mwalimu unafanya kazi nzuri ila ufundishaji bado kwan mtoto ambaye hajui sehemu kabsa hawezi kukuelewa.nanukuu swali la kwanza kabsa mwanzo wa video unasema hapa tunaweka nne bila kusemahiyo nne inapatikanaje unatakiwa kusema tunatafuta k.d.s ya hizo namba mbili za chini ndio tunapata nne.ukaendelea kusema juu tunapata moja hiyo moja imepatikanaje?????? jitafakari video zako
Nashaur utumie vielelezo
Asante
safi sana teach
KAMA CHINI hazijafanana unafanyaje
Woow, hongera sana mwalimu
Safi sana.
mwalimu unafanya kazi nzuri ila ufundishaji bado kwan mtoto ambaye hajui sehemu kabsa hawezi kukuelewa.nanukuu swali la kwanza kabsa mwanzo wa video unasema hapa tunaweka nne bila kusemahiyo nne inapatikanaje unatakiwa kusema tunatafuta k.d.s ya hizo namba mbili za chini ndio tunapata nne.ukaendelea kusema juu tunapata moja hiyo moja imepatikanaje?????? jitafakari video zako
Mwlm yuko vizur KDS ni msamiati mgumu kwa DRS la nne
mm nataka kuuliza mwalimu sasa mm sijaelewa ni kwann nn tukipata jibu mbeleni tena tunaenda kugawa na wakati kitendo chetu ni jumlisha