Rais wetu he is best you can get yaani kila maahali ana unaweka umuhimu yaani tukiwa masikini tunataka wenyewe ametupa uhuru kufanya kazi bila wasiwasi wowote anataka tuwe mamilionia watu wanalala hivi watanzania hamka fanya kazi hivli lipa kodi tujenge nchi mwaka huu utajiri unaiva mimi karibia kupakua wewe lala piga umbea Mungu ubariki Rais na watanzania mbariwe wote
Kwa hiyo wamemwekea mkuu wimbo kabla hajauchagua na wakawa wamepatia kbs kua atauomba huo wimbo au ni kuchelewa kuwasiliano hapo Control room? . Big Up!!
This is so painful to watch 😢😢. Tanzania imepoteza shujaa . President who had love for every citizen. RIP President JOHN POMBE MAGUFULI 🙏🙏. Respect to TANZANIA from KENYA
Hongera sana Mheshimiwa hii inaonesha kuwa unaendelea kuthamini wasanii wetu na kufuatilia nyendo zao ,sasa wasanii waendelee kujifunza kwa tulip hili kwa kutengeneza nyimbo zenye kufundisha jamiii
Alaf baada ya hapo jiulize huo wimbo kuna popote ulipofia zaid ya TZ? Hapo ndo utajua weng wanapenda zile nyingne ivo hiz unajiimbia mwenyw na rais wako
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Safi wanamziki wote wenye tungo zenye akili. mziki wenu mawazo yenu yanaishi hata kma media zitawakandamiza kwa kukosa Rushwa au connection
Kwa Africa ni Rais wa century utajua hili mpaka aondoke la kwa kwanza litaandikwa kuwa hakuwahi kusafiri nje ya Africa na yupo proud na Waafrica wenzake
Huu wimbo asilimia kubwa unatuhusu sisi hasa vijana wa karne hii ambao tumeweka mbele starehe na kuacha kufanya kazi kwa malengo ya maisha yetu ya baadae na vizazi vyetu.Ila mimi nahisi una nihusu zaidi maana hapa nilipo kazi nafanya ila pesa yote inaishia kuilisha familia tu.😭😭
Wa tz Mungu aliwabariki na rais mpenda maendeleo
Mshukuruni Mungu
Shukran🤗
haswa
Alie maliza Kuangalia hii akaenda kuutaft huu wimbo tena kama mm gonga like
Ninao pita Instagram kwangu kwa jina la Lirastanley89 utapata vionjo vingi sana
@@lirastanley390
0
Q
Qqqqqqq
Niambie
Raisi wetu Mungu akutunze
@@ernestclemence6076 amen
Hongera Sana rais wetu humpongeza yeyote anae fanya vema bila ubaguzi
Hyu raisi very special thanks... Mm ninatabiri Professor Jay ataingia katika Chama cha Mapinduzi CCM..
Magu anamkubal Prof Jay
Kweli kabisa
Ambaye anamemwelewa anko magu agonge like
Mh. Rais, we love you...
Mungu akutunze baba.
ameen
😭😭😭😭😭😭
@@lennyyusuf255 very sad.
I commented few days before his death.
Haikuwa riziki yetu.
JPM sikio lake lipo kila sehemu na anasapot vilivyo bora
Wa Tanzania RAIS wenyu ni mzuri sana, nampenda sana JPM hongera
MashaAllah ..kiongozi bora sio bora kiongozi
👍
Prof jay salamu zako nyingi toka kwa mh: JPM good song..
Piga pesa tunapatajee hizo pessa
Piga pesa nakuomba unitafute 0757055907
@@maliganyamadirisha29 kwan wewe ndio piga pesa hyonpicha na wewe ni tofauti mbn unakuwaa chokoooo wewe
Bjr 👍
Basi huu ndo wimbo bora kwa hichi kipindi cha Raisi JPM
@smilewithGod........hakikaaaaaaaaaaaaaa
Duuuu
Kweli wanoo support huu wimbo likes zote kwa magufuli
Allah akupe maisha marefu Rais wetu Insha Allah
Inalilahi waina ilahi rajiun
Jpm ni noma sio kwenye kazitu mpaka muziki anajua ni upi muzuri Anae Amini Jpm katisha naomba like zenu
Sio siri huu wimbo una ujumbe kweli.
Nmerudi huku tena kwaajili ya kifo chako kinachonihuzunisha sana dah R.I.P. MAGUFULI 😭😭😭😭😭😭😭😭
Tuko wengi tuliokuja kuomboleza nakumlilia baba etu😭😭😭😭😭
Yaaani hiyo speaker isingelia wangeiimba wao😁😁😁😁
Magufuli 4 life
Hahahahaha nimekuelewa mkuu
Rais wetu he is best you can get yaani kila maahali ana unaweka umuhimu yaani tukiwa masikini tunataka wenyewe ametupa uhuru kufanya kazi bila wasiwasi wowote anataka tuwe mamilionia watu wanalala hivi watanzania hamka fanya kazi hivli lipa kodi tujenge nchi mwaka huu utajiri unaiva mimi karibia kupakua wewe lala piga umbea Mungu ubariki Rais na watanzania mbariwe wote
Raisi wangu nampenda toka moyoni.
Kwa hiyo wamemwekea mkuu wimbo kabla hajauchagua na wakawa wamepatia kbs kua atauomba huo wimbo au ni kuchelewa kuwasiliano hapo Control room? . Big Up!!
Ndio mzee namba 1 in TZ
This is so painful to watch 😢😢.
Tanzania imepoteza shujaa . President who had love for every citizen.
RIP President JOHN POMBE MAGUFULI 🙏🙏.
Respect to TANZANIA from KENYA
We have a president who loves good work(creativity)
Rais hapa umenigusa Sana hii nyimbo inatungo za Hali ya juu wasanii wengine waone funzo kupitia hii nyimbo maana inamaadili mazur Sana
Gonga like kwa walioenda kuhusikiliza tena huu wimboooo
Nimeangalia hii video kalibu mara kumi japokuwa nishaiona salute mr presdent
Rais Magufuli Umesema Ukweli.
That Song Got Message Aiseeeee!!!
Hongera sana Mheshimiwa hii inaonesha kuwa unaendelea kuthamini wasanii wetu na kufuatilia nyendo zao ,sasa wasanii waendelee kujifunza kwa tulip hili kwa kutengeneza nyimbo zenye kufundisha jamiii
Kweli Kbsaaaaaaaaaa
Saana sionyimboyoote kujaamitusi
Alaf baada ya hapo jiulize huo wimbo kuna popote ulipofia zaid ya TZ? Hapo ndo utajua weng wanapenda zile nyingne ivo hiz unajiimbia mwenyw na rais wako
Mungu akulinde na akuongezee hekima rais magu Bila Mungu kiukweli huwezi kitu chochote Mungu akuongoze maisha ni Amen
Heri tz Kenya n kila mtu n life yake mziki hauna support
Daaah stamina kapewa promo na rais
Perfect presedent 🔥🔥🔥
Hadi raha sana 👏👏 rais wetu yupo makini kinoma Sana anataman alapu nayeye 👏👏🥰
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Safi wanamziki wote wenye tungo zenye akili. mziki wenu mawazo yenu yanaishi hata kma media zitawakandamiza kwa kukosa Rushwa au connection
studio kazi juu ya kazi imewapata ghaflaaa😂😂😄😄JPM kiboko wallah
Nakukubar sana uncle magu upo good sana
Gonga like Kama unamkubali mzee maguuuu
Et maguuu🤣🤣🤣
Baba yetu huyo
Big up rais wetu Magufuri kwa sapot hii,..
I love this president.
Ahahaha,,, Prof Jay juu mawinguniiii,, Viva Mr President
Mkuu umetisha kinoma
Asante mungu kwa huyu rais wetu
Haya huu ndio wimbo wa mwaka 2021 hands down...
Kazi ya kuongeza umri wa mtu nikazi ya mungu ingekua kazi yetu tungekuongezea hata miaka elfu lkn tunakuombea mungu akuongezee cku za kuishi mh raisi
Professor j kichwa ulivoimba na ferooz mkapa alikubal song yko leo umeimba na stamina magufuli kakubal hongera sanaaa mzee
Kwa Africa ni Rais wa century utajua hili mpaka aondoke la kwa kwanza litaandikwa kuwa hakuwahi kusafiri nje ya Africa na yupo proud na Waafrica wenzake
Baba wa watanzania kweli wewe ni baba bola dokta magufuli mungu akupe maisha malefu nakupenda sana baba
Wapiii!! Starmina shavu hiloooo
Yaani RAIS wangu MAGUFULI TUNAKUPENDA SANAAAAA. TANZANIA tuna bahati ya kumpata RAIS, Baba, Kamanda. MAGUFULI OYEEEEEEEEE
Ujumbe fwaaaaa. Big up Prof J
Move on JPM, Mungu akulinde na kila baya, mh raisi hakika hizi ndio nyimbo za kuunga mkono, well done JPM our lovely president
Mheshimiwaa rais umenifurahishaaa sanaaa embuu endeleaaa kuchezaaa mkuuu wanguuu
Uko vizuri raisi wangu
Ahahahha magufuli nampenda Sanna 😂😂🥰🥰🥰
Tanzanian we have a President in general ,,for myself I love JPM
Respect mzee magufuli
Axnt rais wetu mungu pamoja nawe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤
Good na pongezi kwa Rais anajitahid kugusa kila sector nchini
Huyu Mzee ndo awe baba yangu anikute naanglia miziki wal sina haja ya kuweka ITV zaid kuongeza voice,long live Prezidaa wao..
Asante Raisi wawanyonge tawala 25 tena
Asante sana Rais wetu
Watching while my tears blowing my face RIP magu 😭😭😭
Huo wimbo umetoka sio Siku nyingi, lakini JpM unaunyaka, duh aminia sana, we ni rais wa tofauti sana, mola akuweke
Hongera kwa Mr President,Anaonyesha yeye ni mtu mpenda watu wanaojituma kwa maendeleo ya nchi na mtu binafsi. Hongera Stamina na Prof y.
Mzee Magu anafahamu mziki vizuri.
tunasubiri wimbo upande chati sahv🔥🔥
Mpe gar stamina na profesa jay
.
Prof.Jay asipewe gari, bali apewe madaraka eg.RC au DC
Hawatachelewa kusema wananunuliwa!
Kama alivyo sema kiongozi kwamba huu wimbo una message mzuri 👏👏
wimbo mzuri ,ujumbe mzuri..wasanii acheni kuimba nyimbo za kusifia ZINAA na ANASA.Elimisheni jamii kwani KIZAZI bora kinapotea .
Asante rais wetu kipenz kwakuusikiliza huo wimbo
I LIKE THIS
Nakuelewa Jpm ,vizuri kuona kazi za vijana na kuzikubali.
Magufuli we ni nomaaaaa! Hadi mziki unajua Baba! Dahhhhhhhhhhh!!!
Halafu museme Hip Hop hai support tiwi🤷♂️
Inategegemea na maneno unayoimba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Upeo wako ndo umeishia hapo?
Ndio mzee huo wimb m ninao njoo usikilzee
Huu wimbo asilimia kubwa unatuhusu sisi hasa vijana wa karne hii ambao tumeweka mbele starehe na kuacha kufanya kazi kwa malengo ya maisha yetu ya baadae na vizazi vyetu.Ila mimi nahisi una nihusu zaidi maana hapa nilipo kazi nafanya ila pesa yote inaishia kuilisha familia tu.😭😭
Kama naiona Nyota ya Prof J. Mungu amuongoze🙏
Best President in Africa
Kweli magu ....naongea na wewe. Peti hii naona ume ielewa sana raisi wetu. Hongela kwa kutuonyesha ukipe ndacho
Ila utasikia *Jeje* ni ngoma moja balaaaaaaaa 😁😁😁😁😁😁😁😁 huyu raisi tujidai aiseeee *Magu* ni mwambaaaaaaa 💪💪💪💪💪💪💪💪
Nampenda sn jp wtu mungu amueke🙏
ngoja nikaudowload
Wimbo bora wa magufuli
our humble President
Truth be told that Song has a deeper message and depicts what is happening in the society we live in
Rais wetu huyo
Uyu rais nishid san
Kwa kweli ni mziki mzuri pia raisi wetu saf sana
Nakubal uncle magu
Baba mpenda watu wa aina na hali zote, tunakushukuru sana Rais Magufuli kwa juhudi za kumtia moyo kila mtanzania anayejishughulisha kihalali
Mungu akulindeee mheshimiwa rais wanguu
Wacha niucheki sasa hivi.
Umechelewa mbona kwaio lkuwa husapot
sina neno mshua....salute kwako
Mzee baba kumbe naye mwana hip hop
RIP MAGUFULI 😭😭😭
dah viva magufuli my president
Beloved president
Nani yupo hapa baada ya jpm kuiaga dunia
Daaaah hongeraaa mkuuu
Hip Hop mbele bila kusita.Viva jpm
Duh rais wetu ni wa usawa, yupo vizuri aongezwe umri wa kutawala
Hata mimi niliupenda sana baada yakuusikia hivi karibuni