Achana nao hao wapumbavu wasio mjua Mungu .na hawajui kwa nini wewe kila siku unazidi kubarikiwa. Siri ni moyo wako wa upendo na msada unaowapatia binadamu kupitia wanyama na mimea. Na hao wanao kudhulumu, usipbishane nao na wala usiwatoe hewani, kwa ushauri wangu mie, Piga chuma tu ,ili wakaangaike nacho mbele ya safari mpaka wakuletee chako
Mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe🎉🎉🎉🎉 w nikibiko yao wanajua Hilo ,wanyoroshe mpk waelew somo💪💪💪💪💪
Wa kwa kaka G❤❤
Nikisha fukiza yai nitalipeleka wapi au nilikule😂 hahahaha naomba maelekezo hapo 🙏
Tuelezee tuelewe vizuri
Tatizo hautaji majina
Ukisha fukiza unaweka wapi yai
Achana nao hao wapumbavu wasio mjua Mungu .na hawajui kwa nini wewe kila siku unazidi kubarikiwa. Siri ni moyo wako wa upendo na msada unaowapatia binadamu kupitia wanyama na mimea. Na hao wanao kudhulumu, usipbishane nao na wala usiwatoe hewani, kwa ushauri wangu mie, Piga chuma tu ,ili wakaangaike nacho mbele ya safari mpaka wakuletee chako
🎉live
Kitenzo ndo jiko au chungu
Hata akitumia kondom ataganda tu🙈