว +21

    Chen umewaza mbali sana nawaza nguv alizokua nazo lulu kumsukuma marehem stiven mpka kupoteza maisha kwa mda huo.? ila kitu kingine nimewaz ingetokea lulu ndo amefariki niwaulize nyie mnaoshabikia hukum ya lulu Steven angefungwa miaka mingapi?

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

      Adyze Elly unapo sema hivyo pia usisahau kujiuliza kwanini hii ishu haikukuangukia ww? watu tuwe naimani na muumba wetu sio kwanini kwani najambo lipo wazi

    • @mycomputer8662
      @mycomputer8662 7 ปีที่แล้ว +1

      jeny yusuph Point yang ni "hata lulu angenyongwa bado isingerudisha uhai wa stiven watu tunagombana kila siku lakin hatugomban kuuana inapotokea mmoja kapata tatizo na mahakama ikaamua izo chuki zingine oh hukum ndogo zinatoka wap? walich kifany mahakam ni kutoonyesha kua ni sawa kugomban nikama fundisho wasingeweza kuacha ivyo ivyo but in other side sis ndo tumebak dunian steven is gone we have to accept that tumebaki na eliza badala ya kumkandamiza oh ilikuaje sijui hukum haitosh badala yake tumpe moyo tujifunze na cc dats my point

    • @Fx_expertmoneymaker001
      @Fx_expertmoneymaker001 7 ปีที่แล้ว

      Adyze Elly thats a point....

    • @lulumariethk7385
      @lulumariethk7385 7 ปีที่แล้ว

      Adyze Elly kaka umeteta jambo la maana sana!

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 7 ปีที่แล้ว

    allah Kareem atamsaidia inshaa allah

  • @ridiayohana9311
    @ridiayohana9311 7 ปีที่แล้ว +5

    Kweli Dk chen kanumba angefungwa kifungo cha maisha upo sahihi

    • @immaculatasumaye7191
      @immaculatasumaye7191 7 ปีที่แล้ว

      Nimekupenda bure kaka yangu cheni.

    • @anjunurdin2763
      @anjunurdin2763 7 ปีที่แล้ว

      Nani aliefungwa kifungo cha maisha wamebakwa watoto wa mwaka mmoja

  • @fatmat6883
    @fatmat6883 7 ปีที่แล้ว

    Big up sana broooh.

  • @ashasalum9637
    @ashasalum9637 7 ปีที่แล้ว +2

    big up dk Chen

  • @jamlaashiri372
    @jamlaashiri372 7 ปีที่แล้ว

    upo sahihi dr,cheni angefungwa kifungo cha nje,

  • @julietkambenga4299
    @julietkambenga4299 7 ปีที่แล้ว +1

    umeongea vizuri sana cheni tumuombee Eliza jamani nimeumia sana

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 6 ปีที่แล้ว

    On point bro

  • @aminadhahabu422
    @aminadhahabu422 7 ปีที่แล้ว +2

    Sheria imsaidie lulu

  • @mwandumbyagwami4040
    @mwandumbyagwami4040 7 ปีที่แล้ว +1

    we cheni acha ujinga kaua huyo mtoto

  • @kizzozelemed9513
    @kizzozelemed9513 7 ปีที่แล้ว +3

    Uko vzr bro #umenyooosha maelezoo hatareee

  • @immaruzige1845
    @immaruzige1845 7 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuekewa sanaaa

  • @agnesmpiluka7929
    @agnesmpiluka7929 7 ปีที่แล้ว

    yani cheni umeongea vizur Sana

  • @hadiaaisha8297
    @hadiaaisha8297 7 ปีที่แล้ว

    Uko sawa kabisa chen hujakosea unaongea haki

  • @MegaVenance
    @MegaVenance 7 ปีที่แล้ว +1

    Cheni uko sahihi ila mwenye mtoto alitoa taarifa ya kupotelewa mtoto mida ya usiku?

  • @daimavlog
    @daimavlog 7 ปีที่แล้ว +3

    Wise man

  • @tarimoshauri4891
    @tarimoshauri4891 6 ปีที่แล้ว

    dr chen ur smart.

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 7 ปีที่แล้ว

    Big up dr chen

  • @bihizaclement9868
    @bihizaclement9868 7 ปีที่แล้ว

    Kubwa tumuombee Amina

  • @thauratali3656
    @thauratali3656 7 ปีที่แล้ว +1

    Nakwel kama engefariki lulu kanumba engefungwa kifungo chamaisha

  • @somalens9597
    @somalens9597 7 ปีที่แล้ว +1

    Umeeleweka bro

  • @victoriachesco2833
    @victoriachesco2833 7 ปีที่แล้ว

    sawa kabisa

  • @happynyabbysombaso9418
    @happynyabbysombaso9418 7 ปีที่แล้ว

    DR Hapo umenena munga hawape nguvu familia zote mbali

  • @swaumujuma9059
    @swaumujuma9059 7 ปีที่แล้ว +1

    pole chen

  • @talazain1017
    @talazain1017 7 ปีที่แล้ว +10

    We ni mtu mzima dr nakuelewa

    • @anjunurdin2763
      @anjunurdin2763 7 ปีที่แล้ว +2

      kuna ushaida gani kama Kanumba alimshikia LuLu panga.pengine yeye ndio alichukua lile panga chini ya kitanda baada ya kunyanganywa cm.akamjia nyuma yake wakati kanumba anasoma cm yk akaamua hakuna njia ya kumnyangabya cm kumuangusha hawezi ila akaona qtumie njia ya kumpiga panga la kichwa ili aanguke amnyanganye cm.alijua ataanguka tu na kuzimia na alimpiga sehemu isiyo makali..sasa akaamua kujitetea kashika panga ilikuaje mtu ashike panga na wewe mtoto mnavyosema hana nguvu aliwezaje kummudu km alishika pqnga

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 ปีที่แล้ว +1

    Miongoni mwa mlio muharibu lulu, pumbavuuuu dk cheni yaani ulitegemea akwambie alitenda? Jaji kasema lulu hakusema kanumba alianguka wakati wanazozana au alimsukuma kwa sababu lulu alisema kanumba alikua kalewa isitoshe nini kilimkimbiza ikiwa alikua kaisha mwambia bosko kua kuna tatizo bosko alipo mwendea dokta wa kanumba lulu akawa kaisha kimbia swali mtu kaanguka na yeye hajajua km kafa kw nini hakusubili wampeleke hospital

  • @ashuramustafa2058
    @ashuramustafa2058 7 ปีที่แล้ว +1

    Good sana

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 7 ปีที่แล้ว

    kweli kabisa

  • @nasryathabit6863
    @nasryathabit6863 7 ปีที่แล้ว +7

    cheni anajielewa kwakweli maneno yake in ya hekma kabisa

  • @immaruzige1845
    @immaruzige1845 7 ปีที่แล้ว +2

    Yuko sahihi

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 7 ปีที่แล้ว

    Umeongea kweli, Wame muonea Lulu sheria aija mtendea haki 😞😞

  • @tatut3889
    @tatut3889 7 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mmh mbona watu wanasema Ww lulu kakwambia usikate rufaa watz shikamoo

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 7 ปีที่แล้ว

    Sheria inabidi zibadilishwe, ziwe zinawafeva wasichana zaidi linapotokea tatizo km hilo

  • @mackenziengolo7mabula132
    @mackenziengolo7mabula132 7 ปีที่แล้ว +4

    Kweli we hujui sheria, nan alokudanya msichana mwenye miaka 17 ni mtoto....

    • @tatut3889
      @tatut3889 7 ปีที่แล้ว

      mackenzie richard 😂😂😂😂😂😂😂

    • @nestorysetebe5471
      @nestorysetebe5471 7 ปีที่แล้ว +1

      haya mwanasheria twambie aitwaje

    • @saidaali9379
      @saidaali9379 7 ปีที่แล้ว

      mackenzie richard kiulaya mdogo mpaka 18young adult

  • @princesmercyjohnkirango5649
    @princesmercyjohnkirango5649 7 ปีที่แล้ว

    umeongea ukweli babaa

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 7 ปีที่แล้ว

    Kama ulivyosema mwanzo hatujui sote, anaejua ukweli ni Eliza na marehemu Ambae hawezi ongea Kama alivyo sema Hakim. hivyo tuache wanasheria walivyo hukumu wao wamesomea na ndio maana hata masomo yao ni magumu. hata hizo open book test huwa ni ngumu kutumia wanatumia vichwa. pili udogo tusiuongelee Kuna matureminer watoto wanajipeleka ukubwani Kabla ya wakati na wanakuwa hawajajua hata namna ya kuishi na mwanamume yote wazazi tuwe makini Sana na watoto Wetu. mtoto atoke kwao usiku anaenda Kwa mwana mume hapo tuangalie Sana tuwe makini sie wazazi Hakuna mkubwa anaejizaa. Tuombe mmungu amlaze Pahala Pena peponi Marehemu. na MMungu amfanyie wepesi amalize salama arudi urai
    i Kwa ujenzi WA Taifa

  • @mako331
    @mako331 7 ปีที่แล้ว

    kweli Dr hii tabia ya wasanii wakubwa ku take advantage ya wasichana wadogo wanaojaribu kutumia talent zao kisha wanalazimishwa kuwa na mahusiano na watu flani ndio watoke kisanaa tuikemee kwa nguvu zote

  • @moodyhassany8928
    @moodyhassany8928 7 ปีที่แล้ว

    ajatenda siku ya tukio ulikuwepo nawe chumbani kwa kanumba hiyo sili ni kanumba na lulu na mngu wao swala ni katenda sema hupo sehemu flani ndo mnaona kaonewa ila angekuwa mtu baki ambaye ana mwelekoa wamaisha tu kafanya jmbo hilo swala bila kukusudia lisingekuwepo ila mi nampongeza jaji kwa kufata,sheria

  • @gracewayanga105
    @gracewayanga105 7 ปีที่แล้ว +2

    Asante Dr chen

  • @nusretkoptekin4871
    @nusretkoptekin4871 7 ปีที่แล้ว

    Nakpenda cheni umeongea pwendi

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo wasema jaji amemuonea usiseme hajatenda na haukuwepo

    • @anjunurdin2763
      @anjunurdin2763 7 ปีที่แล้ว

      maneno ya Afande sele nayaunga mkono.hao bongo muvi..wenyewe jina la bongo mvi.hawana maadili yoyote alafu wanataka wapewe kipao mbele..kwa filam gani ziaizo na maadili ya kitanzania..mtu anamke wake au mme wake anaect novi hana nguo kalala kitandani na mwanaume hana nguo shuka moja.mbona wahindi hawafanyi hivyo...hawaheshimiani ndio maana wanawachukua watoto

  • @estacharles7315
    @estacharles7315 7 ปีที่แล้ว

    umeongea maneno ya busala upo vizur ni kweli maneno maneno hayafai kikubwa tumuombee tu

  • @babycandy1153
    @babycandy1153 7 ปีที่แล้ว

    Definitely

  • @kapilimajuma8763
    @kapilimajuma8763 7 ปีที่แล้ว +2

    hahaha ,,,, Dr anasema lulu alikuwa mdogo , alimsikia mh jaji alivyosema !

  • @janethgatoni5981
    @janethgatoni5981 7 ปีที่แล้ว

    Msema madogo huwa maranyingi cheria analijuwa

  • @hfdfhhjhydzghh9376
    @hfdfhhjhydzghh9376 7 ปีที่แล้ว +3

    ama kweli kat ya walosema jambo la mana ww ni namba 1 penda ww mkk

  • @TopTenKaliTV
    @TopTenKaliTV 7 ปีที่แล้ว +1

    Woyoooooooooooo

  • @elizabethkisogole7572
    @elizabethkisogole7572 7 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni busara ya hali yajuu upande damu upande shubili.

  • @victoriachesco2833
    @victoriachesco2833 7 ปีที่แล้ว

    acheni atumikie ty jmn ili akitoka awe huru jamn kasumbuliwa San mdada Wa watu

  • @drtheresiakaruhanga3543
    @drtheresiakaruhanga3543 7 ปีที่แล้ว

    mimi nigekuwa ndugu wa Kanumba ningemusamehe Lulu kwa sababu kifo cha kanumba kwamba kumesababishwa na Lulu ni fumbo. na inapaswa kuchukuliwa kuwa lulu na kanumba walikuwa watoto wa familia zote mbili. kwamba imetokea kasoro inapaswa kuchukuliwa ya familia zote mbili. kujenga chiki kwa hili , mimi sioni kuwa ni busara sana. ok. tumuombee Lulu avumilie adhabu yake na Mungu amtie nguvu.

  • @fgjjgbnko4383
    @fgjjgbnko4383 7 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃eti miaka 17 mdogo

    • @florenceholmen8304
      @florenceholmen8304 7 ปีที่แล้ว

      Fgjj Gbnko kutokana na sheria ya jamuhuri ya Tanzania, mtoto ni mtu mwenye wa chini ya miaka 18. Sasa sijui unacheka nini

    • @fgjjgbnko4383
      @fgjjgbnko4383 7 ปีที่แล้ว

      Florence Holmen nacheka maana mtoto wa 15 akipata mimba hajulikani kama mtoto anafukuzwa nashangaa lulu anaitwa mtoto

    • @florenceholmen8304
      @florenceholmen8304 7 ปีที่แล้ว

      Fgjj Gbnko ni kweli Tanzania hakuna haki. Hao wanaowapa ujauzito watoto wa miaka 15 walitakiwa kufungwa. Lulu alikua mtoto kipindi tukio kilipo tendeka.

  • @maulidyyassin7114
    @maulidyyassin7114 7 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 7 ปีที่แล้ว

    doctor umenena vyema kwa upeo

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 7 ปีที่แล้ว +1

    Kama alikuwa na umri mdogo basi Kanumba alikuwa rapist!???? Mahakamani Judge aliliongelea hilo? Naungana na Dr Kuwapa pole wazazi wote, pia fundisho kwa wasichana na wavulana/ msianze mahusiano kabla umri

  • @itsangystyle5498
    @itsangystyle5498 7 ปีที่แล้ว

    lulu mungu amupe nguvu.Dr .cheni you are a wise man.jamani subscribe kwa channel yangu piya

  • @madengemadenge5129
    @madengemadenge5129 7 ปีที่แล้ว +1

    dogo umekuwa umezungumzza pont sana

  • @godfroidbasubire8355
    @godfroidbasubire8355 7 ปีที่แล้ว

    Kwanini yeye mutoto katembea
    Na mutu muzima

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 7 ปีที่แล้ว

    Mimi kama ningekuwa ni wazazi wa Lulu ningepigania mwanangu kwa nini alimtumia Kanumba wakati bado ni mdogo ningewashitaki wazazi wa Kanumba inatia uruma sana kwa kufungwa Lulu na hapo mwanzo walimsotesha sana rumande mama Kanumba anaroho mbaya sana Lulu kafungwa sasa Kanumba kesharudi? Au ndio unataka uingizwe kwenye Mashetani ya FM?

    • @ibrahimpius893
      @ibrahimpius893 7 ปีที่แล้ว +1

      Punguza mihemuko hayo ni masuala ya kisheria hayaendi kama unavyofikilia sasa mama kanumba anahusikaje kwani yeye ndiye kamhukum aende jera

    • @tatut3889
      @tatut3889 7 ปีที่แล้ว

      Jasmin Asha sasa umshitaki Nani kanumba kafa nalulu kashitakiwa naselikali sio Mama kabumba 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶

  • @happinessnyambita8139
    @happinessnyambita8139 7 ปีที่แล้ว

    Dk. Chen ntafute please

  • @asiajuma5784
    @asiajuma5784 7 ปีที่แล้ว

    Nimependa maelezo yako

    • @mperanyimwajuma7619
      @mperanyimwajuma7619 7 ปีที่แล้ว

      Lulu arikuwa mdogo kabisa kanumba arimurebu musani mweziyo

  • @vumiwilly5625
    @vumiwilly5625 7 ปีที่แล้ว +3

    Kama mdogo kwanini alijiingiza kwenye mapenzi nawakati ni mdogo ?kwani kanumba alimlazimisha?hicho chaudogo msiongelee kabisa

    • @nestorysetebe5471
      @nestorysetebe5471 7 ปีที่แล้ว +1

      lajoie pascience baby unamtoto au ? think twice

    • @fat-hiyaaboud3025
      @fat-hiyaaboud3025 7 ปีที่แล้ว

      udogo lazima uzingatiwe nakubali kua hakinzani na sheria (yaani hastahili msamaha) ila kuna nafac ambayo anayo ni miaka 17 kwa sasa kuna mahakama ya watoto na yy ni mmoja wapo hivyo alistahili kupata adhabu km ya watoto wa umri huo .poleni sana kwa mitihani familia zote mbili

  • @olivierpatrick8001
    @olivierpatrick8001 7 ปีที่แล้ว +4

    Ww mlevi ata upepo una mwangusha acha izo ulipita na ww

  • @yagwisheheke1352
    @yagwisheheke1352 7 ปีที่แล้ว +1

    kaua huyo akafie mbele

    • @moussamohammad5073
      @moussamohammad5073 7 ปีที่แล้ว

      Yagwishe Heke Jee, wewe ndio utabaki milele ?

    • @rahmayusuph7557
      @rahmayusuph7557 7 ปีที่แล้ว

      Huyajui yakesho,we unaesema lulu akafie mbele,we unaijua kesho yako???

  • @adijaadija2335
    @adijaadija2335 7 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀eti binti wamyaka17 nimdogo N awakati alikuwa namumeza muzimamuzima kingine lulu kanumba alimukuta bikra DR. cheni wesematu nikwabatimbaya ayonaswala yaudogo yaweke mochwari

  • @shizzlemreal1811
    @shizzlemreal1811 7 ปีที่แล้ว +2

    Mia kumi na Saba mtoto?😂😂😂😂😂 Alipenda kupanua miguu ya ngoso

    • @mwandiadam5490
      @mwandiadam5490 7 ปีที่แล้ว +2

      Shizzle mreal usiombe yasikukuteee

    • @benedictesafi4386
      @benedictesafi4386 7 ปีที่แล้ว +1

      Usiukumu usije ukumiwa heri lulu kesho wewe aujuwe

  • @matilidabenangodi524
    @matilidabenangodi524 7 ปีที่แล้ว

    youtube

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 7 ปีที่แล้ว

    fact tupu