@@SarahNgina-my8gq ndipo yesu akaja kwao, ndipo yesu akaja, {kuwaokoa} ndipo yesu akaja kwao, ndipo yesu akaja, {kuwaponya} ndipo yesu akaja kwao, ndipo yesu akaja...
{Mzigo wa dhambi, ulilemea walimwengu, Ndipo Yesu akaja}. (x2) KIITIKIO {Ndipo Yesu; Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja}. (x2) {Dhiki na magonjwa, yalilemea walimwengu, Ndipo Yesu akaja}. (x2) {Kifo na kaburi, iliwatisha walimwengu, Ndipo Yesu akaja}. (x2) {Kazi za Shetani, ziliwatisha walimwengu, Ndipo Yesu akaja}. (x2) Kuwakomboa; Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja. Kuwaponya; Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja. Kuwaokoa; Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja. Kuwapa uzima; Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja.
mungu hawabariki
amen amen brother
Sauti nzuri sana MUNGU ni MKUU
amen Mungu akubariki sana
Ndipo YESU akaja
Wimbo mzuri sana
Am feeling goosebumps.. there's nothing which feels good like knowing christ in your lifes..
beautiful , which country ?
Tanzania the church is located to one Island in Lake Victoria
Lilililili Amen to the God of Heaven 🎉❤
@@BathabileChikuni-l3z amen amen be blessed
Nmependa uimbaji huu na nnebrikiwa na step za pastor hapo nyuma ya sololist
amen amen. kwa kweli ni baraka tele
I love my brethren, I love your singing and dedication.
Lovely saints we'll meet over younder
Amina ndugu wathaman
Glory!!! Praise God!!!...Then Jesus came...Ndipo Yesu akaja...
Lyrics ya song before chorus,is a very powerful song.
I feel the power of holy ghost over there
Not holy ghost 👻👻👻 shetani anafurahi sana tukimuita holy ( Holy Spirit ) ndio anafaa sio holy ghost
Mungu Awabariki Sana Waminio wa ujumbe wa ukerewe
Oooooooooh God love this song
Mungu awabariki ndugu na dada zangu
The singing is on another level. Wow
Someone write the the lyrics please
Mungu awabariki
Be blessed kabisaa
Thanks 🙏
Blessed by this songs and lovely worship
Amen brother. We are happy that u have been 😇 blessed
❤❤❤Much love
God bless you abundantly
O brethren God bless you. Naomba lyrics ya wimbo huu jamani please
Aki sisikii mtu aniandikie jamani❤❤❤❤❤
@@SarahNgina-my8gq ndipo yesu akaja kwao, ndipo yesu akaja, {kuwaokoa} ndipo yesu akaja kwao, ndipo yesu akaja, {kuwaponya} ndipo yesu akaja kwao, ndipo yesu akaja...
@@PastorPhilipMbaabu. anaeimbisha
{Mzigo wa dhambi, ulilemea walimwengu,
Ndipo Yesu akaja}. (x2)
KIITIKIO
{Ndipo Yesu;
Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja}. (x2)
{Dhiki na magonjwa, yalilemea walimwengu,
Ndipo Yesu akaja}. (x2)
{Kifo na kaburi, iliwatisha walimwengu,
Ndipo Yesu akaja}. (x2)
{Kazi za Shetani, ziliwatisha walimwengu,
Ndipo Yesu akaja}. (x2)
Kuwakomboa;
Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja.
Kuwaponya;
Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja.
Kuwaokoa;
Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja.
Kuwapa uzima;
Ndipo Yesu akaja kwao, ndipo Yesu akaja.
Tuandikie maneno ya anayeimbisha,hasikiki
God bless you saints
Amen,ndipo YESU akaja kwao oh hallelujah
Haleluyaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hii wimbo inaenda aje...?mtu aniandikie
Aki pia am so waiting on some lyrics
wow! lovely 🌹
Amen Hallelujah
And then Jesus came🙌🏽🙌🏽
So powerful
Where is this place in the map?... someone who knows?
ukerewe Tanzania
Amazing 👏 🙀
Jamani utamu wa yesu huo
Bado h kwaya wako n kama wako wako wapi
Nice song
Powerful choir
Include lyrics
Definitely sister we shall do that
Please include the lyrics
Please kama kuna mtu ananamba ya huyu muazisha tafadhali msaada
Ni mchungaji wangu
Glory!!! Praise God!!!...Then Jesus came...Ndipo Yesu akaja...
Powerful choir