Na sekunde ya 56 "Na Gioni ya Leo nimesema Gioni ya lini" 😂😂😂😂😂😂😂 broo Mwamba siku nikija kupata nafasi yakupiga2 picha na ww ntafurahi Sana kka🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻
Ivoivo ndo vizuri gisi awakuonekana ngoma yenye nikama ya kikongo...ukitizama ngoma zote za wakongo ua wanataja majina ila awaoneshi waliyo tajwa kwa iyo nipoa sanaaaaaaaaa
Naomba niwasaidie kidogo ambaye hajaelewa kuhusu hapo kwenye mbuzi gitaa na hzo cd plate. Huyo mbuzi anabeba jumla ya vitu vyote kuwa Inaitwa GOAT (MBUZI) (Good Of All Time)
You need to make analysis which the artists or directors who participated in the video are able to give out the answers direct and not presenters to give us the answer. Hapo kama unaleta story za jumakhan. Anyways ndo Bongo tutachelewa kufika nchi ya ahadi # umejitahidi kuja na idea ya Banda congratulation.
Apo kwnye kusema Kila alie tajwa aonekane... Naona n kitu ambcho sio mchongo wala nn kwa7bu -Creativity ingepungua (video inajaa kuonesha watu ambao hata hawaimb au kudance -its Boring ) -location za Kuonyesha ao w atu zngekueje MayB ingkua n Moja Bdo n jau -Pia nyimbo zilizo taja Watu wengi kama #Rayvanny-Natafta kiki Ingewezekaneje kupata watu wote na Video ingekua haina Ubunifu zaidi ya Kuonyesha watu kila Verse anapotajwa muhusika ‘;”So Its Cool kua Kama Ilivo kua Shoutout Sana Wasafi .. (🎶Oka) iko Poa sana.
Hiyo set ambayo madansa wamevaa white and yellow na D akiwa ametupia Jeans na koti lake ni imerudiwa au copy and past na set ya nandy ft koffie olamide - Leo
😇😇😇😇 mwamba kachill hii emoji inamaanisha mtu aliye barikiwa iyo kicheko na hiyo juu hata kwenye katuni mtu kama hiyo emoji anaonekana kama malaika flani
Yaani napenda huu uchambuzi wako...you're amazing...so much love ❤️ from 🇰🇪
kumbeunsfan nying
Platinumz, nakukubali sana brother, I love you modi, thanks your so much kwa Kaz zako, god aku bless
I love you so much diamond platnamuz simba baba lao 💪💪 nakukubali sana kwa kazi zako unajua kupiga bageti nzuri sana
Na sekunde ya 56 "Na Gioni ya Leo nimesema Gioni ya lini" 😂😂😂😂😂😂😂 broo Mwamba siku nikija kupata nafasi yakupiga2 picha na ww ntafurahi Sana kka🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻
Uko Dar??
Good commentaire yangu aiwezi kosea vile vile tu kuwa pongeza wa kuu wangu nawakubali tu Sana.
Jioniiii la leo oka on stream # yente yenye what gang @@@yenteeee
Love from Burundi 🇧🇮🔥
Mume uwa sana
MWAMBA thanks for the OKA song at the END
Napenda sana kazi yako brother from amazing so much from Burundi 🇧🇮 🇧🇮
To much Love from Zambia
Yan acknowledgement ya hawa watu wa kwenye banda la video nimewapenda bure
Ivoivi ndo unyamwezi mwingi 💪👍😎💜
Diamond munyama I love so much
Ivoivo ndo vizuri gisi awakuonekana ngoma yenye nikama ya kikongo...ukitizama ngoma zote za wakongo ua wanataja majina ila awaoneshi waliyo tajwa kwa iyo nipoa sanaaaaaaaaa
Love from Zambia 🇿🇲
Well organized teamwork 🦁🦁🦁🦁🎤🎤🎤🎸🎸🎸🎸
Oi tell diamond to come to Adelaide Australia
Kazi KaZi Bandani Ni 🔥🔥🔥🔥
Yani #SIMBA always got business talks that are 🔥🔥❤
MTU imara keep up bro and big up huwa napenda Sana kufuatilia Banda La Video🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kaka chibuuu....... Hubabaishii ww huuuhh congrats chibuu
A lesson to learn, sometimes we just have very small goals.
Diamond platnumz 😍🙌🦁🦁🦁
Alie enda kuangalia oka jmn like
uyo wa watu waonyeshwe watu sio point sanaa
Naomba niwasaidie kidogo ambaye hajaelewa kuhusu hapo kwenye mbuzi gitaa na hzo cd plate. Huyo mbuzi anabeba jumla ya vitu vyote kuwa Inaitwa GOAT (MBUZI) (Good Of All Time)
Naipenda hio video ilivio,na bro unafanya kazi safi
Wauni sio watu wanzuri kwenye banda la video 📹 niatar sana
😇 manake hiyo ni bonga la smile yani ata ukiona katika movie zengine za kizungu utaona malaika anao hiyo crown juu ya kichwa
I was waiting for it
Nakukubali sn mwamba kachelelo
Tanzanians are so funny, they have a lot of time to sit down and nag diamond all day long. When do you work??.
Unyama sana nawakubali banda la video
noma sana
Gioni ya leo👌🏻
Nice one
Safi sana kabisa
Sema #hascana aliiscan San hii video 📸, licha ya changamoto na boss Kam kum2pia, kijembeee😮
🌹🌹Nakubali Sana uchambuzi wako means🇹🇿
Perfect
mbuzi ni greatest of all time
😅😅😅😅😅mbosso khan😅😅😅
Nice
I like that
Diamond is either very tired and sleepy or very high🙆🏽😂😂
You need to make analysis which the artists or directors who participated in the video are able to give out the answers direct and not presenters to give us the answer. Hapo kama unaleta story za jumakhan. Anyways ndo Bongo tutachelewa kufika nchi ya ahadi # umejitahidi kuja na idea ya Banda congratulation.
Kwanza waambie waangalie video za Kofee olomide kama wanaona waliotajwa
Hahahahaha✊🏽✊🏽 taali imesha fika BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
King
Jamaa anambwembwe
Mwamba hii umekosea LA emoji,maanake ni (Kuwa comfortable) umeridhika na kila kitu,yaani you're proud yaani😂😂
Very nice
emoji iyo ina maanisha blessing
Aaaah zzzy mwana iyo uongo video inge jaa alafu ingekua ya kishamba mikel gandi uyu kutoka mambasa kenya ukunda
Napenda xn hki kipind
Mko vzr banda la videeeooo na huyo mwenye taa kichwan vp
Watu wa bandani wapo vizuri kwenye kipengele cha kritiksi
We mtuimara bn izo njonjo zako😂😂😂unatisha sema
Banda 🔥
Mbosso haeziacha vituko,mchina😂
gion ya what gang......
🔥🔥🎤🎙️
cool
Mbossojinga unamtqmia bossi
Bado maisha hayajawa magumu yakiwa magumu hutaona hawo vijana humoooo nyuma
nimecheka 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
Simbaaaaaa hajawahi kufeli kweny moja na mbili
Apo kwnye kusema Kila alie tajwa aonekane...
Naona n kitu ambcho sio mchongo wala nn kwa7bu
-Creativity ingepungua (video inajaa kuonesha watu ambao hata hawaimb au kudance -its Boring )
-location za Kuonyesha ao w atu zngekueje MayB ingkua n Moja Bdo n jau
-Pia nyimbo zilizo taja Watu wengi kama #Rayvanny-Natafta kiki
Ingewezekaneje kupata watu wote na Video ingekua haina Ubunifu zaidi ya Kuonyesha watu kila Verse anapotajwa muhusika
‘;”So Its Cool kua Kama Ilivo kua
Shoutout Sana Wasafi ..
(🎶Oka) iko Poa sana.
Kwanza sio LA Zima na iyo video si itajaa wt na itakuwa mbayq
Apn.. ingetoa ladha video.. aikua n haja ya kuwaonesh watu ambao diamond platnum.. anawataja..
Kweli
Hahah mwamba ni chiz sana sema kipind kinafurahisha safiii.
Gioniiii ya lini gang??
Eti mashindano yakidunia😁😂😂😂😂😁
Colour syc.. what gang ....
Hiyo set ambayo madansa wamevaa white and yellow na D akiwa ametupia Jeans na koti lake ni imerudiwa au copy and past na set ya nandy ft koffie olamide - Leo
#diamond_platnumz on fire appreciated ❣️
Nakubali sana banda
😇😇😇😇 mwamba kachill hii emoji inamaanisha mtu aliye barikiwa iyo kicheko na hiyo juu hata kwenye katuni mtu kama hiyo emoji anaonekana kama malaika flani
Et kam malaika
@@bennostar3771 bro kama katuni hufuatilii basi kama hujui hujui tu 👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Haifai
Waoo
Unatisha sana mzee
Duh wasafi haitoshuka kamwe
😇 Ni sanamu ya ostath hicho kibaragashe
Eeeehe Bwana Geeeng mambo vpi😂
🙌🙌🙌🏼🙌
Mwamba kwakumtetea diamond upo vizur inamaana yeye hua akoseagi sijawahi kuona unapitisha nakumkosoa
Msanii no 1 East Africa .. akosei
ila diamond kwenye interview ni mlevi
Lushoto ndo kijijin Kaka achakutuzingua Bana 🤣🤣🤣🇹🇿ndo home kwetu
Haifiki Burundi 😂😂😂😂
6:00
Lion 🦁
💪
Iviiiii ni kweliiii na banda la video ipi ni kali zaidi?
Yea boy acha kushobokea bass wko mpe makavu ili ajifunze alipokea men
Mtu imara anaogopa kumkosoa boss
We kuwezaaa
Kuonekana ingebowa sn
Ahaaaaa
Angel (malaika)
Mtu imara unatetea sanaaa boss wko 😂😂😂 ila angekua mwengine apo ungekua unapondaaa tuu 😂😂😂 ugali banaaa
Mbona fagio sana mwamba
Huyu mshkaj yuko vzr San na kpnd chake
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡