JINSI YA KUBANA MKIA WA FARASI/PONY TAIL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @Mahyaalnadab-fd7zg
    @Mahyaalnadab-fd7zg ปีที่แล้ว +1

    Nimependa njia ulioifundisha nzuri sana

  • @bettymvanga3273
    @bettymvanga3273 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante uko vizuri me kwenyekumalizia mkia hapo leo umenipa kitu Blessing darling

  • @gideonanael9833
    @gideonanael9833 2 ปีที่แล้ว

    Asante nimeelewa

  • @LeahMbegalo-u7w
    @LeahMbegalo-u7w 6 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi saana nimeelewa pia

  • @attualex5928
    @attualex5928 3 ปีที่แล้ว

    uko na mafundisho mazuriii

  • @kafupisoni2025
    @kafupisoni2025 2 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja nakuelewa vizuri

  • @fatmaseiph9958
    @fatmaseiph9958 3 ปีที่แล้ว

    Asante kipenz

  • @annastaxousdamian240
    @annastaxousdamian240 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri jamn

  • @AsifaSaidy
    @AsifaSaidy 7 หลายเดือนก่อน

    🙏🏼

  • @LeaZabron-if1su
    @LeaZabron-if1su ปีที่แล้ว

    Naomba mnifundishe jinsii ya kuweka kope moja moja plz

  • @priscamajid8902
    @priscamajid8902 3 ปีที่แล้ว

    Hizo baby hair mmeziweka mawimbi vzr bt bado hamjaweza kuzitenganisha vizur na nywele

    • @musanatasha6957
      @musanatasha6957 3 ปีที่แล้ว

      Mbn katengeneza vizuri jamani watu hamkosi maneno

    • @priscamajid8902
      @priscamajid8902 3 ปีที่แล้ว

      @@musanatasha6957 Hapana hazijakaa vzr kwakwel

  • @SaadaNtuse-cd1hz
    @SaadaNtuse-cd1hz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kujuaje unawezakubana mkiawafarasi hatakamanywele hainadawa?

    • @Faithbeautyclasses
      @Faithbeautyclasses  7 หลายเดือนก่อน

      Yeah unaweza kubana mpenzi unabana Kwa Kutumia gel ya All sun

  • @happymkinga9751
    @happymkinga9751 2 ปีที่แล้ว

    Mpo wap

  • @cathjusper4742
    @cathjusper4742 4 ปีที่แล้ว +1

    Hizo nywele iliyochanganywa na rasta mikia zinakauka na upepo nazo?

  • @madameaisha5676
    @madameaisha5676 4 ปีที่แล้ว

    Kubana hiivi bei gani

  • @upendoyohana1277
    @upendoyohana1277 4 ปีที่แล้ว

    Sauti mpenzi ni ndogo, next time uongeze dear

    • @bebrosealberth5427
      @bebrosealberth5427 3 ปีที่แล้ว

      Hapo mwishoni inawezekana kubana n chupio kama mtu hataki kushonwa?

  • @pendojustin9110
    @pendojustin9110 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kama video inaukungu hata haionekani vizuriii

  • @velsonevalster7546
    @velsonevalster7546 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante hapo nimeelewa Kwaiyo nilikuwa naomba kuelewa wakati unaenda kubana unatakiwa kutumia mafuta au jelly aina ipi ?

    • @Faithbeautyclasses
      @Faithbeautyclasses  3 ปีที่แล้ว

      Unatumia styling gel yoyote ile(sofre free, Eco gel... Na nyinginezo zipo nyingi