Asante mum kwa kazi nzuri,naomba kujua faida yake cz kwetu maziwa ni gharama sana, hivyo naweza tumia njia gani hili nipate barafu nyingi kwa maziwa machache?
Hello sister, I'm your new subscriber from Burundi 🇧🇮. I've been watching your videos a while ago, would you mind to make a video of how to cook Purri please
If you would like to watch this video in English press the link ➡️th-cam.com/video/aD-tXzAL1Mo/w-d-xo.html
mashaaAllah..nitajaribu kutengeneza ya maziwa inshaallah
Mashallah nimependa Asante kwa kutufunza mengi Mungu akubarikie my
Asante mum kwa kazi nzuri,naomba kujua faida yake cz kwetu maziwa ni gharama sana, hivyo naweza tumia njia gani hili nipate barafu nyingi kwa maziwa machache?
Ahsante dada yangu barikiwa sana napenda barafu sana
Mashaallah zote zaonekana zury na tamu shukran dda
Uko vzr my mung azid kukupa afya
Thanks for sharing the yummy recipe
My pleasure 😊
Ni nzuri sana hadi nimetamani
Barafu zako nimzuri sana.
Mashallah kwenye barafu za ukwaju haiwezekani kutia huo unga wa mahindi
Nimempenda san
Your just the best Ilove everything keep it up
Shukran my ruki
masha Allah tabarrak Allah thanks swt
Mashallah ntajaribu wa Kwanza Leo🇴🇲
Jazakallahu haira dear👍👍😍😍
Thanks 🙏🏿😊
Asante dada ntajaribu ya yamatunda
Nilijaribu na zikatokea uchungu
good 👍👍👍👍
Asante kwa kutuongezea ujuzi,vifuko hivyo vinapatikana wapi?
Asante Kwa ujuziMfano Lita kumiunatumia ukwaju kiasi Gani ,cornflower nk Ili update faida,,?
I like your fluent swahili
Thank you soo much
Wooow! Very nice dear😋😋😋
Love this ila kwa barafu za biashara inawezekana kutumia maziwa ya unga pekee?
Asante sana nimesoma mengi. Tofauti ya kuchemsha ukwaju na kuweka flavor na hizi zako za ukwaju ni nini?
Kazi yako inapendeza
mashallah
Shukran
Hello sister, I'm your new subscriber from Burundi 🇧🇮. I've been watching your videos a while ago, would you mind to make a video of how to cook Purri please
😍 😍 😍 😍 😋😋😋😋😋Mashallah habibty, leo ntapitia kwa fridge yako 😁😁 Aina Zote hizo za barafu zaonekana tamuu sana 😍
Tofaut ya maziwa ya kopo na maziw kawaid nn
Asante
Asante sana .shukrani..mm naomba niulize kua hio cornflour kama nkitumia unga wa muhogo itakuaje!!?
Inafaa
Kazi nzuri dada najifunza kutoka kwako lakini hivyo vifuko ntavipata wapi?
Mashallah
Ahsante swt
Vimifuko napata wap hp dar?
Vifuko vyapatikana wapi hivyo vyenye viko na seal
Hiyo cornflour ni badala ya cmc ?
Ivyo vifuko vinapatikana wapi
Wow
Hi Rukia, Naweza kupata wapi hivyo vifuko kwa hapa dar?
Ni nzuri. Vifuko vya ainaa hiyo vinapatikana wapi?
Aliexpes ama Amazon online
Hapo kwenye hiyo cornflower naweza tumia unga mwingne??
Hizo.ice.za.maziwa.faida.nish.ngapi?
Naomba namba zako dad
Naomba nisaidie kutengeneza ice cream za maziwa ya unga na radha ya strobery
th-cam.com/video/yS7Rd76n4Yc/w-d-xo.html link hy hapo
hio lita moja ya maziwa inatoa barafu ngapi
Vifungashio naweza kupata wap
Vp kwa biashara naweza tumia vipimo hivyo hivyo
Asante sana, ubarikiwe kwa kutupatia ujuzi! Vifuko hivyo vinapatikana wapi dear?
Naomba namba yako yasimu
Samahani huwezi weka cornflow
Yes u can
Namba yako ya cm
Corn flour inaweza substitute na starch?
Nawexa tumia maziwa ya unga tu.
Hiyo coron flour na maziwa ya Unga ni lazima kuweka kama una maziwa ya maji tu
Arki ya limau ndo nini
Sukari huweki
Kwani kuna lazma ya kuchuja dada ama n hiyari ya mtu mana peshen tunakula adi tembe
Wapata wapi mifuko yako ya barafu yenye seal hapo mwisho.... tafadhali niambie pa kuzipata, shukran
Amazon or AliExpress online shôpping
He badala ya corn flour naweza kutumia unga wa custard
Unga wa ngano ni 'sawa
Jinsi ya kutengeneza barafu ya custard
Izo plastic zako wapi unununua na kiasi gani
Hiyo ariki ya limau ni nini?
Harufu ya limau