Nikki Mbishi anasema tumeingia ligi kuu. Unaibeba Arusha Fido, tengeneza collabo na marioo au harmonize hasa Harmo Jeshi kwani ni mixer moja ya kibabe sana kimuziki na ki ukanda kaskazini na kusini. We love music hasa good song + conscious vibe.
pale alikua na mkubwa wake angetaka atawale jukwaa angearibu angalia kuna mahali alikua anataka kuanza kuongea vanny boya akamfunga kidogo jamaa anajitaid
Pamoja sana mtoto wa chuga fido vato hakika tunakupenda sana
Hua mwamba Fido kutoka Ar na Tz nimsanii mojawapo kwangu good 👍
Nakupenda Fido✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾
ray vanny the big boss
Gyeaaaaa💯💯🔥
Nimefurahi sana.kumwona.fido.pambana kaka utafika mbali..ungepata nafasi uzunguke nao ..ingekuwa pw sana mawe yazidi kwenda mbali
Binge la song babako
Kama unamkubali Fido vato gonga like
Piga Ngoma moja na harmonize utatishaaaaaa😍😍😍
Wapi liket zenu ravnyn chui 🎉❤❤❤
Hii nyimbo ndiyo nyimbo yangu Bora mwaka huu
Kali moto Kwa watoto
One love Chuga....❤❤ Ma City big up bro Fido
Nikki Mbishi anasema tumeingia ligi kuu. Unaibeba Arusha Fido, tengeneza collabo na marioo au harmonize hasa Harmo Jeshi kwani ni mixer moja ya kibabe sana kimuziki na ki ukanda kaskazini na kusini.
We love music hasa good song + conscious vibe.
Fido Rambo 🔥🔥
King wa chuga x Ray vanny nawakubal sn
Nakubal sana ngmazako nkal sanna alo
Wadudu wamekwarua jala
Im your big fan from Burundi ila kwenye stage jarib kuw na movement pls my G
Unyama sana mkali
Huwa nakuelewa sanaaa fido mnyama nataman Geez mabovu angekuwepo asee from mafinga home
Nimeikubari shoo ya fido na reivan
Eeeh bhn eeh unyama ni mwingi 🔥🙌
kali💪💪
Amna moja kwenye mbili chuga nnoma bro fido
Mamaeee show irudiwe ten kaskazini nikwereeee
Kabisa
Ni kwereee sana
Fido wetuuu.. chugamaikan king👑
Og baba
Fido vato
Ila jukwaa lilikushinda,hujui kutawala jukwaa
pale alikua na mkubwa wake angetaka atawale jukwaa angearibu angalia kuna mahali alikua anataka kuanza kuongea vanny boya akamfunga kidogo jamaa anajitaid
Fido one man army
Tunaomba remix
Tembea nao wasafi kila kona
point kaka
Nice Fido...Never give up.!!!!
Kaskazini hatokagi fala
Arusha icon
💪🕴️🕴️🔥🔥
Fido ipo siku nako wataelewa respect sana.... Umefanya jambo moja lakishujaa sana
Ameshawakata mbaliiii
Huyu ni mweupe sio mweus mwenye Roho mbayaaa.
❤❤❤
Fido shikamoo
Babkubwa 😂😂😂😂😂
Broo fido
Brother fido nakukubali kinyma ❤❤❤❤❤❤ fanya hata namba yak ya WhatsApp niwe nkucheki bhna mdogo wako mm kanyaga mdogo
Naomba brother👊👊👊👊 mi niga lako bn
Kama hii nyimbo inalazimishwa iwe kubwa mbn😂😂😂😂
Hata hivyo ni kubwa
Vanny boy🔥🔥
Chuga.........
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😮😮😮😮