I thank God and your family for raising you to become a blessing to others,to be honest your wisdom and wise words with confidence is on another level ❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉
Bebii ni comedian kabisa trust her at your own risk ,but bebii we you want you to eat food ,fruits aki ,tunajua hupendi kula lakini this round weka sttress kando ,the more you work extra the more unastahili kukula our queen 😊😊😊
@@demwafacebooktv imagine am addicted with your video naomba bestie 4n imagine ndio niwatch vida zako huwa si mis plz bebii nibayie ata 4n ya 5k ntashukuru sana 🥰🥰
BEBII above all things make you sure you eat healthy, drink a lot of water... I know hupendi kukula but take good care of yourself Nd sorry kama nmekukosea
@@j.j3601 Huyo Ni tofauti,I meant lazy, watu wa kujituma hawawezi wekwa Na mwanamke kombowa hata kama Ni single room ya mabati have a place you call your house bure watazidi kuaibishwa hivyo.
That's true Alma ana over riact like gift alisema ama ana over doo already Alma nikama ako na MTU gift aone mbele coz akikupenda hamkua mmejuana vizuri
Bebi you look.soo dehydrated,hata uso it's not glowing si you try take care of yourself please bado wewe ni dame,your a celebrity please try taking care of yourself.
Gift na alma ivo ndio wanataka muongee ata hii ni shadow kama hamjaona yenye ameambiwa hajatahiri na gift adi akukasiraka sasa shauri yenyu shideni apo
Baby girl. Ukitaka hizi pimples zinaweza Isha. Visit dermatologist for skin test akwambie what exactly inafaa kupaka. Being dark skin and smooth skin becomes perfect. My sisters skin was like yours saa hii ako smooth kama matako ya newborn. We are ladies lazima tusaidiane.
I will always say this bby gul i love that smile of yours ❤ but bby gul i word is enough to wise one ❤ privacy is power not everything you talk on camera bby gul ❤
Very true we love her but sometimes she talk a lot ndio maana ana Kuwa trolled everytime .......hii kuongea zingine aiii ata juuu mnatusi waki hii apana
Yeyote anayewatch hii ainuliwe kiwango kingine kama Dem WA fb ❤❤
Eddie make sure bebii anakula food na fruts kwa wingi
Aki usikue unatueka sana plz b posting 5 per day aki we miss your umbea
Thanks for considering me, feel same
Bebii ulikua muranga kwetu.l wish ningekua kenya nikumeet ❤❤
You always have pretty smile, stay happy always
Wakwanza ❤❤
Beauty with Brain ❤Keep winning and more blessings to follow u 🙏💕
I thank God and your family for raising you to become a blessing to others,to be honest your wisdom and wise words with confidence is on another level ❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉
Bebii ni comedian kabisa trust her at your own risk ,but bebii we you want you to eat food ,fruits aki ,tunajua hupendi kula lakini this round weka sttress kando ,the more you work extra the more unastahili kukula our queen 😊😊😊
Very true the man is the head of the family respect is paramount
Respect is earned not given. A man that is not a provider or a leader is subject to disrespect
@@Kwamby-m9jGod’s order of hierachy you cant correct him❤
Nimezoea kuwa wa kwanza leo mmeniweza 😂😂😂
Kazi nzuri bebii endelea kujituma wewe ni team strong wmwenzetu
Small girl with brains ❤❤❤❤❤❤❤❤ much love guys 💖
Very true bebii alma alikosa Kuna vitu zingine hufai kusema Kwa camera jameni
Privacy is power... I agree with Eddy..not everything should be addressed in camera yawa....
🎉 Nipitieni
😂😂😂😂😂 wewe huonii hii ni story za jabaa
I agree
Aki si mnakuanga serious huku nje...kwani hamjaijua huyu dem, hii ni umbea tu😂😂😂😂
@@demwafacebooktv imagine am addicted with your video naomba bestie 4n imagine ndio niwatch vida zako huwa si mis plz bebii nibayie ata 4n ya 5k ntashukuru sana 🥰🥰
Much love my queen ❤❤❤
Much love baby girl,ukwali mwanaume atabaki kichwa hapo umeongea
❤❤❤❤❤. You are such a blessing to many.
BEBII above all things make you sure you eat healthy, drink a lot of water... I know hupendi kukula but take good care of yourself
Nd sorry kama nmekukosea
Sawa darling 😊
@@Tianah-p7b na fruits kwa wingi
Thank for this for now anastahili kutreat kabody kake poa with food ,coz body goal yake hua unique 😊😊😊
Kakikula katanenepa arafu katakua Mali Bora kaende gym😂😘we love you thus why we are free to say everything as long as it's not something bad 😂😂
@@demwafacebooktv pliz buy benzoyl peroxide pernex Ac kwa pharmacy you apply on your face...we want your face to be smooth and flawless
Huwa hamnioni huku ama😂😢
I love how sikuizi unafunga belt venye babii wa babii alikuambia good girl keep good work
Keep going girl u are supper and hardworking ❤❤❤
Keep going bebii we love you ❤❤
Salimia huyu mmeru wetu❤❤,,i loveyou guys ❤❤❤
Bebii sai uanze kujipenda stress za kujengea wazazi zimeisha jiangalie na wewe pia ujipende kama msichana
True
Kbsa umeongea poa 👏👏
Kweli kbs👍🏼💯
Nipitieni guys pale kwangu
😂😂😂 sasa ombea iko hapa, listening keenly baby gal
Bebii u drink alot of water kamum and fruits kwa wingi utaona venye mwili itakuja haraka 🙏🙏🙏
@@SarahMusimbi-ng7nc really!?
Wow good job mama
Eddie ni mahali wah💗💗💗
First one hello team hamam❤❤❤❤
Keep pushing baby God bless you
When do you rest?🥺🥺....Wueh keep winning my girl
My question too
Halafu utasikia mtu akisema Yuko illuminati
@@emmaculatembevo6083 people will never lack words
More winnings bby,salimia Eddie, she's a good guy,🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂hii ni udaku msitake serious
Najua 😂😂😂😂😂😂😂😂
As I travel,i pack fruits and water ,they are good for one's health. Dehydration is constant Eddie,Had na Bebi gal ❤️❤️🥰❤️
Umbea tunaipata hapa until further notice ifike 🤣🤣🤣😂
Keep pushing babygirl
🎉mimi naye sina respect kwa wanaume wazembe ngo😮
Yes, but kuna yule anajaribu ni vile ni kidogo anapata
@@j.j3601 Huyo Ni tofauti,I meant lazy, watu wa kujituma hawawezi wekwa Na mwanamke kombowa hata kama Ni single room ya mabati have a place you call your house bure watazidi kuaibishwa hivyo.
Hard working babygirl ❤️❤️❤️❤️
Keep going bebi much love❤❤❤❤
I love seen you happy ❤my Girl Toto 😍😍
Beauty with brain🧠 amazing thinking💯
Mob love mamaa❤❤❤❤
Aki vile hua naruka uko aki weee love you mama 💯❤️
Same to me
Hardworking girl ❤❤❤❤
Kesho nayo lazma nifike hapo.powerstar
Msalimie hadassah ❤❤❤❤❤
Keep winning bebii.... Mob love❤❤❤
DWFB hiyo hapo nyuma ni gown yako ama💃💃💃
Team bebii tupitiane❤❤❤❤❤❤
Done pitia pia
@ done
Iyo story ya house manger inababer😃😃
Always happy to see you here
❤❤❤❤❤ our own
Kufumba was just chilling the boom😂😂😂😂😂
Dame wa Facebook anaongea ukweli sio vizuri kuexpose boy wako na tena gift kuna kitu alikua ana ficha ya huyu Dame.
Much love girl ❤️❤️
Ate short ya pili mnaongeanga nini akh bebii wewe😂😂😂😂
This duo kwa umbea 😅😅😅
Mbona umetoboa siri yetu wewe bebi wa bebii... Karibu nitaje apartment lkn hawajakulipa
Aki Bebii ❤😂😂😂
Ati wasapere..
Wewe,😂😂😂
That's true Alma ana over riact like gift alisema ama ana over doo already Alma nikama ako na MTU gift aone mbele coz akikupenda hamkua mmejuana vizuri
Alma has already moved on in her mind that's why she is asking for a break , surely hiyo ni break ya haina gani.....
I love your content madam keep pushing ❤❤❤❤ team bebii pitieni kwangu tugrow pamoja
Done pitia pia
Story za Eddie na dwfb kwa gari hukuwa vibe 😂😂😂😂
❤️❤️❤️
My douta forever
Love you guys ❤❤❤❤ bebiiiii and Eddie
Keep pressing on Babie girl
😂😂 bebii good work ❤❤❤❤
Hey baby girl❤❤❤❤❤❤❤
Bebi you look.soo dehydrated,hata uso it's not glowing si you try take care of yourself please bado wewe ni dame,your a celebrity please try taking care of yourself.
keep winning gal❤❤❤❤❤
Keep shinning my gal 🌹💕
Salimia Eddie bebi
Bebii good job bebii bt unatueka sanaaa post ata 5 kwa siku❤❤❤❤
Baby hawezi weka hata Siri yake😂😂😂😂😂
Uongoo anasema izi za juu za ndani haezi sema ni mwerevu😂😂
Keep pushing
Bebii si leo ulike comment yngu nilidhike
Much love bebii and keep pushing❤
good job bebi
Gift na alma ivo ndio wanataka muongee ata hii ni shadow kama hamjaona yenye ameambiwa hajatahiri na gift adi akukasiraka sasa shauri yenyu shideni apo
Good job baby❤❤❤
Hadi Eddy amemezea caretaker 😂😂😂
Good job mama
Nice advice
❤️❤️❤️❤️❤️😂😂😂thnks beby
Please consider Hadasa to be your PA
Andrew tosha.....wacha Bebi ajijenge kiasi....Yeye mwenyewe ni mzigo wake, familia, .......mumupatie tu muda kiasi
Sasa utacomment hii kitu kila post 🙄imetosha ameona pthooo
My thoughts too❤
Huyu aache bebi ajijenge kwanza PA Kila pahali,,, Andrew ametosha kwa saai
She has not yet settled
Keep up good job bebii❤❤
❤😅, baby girl, ukuwe na tembeya na maji, kwakuwa ukiongeya unakauka mudomo na ina kuwa mweupe ao ukuwe na lamba mudomo ili mweupe isionekane, jikaze
Yea🥹
Sawa
@@demwafacebooktv aww, you so humble. ♥️
Baby girl. Ukitaka hizi pimples zinaweza Isha. Visit dermatologist for skin test akwambie what exactly inafaa kupaka. Being dark skin and smooth skin becomes perfect. My sisters skin was like yours saa hii ako smooth kama matako ya newborn. We are ladies lazima tusaidiane.
Goodlife can do wonders @@Janegats
I will always say this bby gul i love that smile of yours ❤ but bby gul i word is enough to wise one ❤ privacy is power not everything you talk on camera bby gul ❤
Very true we love her but sometimes she talk a lot ndio maana ana Kuwa trolled everytime .......hii kuongea zingine aiii ata juuu mnatusi waki hii apana
Ukiona amesema kitu Kwa camera jua tu ni content hujawahi muelewa?😅😅😅😅
Keep going my daughter l ❤️you
You keep us going bebi❤🥹
Keep going 💪
More winnings much ❤❤❤
Keep going gal ,love,u
Much love ❤️ 😍
Salimiya adassah bebii
Wanaume ni ku kimia haki boy child anahumia sana
If the working hard was a person it's this girl.. I salute you darling,, keep going sky is the limit❤❤❤❤❤
Hizo apartment zenyu wataweka kfc au pizza in hapo next,very demure apartments,serene area
Ziko located wapi?