EP4 Zouchu Performance

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 116

  • @benthomasy8469
    @benthomasy8469 4 ปีที่แล้ว +91

    Tujuene ambao tumemtafuta zuchu baada ya kusainiwa wcb

  • @richardnjunju1791
    @richardnjunju1791 4 ปีที่แล้ว +11

    Izi ndio safari za mziki wengi tunaziitaji siyo mtu ametoka kulima korosho anataka tumsikilize lazima atatusumbua we love CHUCHU from 255🇹🇿🙏🙏🙏🙏

  • @jrlamar8925
    @jrlamar8925 4 ปีที่แล้ว +273

    Wangapi tumekuja hapa baada ya huyu Dada kusainiwa WCB?

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว +8

    Watu wanao sema Zuchu siyo mzuri mwangalieni akiwa chibonge she's damn sexy

  • @severinemgimwa6949
    @severinemgimwa6949 4 ปีที่แล้ว +5

    Huu mwili umeenda WAP zuchu...was so amazng

  • @starboymartin7290
    @starboymartin7290 4 ปีที่แล้ว +38

    wangap tumekuja huk baada ya zuchu kuachia #EP yake😂

  • @OmanOman-dd5tk
    @OmanOman-dd5tk 3 ปีที่แล้ว +3

    Duu zuchu ulikua na mwili mzuri MashaAllah. Unafanya diet

  • @dianarobert5640
    @dianarobert5640 4 ปีที่แล้ว +6

    Sikuwa namfatilia sana zuchu ila uko vizuri dogo👌mtoto wa nyoka ninyoka nimeamini

  • @majaliwabernard7565
    @majaliwabernard7565 4 ปีที่แล้ว +81

    Wangapi tulokuja TH-cam kumcheki zuchu, mwaka huu litakufa jitu atucheki na kima dadeeeq

    • @preciousmoshi3392
      @preciousmoshi3392 4 ปีที่แล้ว

      Hahahhahaah hataar

    • @majaliwabernard7565
      @majaliwabernard7565 4 ปีที่แล้ว

      Noma sana

    • @aminaseleman5147
      @aminaseleman5147 4 ปีที่แล้ว +1

      Alkua kibonge

    • @hawaynatimam982
      @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว

      Nyie ndo mnaofanya watu wawena mabifu ya kijinga, baada ya kuombea mziki wa Tanzania ufike mbali wee eti litakufa jitu, jitu gani sasa

  • @sarahjosefu3553
    @sarahjosefu3553 5 ปีที่แล้ว +12

    Uko vizuri sana pambana japo vikwazo nivingi kaza my

  • @RitahTasmaniah
    @RitahTasmaniah 2 ปีที่แล้ว +2

    I can notice her voice has had more prowess,over the years, thats growth and i lov it,I really do❤❤🎀❤❤

  • @Akama0927
    @Akama0927 3 ปีที่แล้ว +12

    Nandy won here but Zucchu is rolling now, kwa ground vitu ni different bana

  • @diallokimbumbu7843
    @diallokimbumbu7843 ปีที่แล้ว +1

    Oh 7 years ago, nobody couldn't imagine.

  • @rahmanramadhan8483
    @rahmanramadhan8483 4 ปีที่แล้ว +2

    kumbe kufanya wimbo na Yem alade ni simpl ty anatujua kitambo @WCB for life

  • @thejofaexperiences3222
    @thejofaexperiences3222 4 ปีที่แล้ว +8

    Ni mkali sana,na yupo sehemu saahihi"WCB"

  • @Millah-x7d
    @Millah-x7d 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe zuchu ulikuwa mnene jmn nakupenda kwel ndmn nakufatilia kila kona

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 5 ปีที่แล้ว +27

    Okaay nmeelewa safari ya music si kitu tahs hvyo

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +1

      😭😅🤔😆👌👏🙌

  • @cliffdinho
    @cliffdinho 3 ปีที่แล้ว +5

    My Sugar Sukari😍

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 4 ปีที่แล้ว +6

    Mi nataka colabo zuchu ft ruby...nasubiria kwa hamuuu

  • @lilianaledy3888
    @lilianaledy3888 4 ปีที่แล้ว +30

    mekuja baada yakuona amesainiwa wcb

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 ปีที่แล้ว +14

    zuchu ni mkali kabisaaaa

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 ปีที่แล้ว +15

    Wangap tumeona hii baada ya kuja wasaf

  • @aoodalbadi8473
    @aoodalbadi8473 4 ปีที่แล้ว +19

    Shoga unajua xana kuimba mbona timu kiba kazi mtakua nayo mwaka wenu huuuu wapi timu mond like tafadhali👇👇👇👇👇👇

  • @luluadam3086
    @luluadam3086 4 ปีที่แล้ว +27

    Wapi nandy wapi ruby mkali tumempataaaa hatari

  • @naurinesalome1271
    @naurinesalome1271 2 ปีที่แล้ว +1

    She has always been a performer

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤kisha alikuwa mzuri mnene shepu nzuri

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 ปีที่แล้ว +2

    Zuchu alikua kibonge san

  • @linnatbu5603
    @linnatbu5603 4 ปีที่แล้ว +15

    She kinda looks like my Yemi!🙃👍🏽

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 3 ปีที่แล้ว +6

    I see u twins, Zuchu + Yemi😄

  • @SportySparks
    @SportySparks 3 ปีที่แล้ว +4

    God's timing i tell you !!

  • @majourboytzmbosore9857
    @majourboytzmbosore9857 5 ปีที่แล้ว +14

    moto utawaka uko #wasafi

  • @chescomwakipese3422
    @chescomwakipese3422 5 ปีที่แล้ว +13

    Saf sana WCB mkwap

  • @ayishasalum4216
    @ayishasalum4216 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe io heeeeey ulikua nay tokea zamn

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +6

    Kenyans sauti sol judging Zuchu and African princess Nandy. Neither of them won but their dreams are shinning now. Hao mlio wapaga mataji hata hatuwasikii, Kisha walitoka Nigeria khah mliniboa majirani😭🤪

    • @nanaaissa8102
      @nanaaissa8102 5 หลายเดือนก่อน

      Alishinda nan

  • @tynnahpaul8639
    @tynnahpaul8639 4 ปีที่แล้ว +1

    Alikuwaaa kibongeeee kweli

  • @mercynthemba59
    @mercynthemba59 ปีที่แล้ว

    Zuchu wa siku hizi mwili ulienda wapi❤

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hapa alikuaga mzur

  • @trillionthamani
    @trillionthamani 4 ปีที่แล้ว +4

    Ulitakiwa kuja mjini mapema.like nandy

  • @iraqgirl2143
    @iraqgirl2143 3 ปีที่แล้ว +2

    Zuchu hapa anaonekana mnene

  • @NasraNasa-mp7mf
    @NasraNasa-mp7mf ปีที่แล้ว

    Jux ameiyona hii kweli

  • @jejufima4887
    @jejufima4887 4 ปีที่แล้ว +2

    Kalikuwa kabonge

  • @sylvestermasuva5913
    @sylvestermasuva5913 4 ปีที่แล้ว

    Daaah watu wanatoka mbali asee 🙏

  • @shakilaabdallaherio5617
    @shakilaabdallaherio5617 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada

  • @JaneObote-to1zn
    @JaneObote-to1zn 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe alikuwa mzuri kitambo

  • @khadijaissa1724
    @khadijaissa1724 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunatoa mbali.... Kapigania mpk kufikia hapo alipo

  • @raymondmwaka7902
    @raymondmwaka7902 5 ปีที่แล้ว +5

    Waoooo

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว +11

    Mrembo🔥🔥🔥

  • @benjatz5598
    @benjatz5598 5 ปีที่แล้ว +13

    huyu demu ni moto

  • @rahemasaid7594
    @rahemasaid7594 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana ni mzur hari

  • @majaliwapili2928
    @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +13

    Subili uingie wasafi lazima umkalishe chini kwini dalini

  • @samuelibky8989
    @samuelibky8989 4 ปีที่แล้ว +6

    wangapu tumekuja haps baada huyu dada kusainiwa wcb wasafi???

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice ulikua bonge kumbe

  • @nzeyimanaaston7305
    @nzeyimanaaston7305 4 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sofiasadi738
    @sofiasadi738 4 ปีที่แล้ว +1

    lovely sister

  • @nelo8100
    @nelo8100 4 ปีที่แล้ว +2

    Dope

  • @watuhuru6128
    @watuhuru6128 2 ปีที่แล้ว

    Jamani zuchu alikua na shepu

  • @magrethelia1085
    @magrethelia1085 3 ปีที่แล้ว +1

    Alikua Mnene

  • @sophiajoseph2630
    @sophiajoseph2630 4 ปีที่แล้ว +1

    Wangapi wapo apa baada ya cheche?? Na kutaka kujua Yule mshindi walio mchagua baada ya zuchu Yuko anauza magimbi mtaa gani?🤣

  • @ashurasuleimani170
    @ashurasuleimani170 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamn ckuwah kujua kama unajua kuimba ivi duh

  • @babosytuppa8138
    @babosytuppa8138 4 ปีที่แล้ว +6

    baada ya WCB

  • @zuwenaomar4201
    @zuwenaomar4201 ปีที่แล้ว +1

    Hapa ulikua mzur zuchu

  • @mosesvpajitv6644
    @mosesvpajitv6644 3 ปีที่แล้ว +2

    Alikua mnene

  • @jacqymichaels7693
    @jacqymichaels7693 ปีที่แล้ว

    Na hapa alikua amenenepa

  • @chefamos4422
    @chefamos4422 4 ปีที่แล้ว

    Napenda ulivoimba wimbo wa Jux

  • @salmaabdallah1516
    @salmaabdallah1516 ปีที่แล้ว

    Zuchu alikuw bonge

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 4 ปีที่แล้ว +1

    Waooh

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 4 ปีที่แล้ว +2

    👌👌👌👌

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwani hii baada ya kusainiwa au kabla

  • @mariamsfamily482
    @mariamsfamily482 4 ปีที่แล้ว

    Nakupa sapoti sister

  • @doreenmniko9607
    @doreenmniko9607 5 หลายเดือนก่อน

    2024 🎉

  • @latifambarouk1085
    @latifambarouk1085 6 ปีที่แล้ว +5

    Uko vizur my

  • @hamisimterela45
    @hamisimterela45 5 ปีที่แล้ว +5

    Huuyu mtt lzm awe hatari sana baba yake ni mwanamuziki mkubwa sana

  • @rahmanramadhan8483
    @rahmanramadhan8483 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeifata IH Chanel cz WCB ni Chama lao

  • @georgesewe1566
    @georgesewe1566 4 ปีที่แล้ว +1

    where were you all that long anyway only time tells shine now zuchu

  • @lindamasitsa4816
    @lindamasitsa4816 4 ปีที่แล้ว

    Consistency..

  • @anitakamene5073
    @anitakamene5073 4 ปีที่แล้ว +2

    Zuchi

  • @catherinedavidy9017
    @catherinedavidy9017 4 ปีที่แล้ว +3

    To be honest hana pumzi huyudem bas tu

    • @user-uk8pk5vn9b
      @user-uk8pk5vn9b 4 ปีที่แล้ว

      😂😂 mashindano yamepita miaka mingi Sana hapa we fikil kakaa wcb miaka minne na hapo baada ya miaka kma 2 baada ya mashindano haya kupita ,ksshafuliwa vibaya mno

    • @jumachire5776
      @jumachire5776 4 ปีที่แล้ว

      Mazoezi tu kidogo...atakuwa na pumsi

    • @bahathmuro7145
      @bahathmuro7145 9 หลายเดือนก่อน

      Hana pumzi hadi leo live hawezi!

  • @vailetimzungu5335
    @vailetimzungu5335 4 ปีที่แล้ว +1

    Waoooooo