Mitunguja Lyrics - The Revivers Ministers
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2024
- Mitunguja by The Revivers Ministers✔
Performance @ Azizi and Sharon Wedding: • The Revivers Ministers...
TH-cam: / @thereviversministersk...
🔔 Turn on notifications to stay updated with new uploads! Subscribe for more Videos
🟡Hyp Tunes: Follow Here👇 and Subscribe for More Lyrics
🔴TH-cam: / @hyptunes
💲💲Support Our Lyrics & Playlists: buymeacoffee.c...
Hyp Tunes: Follow Here👇 and Subscribe for More Lyrics
TH-cam: / @hyptunes
TikTok: / hyptunes
Mitunguja Lyrics :
STANZA 1
Kuna vitu vizuri chini ya jua
vinapendeza macho
vipatavyoelea hakika vimeundwa
kitu moja itoavyo harufu
kuashiria mema
hivyo tuna raha twapata
sherehekea matunda ya upendo
X2
CHORUS
Mapenzi kwayo upeo yasheherekewa
ni bayana yapendeza
yapata kibali sababu ni timizo
la agizo lake Mungu
upendo mzidishe heshima idumu
maelewano yakidhiri
Yesu awe kiongozi
mibaraka ifulize
X2
STANZA 2
Katika pilka pilka za maisha
kuna changamoto
Vivyo hivyo katika familia
hakuwezikosa changamoto
Dua linakuliwe ya kwamba
Mungu awape nguvu za kukabili changamoto
yeye pekee anaweza kuwashindia majaribu
na kuwatia kama mfano ndoani
kwa watu wengi
X2
CHORUS
Mapenzi kwayo upeo yasheherekewa
ni bayana yapendeza
yapata kibali sababu ni timizo
la agizo lake Mungu
upendo mzidishe heshima idumu
maelewano yakidhiri
Yesu awe kiongozi
mibaraka ifulize
⏸⏹Send your Submissions to: hyptunes.main@gmail.com⏮⏮
All credits goes to the rightful owner.
⭐No copyright infringement intended / Don't reupload
💌hyptunes.main@gmail.com💌
IF WE HAVE UPLOADED YOUR SONG AND YOU WANT US TO DELETE IT.
PLEASE CONTACT US ON EMAIL AND WE WILL DELETE IT IMMEDIATELY
#hyptunes #reviversministers #mitunguja #harusi
So cool l love the lyrix ❤❤❤❤