Kuzungumza Kiingereza Kama "Mzungu" | Na sabtaito za Kiswahili (With Swahili Subtitles)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 40

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 7 ปีที่แล้ว +1

    Tr. Stewart Ukason. Mwalimu...you are really amazing...but never mind...that is how most Tanzanians are...they always want to stick on one thing. They have been bewitched by their teachers. Umetoa maelezo yanayojitosheleza...kama mtu haelewi, basi nadhani ana tatizo kwenye ubongo wake na anahitaji Tabibu. Watu wanashindwa kuelewa ya kwamba Lugha ni Sanaa. Wangetambua hivyo, wasingeanza kubishana hasa na wenye Lugha.

    • @mwalimuneema
      @mwalimuneema  7 ปีที่แล้ว

      Ndo mana tumejitolea kuwaelimisha asielimika abaki ivo ivo anayeelimika, basi hii ndo fursa ya kupata kilichobora.

    • @burhanhussein6673
      @burhanhussein6673 3 ปีที่แล้ว

      @@mwalimuneema dada naomba unitumie namba yako ya whassap ili uanze kunifundish vzr lugha ya kingereza plz

  • @jovinifaida3109
    @jovinifaida3109 4 ปีที่แล้ว

    Hapo nimekupata my wattssap namber

  • @yahyakess4872
    @yahyakess4872 6 ปีที่แล้ว

    Niunge na mimi tafadhali..

  • @leopoldnyikera418
    @leopoldnyikera418 6 ปีที่แล้ว

    ok

  • @shamimhanaf7206
    @shamimhanaf7206 7 ปีที่แล้ว

    well

  • @gentilndihokubwayo4280
    @gentilndihokubwayo4280 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama mimi ninakaa Burundi ila ninahitaji kuwepo huko niweze kufundishwa kiingereza tafadhali nisaidiye kwa hilo na Mungu atakubariki number yangu ni +25779757040 jina ni Alexandre

  • @maqdundostum7959
    @maqdundostum7959 7 ปีที่แล้ว

    wewe kweli ni mwalimu

  • @msaniimpyaBMW
    @msaniimpyaBMW 7 ปีที่แล้ว

    dada uko vizuri nimependa maana hata Mimi nimezoea kusema "ditamine"

    • @mwalimuneema
      @mwalimuneema  7 ปีที่แล้ว

      Asante sana umejifunza.

    • @maryamsalehe6009
      @maryamsalehe6009 7 ปีที่แล้ว

      Naomba uniunganishe na mm mpendwa namba yangu iyoo +971521514338

    • @godfreykahni3932
      @godfreykahni3932 6 ปีที่แล้ว

      0784004747

  • @queensaidi6420
    @queensaidi6420 4 ปีที่แล้ว

    Namba yangu hii hapa +96892463358

  • @salehnassor8793
    @salehnassor8793 7 ปีที่แล้ว +1

    Point of correction sio misamiati ni msamiati Mwalim

    • @mwalimuneema
      @mwalimuneema  7 ปีที่แล้ว +1

      Wingi wa msamiati ni misamiati. Pia, usijifunge katika kitu ulichojifunza shuleni. Mara ngapi umesikita watu wakisema misamiati? Kwahiyo mimi natumia lugha inayotumika na wengi. Pia, "point of correction" mimi ningesema kwa Kiswahili "Nina masahihisho kidogo" kuliko kuchanganya Kiingereza na Kiswahili. Natumaini umejifunza. Asante kwa mrejesho wako.

  • @isaacmsekefu1752
    @isaacmsekefu1752 7 ปีที่แล้ว +2

    Dada namba yangu ni hii +2550752868144 cjui ntakupataje

  • @alialbusaidi9130
    @alialbusaidi9130 7 ปีที่แล้ว +1

    Maneno mengi cjaelewa chochote

  • @deborakihwele2316
    @deborakihwele2316 6 ปีที่แล้ว

    Nimependa namba yangu +255757181616

  • @annajoel6802
    @annajoel6802 7 ปีที่แล้ว +1

    Dada ntakupata WAP??

    • @mwalimuneema
      @mwalimuneema  7 ปีที่แล้ว +1

      Mawasiliano yako hapo kwenye video, mwanzoni na mwishoni.

  • @godfreyemmanuel2691
    @godfreyemmanuel2691 6 ปีที่แล้ว

    sasa hapo umefundisha nini maana umeongea bila kufundisha

    • @mwalimuneema
      @mwalimuneema  6 ปีที่แล้ว

      Godfrey Emmanuel nimekufundisha kiacha dhana potofu inayokinza ujifunzaji wa Kiingereza. Dhana potofu ni jambo la kwanza linalozuia kujifunza lugha.

  • @mariamvicent7312
    @mariamvicent7312 6 ปีที่แล้ว

    niunge namba yangu 0654266145

  • @dianalyanga3310
    @dianalyanga3310 7 ปีที่แล้ว

    jaman mwalim ntakupata wap. no yangu 0713755200

  • @rahimashabani6124
    @rahimashabani6124 7 ปีที่แล้ว

    samahani mwalim no yangu niunge namm +96896632394

    • @josephbutondo924
      @josephbutondo924 6 ปีที่แล้ว

      nimeipenda namba yangu 0755919184 nitafurahi kupata no yako

    • @deborakihwele2316
      @deborakihwele2316 6 ปีที่แล้ว

      Nimependa namba yangu +255757181616

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 7 ปีที่แล้ว

    92166159 namba yangu hiyo mwalimi.