Afisa Habari Vital'O asema yanga yaweza kuifunga Aston Villa ya Uingereza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @SidenigaBoy
    @SidenigaBoy 2 หลายเดือนก่อน +13

    Hiyu jamaa ataftiwe team hapa bongo kubabake anafaa sana

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 2 หลายเดือนก่อน +3

    Leo umeongea kimpira mzee hongera

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nyoka ni nyoka hata akiwa mtoto anauma. Mpinzani ni mpinzani mara zote kuingia kwa tahadhari. Yanga waingie kwa heshima kubwa sana kesho.

  • @muska4real
    @muska4real 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi Mandonga yuko wapi. KWa kweli kila mtu anatrend kwa wakati wake 🙌🙌🙌

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน

      @@muska4real uliza piere liquid si bora mandonga

  • @sabrinafadhil8835
    @sabrinafadhil8835 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jamaaa nomaa anafaa popote chini tanzania

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaha yani uyu jamaa namkubali sana 😅😅😅😅

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂nimecheka sana huyu mwamba ana tuvitu vitu aisee

  • @rasmbegu
    @rasmbegu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwamba anaweza sana apewe timu bongo

  • @GalaxyStar-ix6iy
    @GalaxyStar-ix6iy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah we jamaa fundi

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 2 หลายเดือนก่อน +1

    😅 Hii yanga sio powa

  • @mbakijonas5647
    @mbakijonas5647 2 หลายเดือนก่อน +3

    Supu ya singida big star😂😂

  • @servantjosiahtv3129
    @servantjosiahtv3129 2 หลายเดือนก่อน

    Kwamba wao ni wazuri😮😮

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga msibwete huyu jamaa saiz amekuja kivingine ni game mindset hiyo. Watawageuka hai kesho.

  • @shabanisalimu7391
    @shabanisalimu7391 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jamaa aungane na kina alikamwe na Ahmed ali

  • @theogeorge3773
    @theogeorge3773 2 หลายเดือนก่อน +1

    kile kipigo kimemfanya akubali

  • @reubenbegashe2372
    @reubenbegashe2372 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuizungumzia simba kwenye mazungumzo Yako na Yanga Unakosea sana Wewe mtu

  • @ErickBenda
    @ErickBenda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jmaa anaijua astomvila kwl😃😃😃

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน

      Kashalipiwa hotel nakupewa supu kakubali yanga wajanja mnoo angalia hata pale wasafi waandishi hata kuikosoa yanga hawawezi watu wanatumia kila njia wazungumziwe vizuri, Sema na kwakua yanga wafanyanya vizuri bado wanahaki yakutamba ingawa fitna za nje ya uwanja na vyombo vya Habari navyo hersi kaviweza sana.

    • @TijoTiger
      @TijoTiger 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@FahadAbubakarialivyo waongelea nyie mlimupa nn😂😂😂😂

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน

      @@TijoTiger elewa point yangu siko kwenye ukolo au utopolo elewa point yangu si kila anaetoa tafakuri ni mpuuzi mpuuzi

    • @haidhautumwahawezikuisha8779
      @haidhautumwahawezikuisha8779 2 หลายเดือนก่อน

      Pointless

  • @JenethShadrack
    @JenethShadrack 2 หลายเดือนก่อน

    Ulifikili Simba utakupokea kama wenze2 😅

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Wana smb aliekuwa anawaambia smba n kubwa leo anasema yanga anaweza kuifunga Aston Villa huyu si ww kuamin anatembelea Upepo wa Simba vs YaNGa aliwakoli mkajaa eeh kasema smba n kubwa kasha waruka tena😂😂😂😂

  • @fazo-kl9fu
    @fazo-kl9fu 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahah😂

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂